miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #221
Nina mchumbaKwan upo single au upo ndani ya ndoa?
Nina mchumbaKwan upo single au upo ndani ya ndoa?
Kumbe kale kautafiti cha juzi kwamba kukosa usingizi ni dalili moja wapo ya ugonjwa wa kichaa 1:4.Hio hali ni hali ambayo unaweza kuibadilisha, hasira unaweza kuibadilisha wewe mwenyewe tena kwa kupuuzia tu, kuwa aah kwani kitu gani, najikumbuka mimi mwenyewe nilikuwa nina hasira sana, nyumbani balaa ni kila wakati sitaki kuonewa na rafiki wala kaka wala dada angu, lakini huwezi amini nimejicontrol mpk sasahivi nimekuwa raia wa kawaida kabisa, ata unifanye nini sina time kabisa, tabia hio ukiwa nayo inaendana na kukosa usingizi unakuwa mtu wa mawazo usiku kucha, nimeacha vyote ata unifanye nini sshivi nakoroma tuu yaani nasahau kabisa kama ulinifanya kitu, kwaiyo jicontrol tu, maana hio hali ni hatari kwa afya yako na kwa sifa ya mtoto wa kike
Ha ha ha haKumbe kale kautafiti cha juzi kwamba kukosa usingizi ni dalili moja wapo ya ugonjwa wa kichaa 1:4.
Si kuna formula mkuu tuliaNiwe tu mkweli nimecheka sana, eti natetemeka kama teja, nalipuka kama bomu na kupiga mateke. Btw pombe sio nzuri hasa kwa jinsia yako, na kama utaendelea hivi itakuletea matatizo makubwa sana.
Sasa bby boi umempa vip maziwa wakati ulikuwa tungi
kunywa babu maana ni hatari. tafuta mmpenzi wa kuku fariji kwa karibu sanahabari zenu wakuu.
ninatatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa .. sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana ..
kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio lakutosha..
wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.
nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena...(japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe )
naombeni msaada nifanye nini napo kasirika ..
NB: nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa.
asanteni
Si kuna formula mkuu tulia
Duuu wewe unahitaji zaidi ya maombi au ubatizo wa moto huu wa maji haitoshinimewahi kumchioma mtu visu
nimewahi kumkata mtu vidode
nimewahi kumpiga mtu chupa za bia km 10
housegirl wangu alinizingua defender lilihamia mtaani
nilishambutua mwanamke mmoja mchepuko wa bwana wangu zamani nikavunja karibu vitu vyote baa nzima '''' yesu kristu wa nazaret .. bint yangu ananisemesha akiwa amesimmama mita kadhaa maana anajua mama mkali nikiwepo huwa anatii sheria hahaha'
mpangaji mwenzangu wa kiume aliniletea uswahili hahahaha mpaka leo tunaheshimiana.. wakike tunasalimiana tu tunapishana sitaki mazoea nao maana wanawake na majungu ntawekwa kwenye nondo
nikichukia navunja vitu, nalia.. ama natapika pamoja na kujikata wakati mwingine damu ikitoka napata ahueni
nina hasira za papo kwa papo lakini pia ni mwenye huruma sana na sipendi kukasirisha WENGINE
Tena kama unaweza nifungie chumbaniNimetulia mkuu. Sema nilitaka nijiongeze sasa ukiwa unachukia mateke nitayaweza mkuu?
Acha utani bwana me ni mzuri sanaDuuu wewe unahitaji zaidi ya maombi au ubatizo wa moto huu wa maji haitoshi
Tena kama unaweza nifungie chumbani
Wewe inaelekea ni muda mrefu hujagegedwa, stress inakusumbua. unajua wakati mwingine mgegedo ni dawa na usipofanya hivyo kwa muda mrefu hakika unaweza kimbia kichaa!Nina mchumba
hahahah nina hasira believe meDuuu wewe unahitaji zaidi ya maombi au ubatizo wa moto huu wa maji haitoshi
ntajaribuukikasirika au ukiwa na hacra sana, hesabu 1 had 20 mara 2 au 3, hacra zote kwisha. tena hesab kmya kmya. jarb utafankwa
sema ukiweza kunidhibiti ukanipa dushe bhaaas hasira inapotea ila dushe lenyewe liwe la uhakika nasahau kabisa km nilikasirika .....sema mtiti ni kunikamatia chini wakati huoDuuu wewe unahitaji zaidi ya maombi au ubatizo wa moto huu wa maji haitoshi
Pole sana Misa Chagga. Nenda muhimbili kitengo cha Psychiatric utapata msaada maana wao wanadeal na cases nyingi za matatizo ya akili.hapo naweza kuelewa sasa nifanyaje ?
Habari zenu wakuu.
Ninatatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa .. sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana ..
kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio lakutosha..
wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.
nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena...(japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe )
naombeni msaada nifanye nini napo kasirika ..
NB: nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa.
asanteni
Unatakiwa uache kujishtukiaHabari zenu wakuu.