Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,870
Kupunguza mazoea tu na MTU unaeona hamuendaniNipe tips za kua bandidu
Kupunguza mazoea tu na MTU unaeona hamuendaniNipe tips za kua bandidu
We ndo umeongea sasa! Kula Tano kwanzaNjia rahisi ni kuwa na pesa ndefu tu, wala hutahitaji tuition. Hio tabia unayotaka hujaga yenyewe tu.
Asante kwa ushauri mzuri ndugu..ubarikiweKindness sio weakness...
Wew ni mtu poa sana, na ni wachache sana wako kama wewe.
Huna Ego, majigambo na majivuno, kujiona, sio ujanja kabisa. Mbona kuna watu maarufu tu, wapo cool kama wewe, wenye mpunga fresh tu, wakina Keanu mfano.
Husiharibu hiyo hali.
Njoo ujifunze jinsi ya kuwa na mtazamo chanya wa hiyo kitu... #be good.
Dah fursa hii ngoja niiwahiHabari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
Kuwa kama ulivyo ni ngumu, ila kuwa unavyotaka kuwa now ni rahis sana.Asante kwa ushauri mzuri ndugu..ubarikiwe
wewe bandidu?Kuwa bandidu. Mazoea yawe na mipaka
nakutaka.. 😉Hahahaha
Hhahaah kweli?Kuwa kama ulivyo ni ngumu, ila kuwa unavyotaka kuwa now ni rahis sana.
Develop negative vibes, kuwa muongo muongo, jijali mwenyewe tu. Ukifanya kwa week uta develop hiii tabia.
Yani nikianza kujijali tuu wanasema Nina roho mbaya yani wanataka kunicontrolKuwa wewe, weka mipaka, put yourself first na cha muhimu zaidi LOVE YOURSELF GIRL hata haihitaji kuwa na dharau wala maringo.
Ndo binadamu tulivyo, usiwaruhusu wakucontrol my dia na usifate maneno yao maana ndio yanayo kufanya uwe hivyo.Yani nikianza kujijali tuu wanasema Nina roho mbaya yani wanataka kunicontrol
Huhuhuhu[emoji91]kula pilipili tatu kila siku asubuhi
Sawa ledadaNdo binadamu tulivyo, usiwaruhusu wakucontrol my dia na usifate maneno yao maana ndio yanayo kufanya uwe hivyo.
kwanza endelea kuringa kwa madsha,na jitzhidi kuvaa na kula vizuri,pia tembelea vijiwe vya hadhi ili ukutane na watu wa status fulani,kama una gari ok ila kama hunz basi jitahidi ununue gari,mengine ntakupmPole sana ...vipi lakini umeachwa au umeachika ? Haka kasentensi nmekapenda "Mimi mwenyewe pia ni mrembo"
Mbona umeniqoute mimi?kwanza endelea kuringa kwa madsha,na jitzhidi kuvaa na kula vizuri,pia tembelea vijiwe vya hadhi ili ukutane na watu wa status fulani,kama una gari ok ila kama hunz basi jitahidi ununue gari,mengine ntakupm
Umetumia vigezo gani kusema wewe mrembo?Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante