Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili inayojitegemea (stand alone) maeneo ya Mbezi Beach

Black Opal

Senior Member
Jan 22, 2023
199
253
Habari Wakuu,

Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach.

~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea.

~ Bajeti laki 5 (500,000).

~ Iwe maeneo tulivu

Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru.

Najua hapa hakishindikani kitu, msaada wenu kwenye hili Wakuu🙏.
 
Wenye nyumba wa JF ndio kusema hamuoni uzi wangu au...msaidieni kijana wenu bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom