Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

Nahitaji kuwa na dharau/kuignore watu

MBONA MWENYE ROHO MBAYA AJIJUI ZAIDI YA KUJIHIS YUKO SAWA........WEWE SHIKA YAKO ZINGATIA TU WATENDEE WATU YALE AMBAYO UKITENDEWA WEWE HOTOCHUKIA.....UNAPOTELEZA OMBA TU MSAMAHA..USITAKE KUWARIZSHA WATU WOTE HILO HALIWEZEKAN ABADAN MANA HATA MITUME HUKATALIWA KWAO
 
Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga na hofu utadhani Mimi ndie niliemkosea...Nina mafanikio lakin watu ndo wanatumia mafanikio yangu kuliko Mimi mwenyewe pia ni mrembo Ila sijui kuwa proud ama kuringa yani nimejawa na hofu zisizo na maana naombeni Masada nitumie Mbinu gani niwe jasir kama wanawake wenzangu
Asante
inabid tuwe wote au uishi na mm, mm pia zaman nilikuwa kama wewe..

ila nimebadilika kiasi kwamba hata mtu kufanya maongez na mm, awe amejipanga vzr
 
Kwanza FUTA NAMBA ZOTE ZA KWENYE contact phone ,, hiyo itakufanya kila anayekupigia sm UMUULIZE WEWE NANI PLZ..na yeye atakuuliza namba yngu huna? Au umefuta? utamjibu MIMI SI SAVE number za watu Wa AJABU AJABU...hapo utaanza KUWA IGNORE watu pole pole,,,kuanzia ndugu,,marafiki nk,,,na hata wale wanao KUSIMAMISHA NJIANI,,,jifunze kumwangalia JUU HADI CHINI.,,halafu TEMA MATE CHINI....kuonyesha kama umeona UCHAFU MBELE YAKO...ukiwa na tabia hizo,,,hakuna Wa kukusogelea, ,UTARINGA ZAIDI YA MICHAEL JACKSON....
Sema kweli
 
kwanza endelea kuringa kwa madsha,na jitzhidi kuvaa na kula vizuri,pia tembelea vijiwe vya hadhi ili ukutane na watu wa status fulani,kama una gari ok ila kama hunz basi jitahidi ununue gari,mengine ntakupm
Sawa hebu nitajie vijiwe vyenye hadhi niwe naenda huko nikakutane na watu tofautitofauti
 
Lengo la huu uzi wako ni kufikisha ujumbe kua una mafanikio na wewe ni mrembo,hayo mengine ni blah! blah! tu,

Labda nikuulize tu,umejuaje kama wewe ni mrembo? Umetumia criteria gani kujua kua wewe ni mrembo?
Mimi ni mrembo watu weng wananiambia had mama angu wananiambia hivyo
 
inabid tuwe wote au uishi na mm, mm pia zaman nilikuwa kama wewe..

ila nimebadilika kiasi kwamba hata mtu kufanya maongez na mm, awe amejipanga vzr
We unambie ulifanyaje na Mimi nifanye nibadilike
 
nenda maeneo ya masaki kwenye pub za nguvu kama samakisamaki,budget,giorgis,nenda serena
 
Una mafanikio kama yapi

Na urembo wako unaujuaje
#tuanzie hapo
Nina mafanikio Kwa sababu nimeweza kuyafikia malengo yangu Kwa wakati namshukuru Mungu..sijui wewe mafanikio kwako ni kitu gan
 
Back
Top Bottom