bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,714
Sasa kuwa na dharau, kulinga mbona ni sifa za kijinga!Sifa gani
Shida yako ujitambui basi..
Sasa kuwa na dharau, kulinga mbona ni sifa za kijinga!Sifa gani
Sasa sijitambui kivip....me nataka niwe jasiri sema Kiswahili nacho kina maneno makali hakuna misamiati ya kutoshaSasa kuwa na dharau, kulinga mbona ni sifa za kijinga!
Shida yako ujitambui basi..
Ujitambui thamani yako! Utakuwa unajirahisi mno, unamanisha ukiombwa papuchi unatoa tu, si ndiyo huruma hiyo unamhurumia anayeumia na nyege[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa sijitambui kivip....me nataka niwe jasiri sema Kiswahili nacho kina maneno makali hakuna misamiati ya kutosha
Ha ha ha sijaachwa wala Ila nakuaga na hofu na sijiamini kabisa yaan me ni mrembo nikipita watu lazima wageuke Ila sijui Kwa nn sipo proud wala siringi..nataka niringe niwe kama wadada wengine wanaojiamini
Ha ha ha sijaachwa wala Ila nakuaga na hofu na sijiamini kabisa yaan me ni mrembo nikipita watu lazima wageuke Ila sijui Kwa nn sipo proud wala siringi..nataka niringe niwe kama wadada wengine wanaojiamini
Mwandiko umefanyajeHuu mwandiko huuuuuuuu!!!
Sasa ndo hapo nikiacha kuwasiliana na watu wanaonidharau wananisengenya Kia Nina roho mbaya...yani binadamu hawana shukuraniSikushauri uwe na maringo maana utapishana na riziki,
sikushauri uwe na roho ya kisasi maana utawalipa wangapi?,
sikushauri uache tabia uliyonayo japo nakushauri utambue kuwa kuacha kuwasiliana na mtu anayekudharau ni sawa kiafya wala usijishtukie,
kaza roho binti usijeangamia kwa kukosa maarifa.
Ili iweje...we unakula ngap Kwa sikukula pilipili tatu kila siku asubuhi
hahaha fala wwkula pilipili tatu kila siku asubuhi
Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
Utakuwa umeelewa kama mimi!Nafikiri nimeelewa lengo lako