miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
- Thread starter
- #241
Sawa mkuuPole sana Misa Chagga. Nenda muhimbili kitengo cha Psychiatric utapata msaada maana wao wanadeal na cases nyingi za matatizo ya akili.
Sawa mkuuPole sana Misa Chagga. Nenda muhimbili kitengo cha Psychiatric utapata msaada maana wao wanadeal na cases nyingi za matatizo ya akili.
Jifunze kudharau vitu...kwenye dharau hawanaga hasira coz kila kitu wanachukulia poaHabari zenu wakuu.
Ninatatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa .. sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila mahali, natetemeka kama teja sababu ya kunywa pombe sana ..
kwanza nachukua muda kukasirika ila huwa nalipuka kama bomu, unaweza niudhi leo jambo kubwa ila kesho ukaniudhi kidogo nikakufanyia jambo kwanza huwezi elewa na mara nyingi hutegemei reaction ile kwa hiyo huwa nakuwa mshindi nakupa ngumi mateke kukutafuna nikibahatika ndani ya dakika mbili nakuta nimefanya tukio lakutosha..
wakati mwingine nalia sana na ukiniongelesha nalia kwa sauti kama napigwa aibu kwa mtoto wa kike.
nakunywa pombe sana ili nilewe nizime nilale lakini hili nina miezi 10 sijafanya japo jana nimelifanya tena na mimi nilishafanikiwa katika hili naona linanirudia tena...(japo akili yangu na nafsi yangu inaniambia bora kurudia kunywa pombe )
naombeni msaada nifanye nini napo kasirika ..
NB: nikikasirika huwa nashindwa kuongea na ukiona umeniboa naongea jua sijakasirika ila nikaa kimya kaa mbali na mimi... mpaka nawaza au bado na utoto utoto japo ni mkubwa.
asanteni
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Unatakiwa upewe penzi zito toka kwangu zitaisha
[emoji15]mbona sasa, tafuta nyumba ndogo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unataka ukale ninjNaomba nielewe kitu kabla sijakushauri
ukipata hasira ndo unaenda kunywa ili ulewe na uzime?
na ukishazima unaliwa? na yoyote alie karibu?
ndo hasira zinaisha after ?
nieleweshe hapo kwanza
Ila pole mkuuHa ha jamani nilikuwa nalia mananifanya nicheke
SanteIla pole mkuu
Mchumba ndio alikuzingua hadi kufikia hali hiyo?Nina mchumba
toa basi kaushauri kidogo kabla sijakutafuta naomba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye anataka nn kwako had aulizeNina mchumba
Inadaixiaunahitaji love n sex
Funga walau siku 7. Siyo funga ya kutokula, hapana.amina na nia kweli ya kuacha