Nahitaji Mwongozo: MSc Data Science UDSM

manaina jr

Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
37
Reaction score
55
Wakuu habari ya muda huu

Mimi ni mwajiriwa serikalini nimeomba admission UDSM ya Msc in Data Science na Mungu amesaidia nimepata.

Naomba mwongozo kwa wazoefu waliosoma au wanaosoma hii kozi hapo chuo.

Ni nini ugumu wake, gharama za zaidi ukitoa ada ni zipi (zile zinazohitajika zaidi kulipwa mapema) na je vipi kuhusu research zake zinafanyika kwa urahisi au mpaka ma supervisors waamue vinginevyo??

Ahsanteni!!
 
Sawa mkuu hata mimi nahitaji a,b,c ya data science,au AI ila hofu yangu ni mambo ya research tuu.
Pia mkuu kwanini hujachungulia fursa ya scholarship abroad?
 
Ni nini ugumu wake, gharama za zaidi ukitoa ada ni zipi (zile zinazohitajika zaidi kulipwa mapema) na je vipi kuhusu research zake zinafanyika kwa urahisi au mpaka ma supervisors waamue vinginevyo??
Habari,
Sina msc ya data science ambayo kwa wakati nasoma ilikuwa inaitwa Data Analytic ila nimesoma degree yake kwa miaka miwili tu na niliacha so basically sina hata degree yake.

Ila nimeifanyia kazi hata baada ya kuacha nafikiri unataka kuisoma ili uongeze ugali wako tu kama ndio kila la kheri utakuwa mzuri sana kwenye Mathematics intuition.

Kama sio huko utapuyanga it's a dead career utafanya hesabu nyingi sanaa, utaumia sanaa na utapokuja kumaliza utakuta AI imechukua kila kilichobakia

Kwa sasa AI imeshachukua
1. Coding
2. Writing SQL
3. Building batch scoring scripts
 
AI atareplace vitu vingi lakini mwisho wa siku Decision hufanywa na Mwanadamu mwenye utambuzi wa kilichofanywa na AI , anaweza akafanya decisions lakini inahitajika Kuweigh vitu vingi sana mpaka kufikia Real world Problem decision plus automation ya AI Kwa vitu vingi still ni very Expensive Kuna nchi kama US na European Unaweza ukasema ni risk ila kiafrika Bado sana it will take a lot of time.
 
Wakuu habari ya muda huu

Mimi ni mwajiriwa serikalini nimeomba admission UDSM ya Msc in Data Science na Mungu amesaidia nimepata.

Naomba mwongozo kwa wazoefu waliosoma au wanaosoma hii kozi hapo chuo.

Ni nini ugumu wake, gharama za zaidi ukitoa ada ni zipi (zile zinazohitajika zaidi kulipwa mapema) na je vipi kuhusu research zake zinafanyika kwa urahisi au mpaka ma supervisors waamue vinginevyo??

Ahsanteni!!
Kama unapenda uwe nguli bora ungeomba kusoma pale Nelson mandela sio Udsm kwenye siasa kwa kila kitu
 
AI atareplace vitu vingi lakini mwisho wa siku Decision hufanywa na Mwanadamu mwenye utambuzi wa kilichofanywa na AI ,
Hapa nakupinga AI ndani ya miaka michache ijayo itakuwa na maarifa ya juu sana kuliko unavyofikiri
anaweza akafanya decisions lakini inahitajika Kuweigh vitu vingi sana mpaka kufikia Real world Problem decision plus
🤷🏽‍♂️
automation ya AI Kwa vitu vingi still ni very Expensive Kuna nchi kama US na European Unaweza ukasema ni risk ila kiafrika Bado sana it will take a lot of time.
Hapana brother, mimi nafanya Mechatronics pia kama party time job yangu kwa sasa tuko full integrated na AI kwenye mifumo baadhi haituondoi na haitatutoa ila imeshachukua kazi yetu imetuachia ufundi

Hospital ya muhimbili nimeona taarifa yake moja wamefanya upasuaji successful na AI

Hii kitu haikutishi?
 
Hapa nakupinga AI ndani ya miaka michache ijayo itakuwa na maarifa ya juu sana kuliko unavyofikiri

🤷🏽‍♂️

Hapana brother, mimi nafanya Mechatronics pia kama party time job yangu kwa sasa tuko full integrated na AI kwenye mifumo baadhi haituondoi na haitatutoa ila imeshachukua kazi yetu imetuachia ufundi

Hospital ya muhimbili nimeona taarifa yake moja wamefanya upasuaji successful na AI

Hii kitu haikutishi?
Ni kweli Kaka sikupingi AI Ina nafasi kubwa sana kwenye Field mbalimbali , lakini sehemu nyingi sio full automated labda tujue Primary field ya Huyo mtu ni ipi ? Hao Muhimbili unaona wanafanya procedure lakini behind the scene Kuna timu ya wataalamu wengi huwepo kwenye kufanya Decision am speaking from the Experience.

Kuna Field nyingi sana zitakuwa full automated within few years to come lakini some field itachukua muda kuwa full automated still human expertise inahitajika Kuna factors nyingi kwenye kufanya Decisions Baadhi ya Field zenye Uhitaji wa human Expertise.

Mimi nadhani kuliko kumwambia Asisome labda angeweka Primary field yake ni ipi na nini anataka kuachieve baada ya Muda Fulani.
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom