Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

Ha ha ha sijaachwa wala Ila nakuaga na hofu na sijiamini kabisa yaan me ni mrembo nikipita watu lazima wageuke Ila sijui Kwa nn sipo proud wala siringi..nataka niringe niwe kama wadada wengine wanaojiamini
Hahaa. Hebu nitumie PM picha yako nikuone nikusifie
 
Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
kutokana na hyo tabia bac upo ktk hati hati ya kudate na wanaume wengi sana

Af kila sku wew ndo utakua unaachwa maana moyo wa kuachana huna
 
Ha ha ha sijaachwa wala Ila nakuaga na hofu na sijiamini kabisa yaan me ni mrembo nikipita watu lazima wageuke Ila sijui Kwa nn sipo proud wala siringi..nataka niringe niwe kama wadada wengine wanaojiamini
Usiwe kama hao wadada wengine ni upumbavu,labda kama hofu yako huwa inapelekea utoe penzi kirahisi rahisi
 
Back
Top Bottom