Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,642
Asantee kapeace nakupenda pia [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hahahahaha nakupenda lakini
Asantee kapeace nakupenda pia [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hahahahaha nakupenda lakini
[emoji120] [emoji120]Asantee kapeace nakupenda pia [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Kweli Maringo sio kitu kizuri. Hata uwe mzuri kama Malaika ukisharinga unaharibu.Kuringa sio dili... muhimu kujiamini na kujielewa... Trust me, hivi karibuni nimekutana dada mrembo hasa, na nilipaswa kuwasiliana nae mambo fulani nikahisi nitachomeshwa mahindi na kuwekewa pozi za maringo... lakini alivyonipokea na na kunishughulikia bila maringo wala nyodo pamoja urembo wake kwa kweli nimetokea kumuheshimu kupita matarajio niliyokua nayo.
Usitamani kuwa na maringo, zaidi tamani kujiamini ndio itakua sawa.
Akahurumiwe [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu huko Pm kwema kweli?
Nipe tips za kua bandiduKuwa bandidu. Mazoea yawe na mipaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kula pilipili tatu kila siku asubuhi
Halihusiani na masuala ya papuchi hapa nazungumzia nijiamin na watu wakaribu wasinichukulie poa/ don't take me for grantedTatizo hili huwa wanalo wanawake wengi nawajua....yaani hata ukiombwa papuchi huwezi mmkatalia mtu...mnaitwaga akina mama huruma.,ila huwa kuna namna ya kulipunguza tatizo hilo..pole sana ukihitaji ushauri nasaha ni pm
Ujitambui thamani yako! Utakuwa unajirahisi mno, unamanisha ukiombwa papuchi unatoa tu, si ndiyo huruma hiyo unamhurumia anayeumia na nyege[emoji16][emoji16][emoji16]
Ebu kuwa serious, huruma siyo kutoa vitu bila mpangilio, au kulinga siyo sifa njema only you are lacking determination, maana kila unalo litamani si jema kwako. Mtafute Yesu atakuongezea thamani sana, njia unayoitafuta kuifuata utapotea kabisa.
Bora tupo wawili[emoji3] [emoji3] [emoji3] sema we unakuaje tupate tiba humu jukwaaniTunafanana
Lkn nataka nijifunze dharau kwa mda
Sjui ni moyo gn huu
Kujiamini kuna kuja baada ya kudharau kitu, watu ama jamboUnachanganya dharau na kujiamini na ujasiri.
Tatizo watu wananitumia na kunidharau hasa rafiki wangu wa kikeHiyo hulka yako ndo ilopelekea kuwa na mafanikio hayo.Nakushauri endelea nayo usiiache
Sizungumzii huruma huo...sorrykama kweli una huruma nihurumie mwenzio mechi ya kirafiki
Kujiamini kunatoka ndani yako (kwamba wewe unaweza, wewe una thamani n.k).Kujiamini kuna kuja baada ya kudharau kitu, watu ama jambo
sasa si ungeweka na kapicha kako tuone huo urembo ili tukushauri vizuriHa ha kabisa yaan me ni mrembo nikipita watu lazima wageuke
Jibu hili linashiria uwezo wa kujiamini unao, na unaweza kabiliana na yeyote anayejaribu kukushusha thamani, tena ni rahisi zaidi kupuuza wanaokushusha kwani tayari unajua kuwa wanafanya makusudi... ikiwa ni hivyo basi usiweke kwenye akili yako mambo hayo, zaidi komaa na mambo yako binafsi yatakayowanya haobwanaokudharau na kukushusha kukuheshimu zaidiHalihusiani na masuala ya papuchi hapa nazungumzia nijiamin na watu wakaribu wasinichukulie poa/ don't take me for granted
Kindness sio weakness...Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante