Ninahitaji Nyumba ya kupanga

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
602
509
Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)

Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira,

Tabata kimanga,Tabata Mpaka segerea,Kimara mpaka stop over

Nina mke na Mtoto mmoja nafatilia comments.
 
Mkuu ma mtu ya Dar hayanaga msaada sijui kwa nini! Hata mimi nimeuliza huu msaada nikaambulia patupu leo siku ya 3 hola! Hata madalali tu hayawezi kukufuata wakati yanaona hilo tangazo!
 
Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)

Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira,

Tabata kimanga,Tabata Mpaka segerea,Kimara mpaka stop over

Nina mke na Mtoto mmoja nafatilia comments.
Kwanini umeamua upande huo wa jiji? Shughuli zako unafanyia huko? Au ni mazingira ya uchumi?mbezi beach, tegeta, boko hadi bunju hapafai?
 
Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)

Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira,

Tabata kimanga,Tabata Mpaka segerea,Kimara mpaka stop over

Nina mke na Mtoto mmoja nafatilia comments.
Mkuu,
Kuwa specific sehemu unayotaka Paweje, hapo nyantira, nyangasa, kwa mfipa, madukani.

Sema sehemu unayotaka iweje tuwasiliane sasahiv
 
Nina hitaji Nyumba ya kupanga ya Vyumba viwili Moja iwe master sebule jiko ndani ya uzio maji umeme vijitegemee bajeti yangu 200,000/= kwa mwezi nalipa kuanzia miezi minne (4)

Maeneo Kitunda kuanzia njia panda ya shule Mpaka mwembeni,kitunda Mwanagati,Kitunda nyantira,

Tabata kimanga,Tabata Mpaka segerea,Kimara mpaka stop over

Nina mke na Mtoto mmoja nafatilia comments.
Mkuu nasubir jibu Lako?
 
Bora wewe mkuu watu wamekuja! Wacha na sisi tuponee hapa hapa!
 
Back
Top Bottom