Pole sana, kwanza usitegemee mazuri tu, tegemea na mabaya pia. Utandewa mazuri na baya so lolote likitokea utanaona ni kwaida ya mambo. Pili yachukulia mambo kimzaha, hata unapoongea na mtu chukulia kama mnafanya mzaha, pale atakopokuuzi utaona ni sehemu ya mzaha. Tatu kama unaongea na mtu ktk simu ikafikia hatua uka/akakasirika kata simu kwanza subiri kwa dak 1 then mpigie tena. Nne usipende mabishano, kama mtu amekukukosea usijibizane nae. Tano usijaji maneno ya mtu mwenye hasira, mtu mwenye hasira huongea lolote lililo mbele yake. Sita usipende kuombwa msamaha mtu akikukosea, ukiombwa au usipoombwa msamaha we chukulia poa, kwani kuomba msamaha ni hiyari ya mtu si lazima.Saba na la muhimu sana hakuna binadamu aliye mkamimilifu, hivyo tegemea kukosewa sana, na mtu akikosea ni sehemu ya ubinadamu, kwani makosa hayakuanzia duniani yalianzia mbinguni shetani alipomkosea mungu na Adam alipokula tunda wote walitupwa dunia. Sababu ya ss kuletwa duniani ni kwa sababu ya makosa. So makosa ni asili ya binadamu.