Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
ungaliweka picha yako ili tujilizishe hayo utuambiayo
 
Samahani kama nitakukwaza, vip huruma yako pia inahusika kutoa penzi labda kwa mtu aliyekufuatilia kwa muda wa siku nyingi ambae ulikuwa humpendi ila kwa kutokukata tamaa kwake ukaona kaka wa watu kateseka sana ngoja umpe tu papuchi kutokana na huruma yako. je huruma hiyo unayo?
 
Huruma huo sinaa..
 
Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
Umeshaolewa? Kama bado 'najaa! inbox!
 
Ushawahi kutendwa ? Na kurushiwa maneno makali kukuhusu? Mara nyingi inapunguza confidence
Watu huwa wananisengenya bila kuwafanya chochote pia wananionyesha chuki za waziwazi
 
Ndo reason ya wewe kutojiamini. Jifunze kuwapotezea kabisa, mtu akikuonyesha chuki mwonyeshe hujali hata kidogo, hata kama unajali, plus omba Mungu maana si shughuli ndogo.
 
Sawa nitajitahidi
 
Niliwai mwambiaga baba yangu mdogo, asiwabane sana watoto wake, hasa mabinti.

Unakuta mtoto analelewa katika maadili mema anabanwa sana mpaka anakua, matokeo yake kuna maisha fulani yanampita.

Ndo mambo kama haya

pole sana
 
Ndo wanakuaga kama mimi
 
Back
Top Bottom