Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Ulishafanyiwa mambo yakukuudhi kidogo kidogo ukiwa mdogo na ukiwa mkubwa sasa moyo wako umejenga kichuguu cha hasira hata kwa vitu vidogo.
Kwanza kukasirika sana kunakuumiza wewe zaidi ya yule utakaye mpiga yeye anapata maumivu ya mwili tu ila wewe unatengeneza sumu hatima ugonjwa wa moyo. Jitahidi kusamehe mabaya unayoyakumbuka waliokufanyia watu hebu iambie nafsi yako nahitaji moyo mwepesi unaijua hakuna binadamu mkamilifu hivyo wakikosea usiwape nafasi. Nicheki inbox nikudirect toward solution
Pole mtani