Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

Lete kipochi manyoya hapa kwangu Nikit****mbe haswa lazima uanze dharau kwa wengine
 
Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
Tunafanana kabisa!
 
Wajanja tumeelewa, vp umri wako
 
Sasa sijitambui kivip....me nataka niwe jasiri sema Kiswahili nacho kina maneno makali hakuna misamiati ya kutosha
Kuwa na dharau ni kuwa jasiri? Mwanamkr jasiri kwanza hana dharau na anaheshimu kila mtu bila kujali status ya mtu au title,
 
Halihusiani na masuala ya papuchi hapa nazungumzia nijiamin na watu wakaribu wasinichukulie poa/ don't take me for granted
Unatakiwa ujue swala LA MTU kukuchukulia poa au kukuheshimu liko ndan ya maamuz take mwenyewe ..usipoteze muda kutafuta njia za kukufanya uheshimike cha msingi mind ur b'ness .then jiamini .na ujikubali hayo mengine yatakuja. As time goes
 
Sawa kiongozi
 
Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
Olewa mumeo atakusimamia
 
Back
Top Bottom