The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,109
- 117,861
Good luck.
tuko pamojaGood luck.
Uku napo ni kutokujitambua unakuta mtu ameshajikatia tamaa kwa staili hii vijana itatuwia ugumu sana kutoboaMbona unang'ang'ania kampuni ya kuzoa taka tu???[emoji849][emoji849]
Kama kuna option ya kazi nyingine?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
huo ni mtazamo wako mkuuUku napo ni kutokujitambua unakuta mtu ameshajikatia tamaa kwa staili hii vijana itatuwia ugumu sana kutoboa
Wakuu nahitaji mwenye kazi anisaidie!
Naishi Dar.
Malipo walau iwe 4,000 Au zaidi kwa siku.
Elimu nilifeli form 4.
Wabongo walivyo wachawi ndio wanapenda mtu awe hivi.....Dah
Mungu akufanyie wepesi
Ningekua na kakipato ningekuajiri nawe ujikimu
Maisha ni kusaidiana,kuhurumiana kama ndugu malipo kwa Mungu Yehova
angalia pm mkuuKuja pm na number yako
Ukileta thd kua maisha yako ni mazuri na umetusua,kila mtu atakusema vibaya,wengine watasema unaongopa tu coz umepigika hata kama mtu hakujui! ila ukileta thd kua umepigika kila mtu anakua na huruma na wewe!Wabongo walivyo wachawi ndio wanapenda mtu awe hivi.....
Hiyo Guantanamo tabata nasikia hayo mateso ya vibarua ni usipime[emoji419]Kama upo Tegeta nenda Chemicotex pale karibu na Jogoo kama sikosei.
[emoji419]Buguruni nenda kiwanda cha Barkhresa
[emoji419]Mbagala nenda kiwanda cha Barkhresa au Tiles
[emoji419]Tabata kuna nasikia kiwanda cha mhindi kinaitwa Guantenam mateso kama upo mateka vile Guatenum bay[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji419]Ubungo nenda Mkapa Processing Zone pale External hakikisha una kitambulisho cha Nida
[emoji419]Nenda kwenye masoko makubwa kuna kazi za nguvu za kubeba mizigo ,pia unaweza enda mchikichini kariakoo .
[emoji419]Temeke nenda Bandarini ukapakue mizigo
Katika njia hizo we umepata kazi gani hapo.Kama upo siriaz ngoja nikupe mbinu za kupata kibarua kwa urahisi mtaani, nendeni kitaa kajitolee kupiga kazi bure hata kwa wiki halafu jipendekeze sana kwa msimamizi baada ya wiki unaingizwa kwenye system, mfano wa hizo sehemu ni Kama, carwash, mahotelini, vijiwe vya kuziba pancha, site za ujenz na kadhalika.
Nasikia ni noma na nusu ndio maana wakapaita Guatenum ,guatenum ni jera ya wamarekani walikuwa wanapelekwa wale magaidi 😂😂😂Hiyo Guantanamo tabata nasikia hayo mateso ya vibarua ni usipime
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tafuta uzi wangu, umeandikwa kijana wa kitanzania nishawishi nikupe ajira. Usome vizuri then njoo na maarifa mazuri tuzungumzekuna kibarua gani mkuu. nisaidie kama kipo
Hahaha jf sihami. Hizo pancha atazibia wapi? Hebu toa location.Kama upo siriaz ngoja nikupe mbinu za kupata kibarua kwa urahisi mtaani, nendeni kitaa kajitolee kupiga kazi bure hata kwa wiki halafu jipendekeze sana kwa msimamizi baada ya wiki unaingizwa kwenye system, mfano wa hizo sehemu ni Kama, carwash, mahotelini, vijiwe vya kuziba pancha, site za ujenz na kadhalika.
Nilwahi pata ya kuosha magari enzi hizo, kwa sasa mjuba napiga biashara zangu binafsiKa
Katika njia hizo we umepata kazi gani hapo.
Watu wa jf wengi bongo zenu zimejaa negativity sana, nikupe mfano hai kutoka kwangu, by 2010 namaliza six nilpigika kitaa mwaka mzima bila ishu ya kuniingizia hata jero, maisha ya kupiga mzinga yakanishinda kufikia 2011 nikaingia kitaaa kutafuta vibarua, so far haikuwa rahisi kila unapoenda kuomba kibarua hata cha usaidizi wa ujenzi unaambiwa tumejaa, baadaye nilkuja gundua watz wengi tupo wabinafsi hata mikazi ya nguvu watu tunabaniana yaani wanaona ukiongezwa utapunguza kipato chao, thanks God ktk kawoshi moja niliyowahi toswa kwa kuambiwa tumejaa, nikarudi nikasoma mchezo nikamwona mmoja wa waoshaji pale ambaye ndo alikuwa mbabe wao nikamfata nikamzuga bro tangu Jana sijala naomba nikusaidie Leo mpaka jioni utanipa buku tu nipate wali maharage, kwel mbinu ikakubalika jamaa kila gari inayokuja likawa linanitolea makapeti naosha jioni likanitoa elf3 na likaniambia na kesho njoo, nilionyesha bidii na ndani ya wiki likawa limenifundisha kuosha gari nzima at the end nikawa kibarua wa hapo mwaka mzima nikazichanga na kupata hela ya kuingia mgodini bulyanhulu mpaka Leo nishatoboa maisha kupitia hiyo mbinu.Hahaha jf sihami. Hizo pancha atazibia wapi? Hebu toa location.
nasisitiza kazi ya kuzoa taka sababu elimu yangu nilifeli darasani
Bado nipe mchongo[emoji16]Umepata kazi?