Cha kwanza nijuwe miaka yako chapili uniambie mwanaume uliye naye je mnaendana nayeHabari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
Matangazo ganihaya nayo ni matangazo pia
Ha ha ha sijaachwa wala Ila nakuaga na hofu na sijiamini kabisa yaan me ni mrembo nikipita watu lazima wageuke Ila sijui Kwa nn sipo proud wala siringi..nataka niringe niwe kama wadada wengine wanaojiamini
Nijichunguze kwenye mambo yap labda.. asante Kwa kunielewaChukua likizo uende mahali patulivu peke yako kwa muda wa siku 14!
Kata mawasiliano yote, kaa mwenyewe na ujichunguze maana you are very powerful mpaka unaogopa kujichunguza ndani yako!
Mtoe nje your strong version of your self!
That’s all
Ninalo la kawaidaHauna wowowo? Nasikia mwanamke mwenye nalo anajiamini kuliko mwenye degree
Unafanyaje mpaka umeweza kumuignore mtu mbna Mimi ni muoga wa kufanya hivyoMie ndo bingwa wa kuignore.Sina time na mtu hasa nikiona mpuuzi
Intuition!Nijichunguze kwenye mambo yap labda.. asante Kwa kunielewa
Uwoga ni kitu kibaya sana maishani!Unafanyaje mpaka umeweza kumuignore mtu mbna Mimi ni muoga wa kufanya hivyo
Me awali nilikuwa kama ww.But walimwengu wamenifunza ukatili.Dada maisha ni jino Kwa jino,mtu unayona ni mnafiki kwako,unaona anakuona huna maana,anakuwazia mabaya hata kama hajakufanyia hebu mpotezee hata salam usiitike wala usimsalimu.Nimefanya hivi mie ten Kwa watu wazima workmate ambao ni full kunisakama imesaidia na heshima ipo na walionesha kurudi na kutaka maelewano hapana wakikuingia tu umekwisha.Kaa kimya wapotezeeeUnafanyaje mpaka umeweza kumuignore mtu mbna Mimi ni muoga wa kufanya hivyo
Sawa asanteIntuition!
Hii ni hali ya wewe mwenyewe, usiongozwe na mtu yeyote!
Jaribu kukumbuka tangu utoto wako mpaka sasa hivi, history yako yaani hapa ni ME, MYSELF AND I!
HahahahhaUkila ganja utajiignore hata wewe mwenyewe
Sawa nitapractice hiiMe awali nilikuwa kama ww.But walimwengu wamenifunza ukatili.Dada maisha ni jino Kwa jino,mtu unayona ni mnafiki kwako,unaona anakuona huna maana,anakuwazia mabaya hata kama hajakufanyia hebu mpotezee hata salam usiitike wala usimsalimu.Nimefanya hivi mie ten Kwa watu wazima workmate ambao ni full kunisakama imesaidia na heshima ipo na walionesha kurudi na kutaka maelewano hapana wakikuingia tu umekwisha.Kaa kimya wapotezeee
Practice uone.Tena itakusaidia,wapotezee hata kama ni majiran, wafanya kazi wenzako wale unaoona Wana jelous na unafiki na maneno maneno.Huwa ni wajinga tuSawa nitapractice hii
Njoo pm