Uyui HB
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 553
- 512
Usijari , jitahidi kijikontrooo,,usiogope its take time kunifikisha kukasirika ila huwa nikikasirika nawaka
Usijari , jitahidi kijikontrooo,,usiogope its take time kunifikisha kukasirika ila huwa nikikasirika nawaka
ha haha mkuu niongeze na bangi si bora pombeUkiwa na hasira jitaidi kuhesabu mpaka mia kwa kingereza na kiswahili.
Ukiona bado una tatizo ilo vuta bange kisha sikiliza music. Trust me hutajutia na utakuwa mwepesi wa kusamehee.
nakunywa pombe sana ili niliwe nizime nilale
sawa mkuuUsijari , jitahidi kijikontrooo,,
Haa! ataishije bila kuwa na mahusiano mkuu? kuwa na familia ni jambo la muhimu sana japo si lazima piaInategemea kwa kawaida hauna Tiba hasa inapokuwa kama umerithi kwa maana ni genetic yaani iko kwenye DNA code yako, hivyo unaweza tu kuishi nao, ndiyo maana nakushauri ujichunguze kama ni kweli una hiyo basi usianzishe mahusiano (kimapenzi) na mtu, na jaribu tu kukubali hali halisi na kuishi nayo!
asante mkuuMkuu edit hapo.
nimewahi kumchioma mtu visuha haha sawa mkuu
ha haha mkuu niongeze na bangi si bora pombe
we umenizidi mi charming sana yeyote anaweza nitania bila woga ndiyo maana napo kasirika wengi hawaamini na huwa natetewa sana hata kama mi ni mgomvinimewahi kumchioma mtu visu
nimewahi kumkata mtu vidode
nimewahi kumpiga mtu chupa za bia km 10
housegirl wangu alinizingua defender lilihamia mtaani
nilishambutua mwanamke mmoja mchepuko wa bwana wangu zamani nikavunja karibu vitu vyote baa nzima '''' yesu kristu wa nazaret .. bint yangu ananisemesha akiwa amesimmama mita kadhaa maana anajua mama mkali nikiwepo huwa anatii sheria hahaha'
mpangaji mwenzangu wa kiume aliniletea uswahili hahahaha mpaka leo tunaheshimiana.. wakike tunasalimiana tu tunapishana sitaki mazoea nao maana wanawake na majungu ntawekwa kwenye nondo
nikichukia navunja vitu nalia ama natapika pamoja ana kujikata wakati mwingine damu ikitoka napata ahueni
nina hasira za papo kwa papo lakini pia ni mwenye huruma sana na sipendi kukasirisha WENGINE
..this is a very serious 'situation'!!!nimewahi kumchioma mtu visu
nimewahi kumkata mtu vidode
nimewahi kumpiga mtu chupa za bia km 10
housegirl wangu alinizingua defender lilihamia mtaani
nilishambutua mwanamke mmoja mchepuko wa bwana wangu zamani nikavunja karibu vitu vyote baa nzima '''' yesu kristu wa nazaret .. bint yangu ananisemesha akiwa amesimmama mita kadhaa maana anajua mama mkali nikiwepo huwa anatii sheria hahaha'
mpangaji mwenzangu wa kiume aliniletea uswahili hahahaha mpaka leo tunaheshimiana.. wakike tunasalimiana tu tunapishana sitaki mazoea nao maana wanawake na majungu ntawekwa kwenye nondo
nikichukia navunja vitu, nalia.. ama natapika pamoja na kujikata wakati mwingine damu ikitoka napata ahueni
nina hasira za papo kwa papo lakini pia ni mwenye huruma sana na sipendi kukasirisha WENGINE
duh sawa mkuuPombe usinywe.. vuta bangi sikiliza mimbo ya zamani ulio kuwa unaipenda wakati huo.
Binafsi nikiwa na hasira navuta bange nusu kisha nasikiliza mimbo ya zamani kama Rasta wake up ya Senzo. Moyo unatulia na nakuwa na Amani kisha nakuwa na moyo wa kusamehe kiroho safi kabisa.
amina na nia kweli ya kuachaKaombewe kama kweli umedhamiria kuacha hiyo tabia,usipobadilika na kuacha maradhi yataanza kukunyemelea very soon kawni watu wengi wenye tabia hiyo mwisho wao hauwi mzuri.