Nahitaji kibarua cha 4,000 kwa siku

Nahitaji kibarua cha 4,000 kwa siku

Dah mwenye ajira amsaidie kijana. Huwezi jua.
Kwanza nampa pole kijana kwa haya anayopitia, hata hivyo kinachotushinda wengi kuwaajiri vijana wenye shida kama hizi ni kutojua historia zao. Unaweza ukamhurumia kumwajiri then baadaye kitakachotokea ni majuto kwako.
 
Mm kunamshikaji aliandika Uzi kama huu.nikasema ngoja nimcheki.ushirikiano unakuwa hafifu sana.fikiria unamwambia MTU tuma number yako tuwasiliane.anakwambia tutawasiliana kupitia bobo jf.unamwuliza unaishi wapi.anakujibu kwa mshikaji..kwa mshikaji ni wapi msasani.tunaonanaje sasa.yani anajibu short.tutachat bobo.sasa mpaka apo MTU unaingiwa na mashaka kama alivyosema mdau mmoja apo.unakuta unaanjri mtu historia yake huifaham.hii inakuwa sio sawa umeomba kupatiwa sehem ya kujishikiza anakuja MTU MPE details zako dhen unanza kuleta drams
 
Mkuu nenda pale keko magurumbasi ....kwenye Godown La Monalisa ..Good one good ..pale hukosi kazi. ..kwa siku ni 4000 ...na chakula Cha mchana wanakupa

Good one good ndo slogan gan Yao kubwa ..ila pale utabeba tiles kinyama....

Note: Anza mazoezi ya kulala sakafuni .. maana ukitoka pale Monalisa mgongo haufai ....
 
Mm kunamshikaji aliandika Uzi kama huu.nikasema ngoja nimcheki.ushirikiano unakuwa hafifu sana.fikiria unamwambia MTU tuma number yako tuwasiliane.anakwambia tutawasiliana kupitia bobo jf.unamwuliza unaishi wapi.anakujibu kwa mshikaji..kwa mshikaji ni wapi msasani.tunaonanaje sasa.yani anajibu short.tutachat bobo.sasa mpaka apo MTU unaingiwa na mashaka kama alivyosema mdau mmoja apo.unakuta unaanjri mtu historia yake huifaham.hii inakuwa sio sawa umeomba kupatiwa sehem ya kujishikiza anakuja MTU MPE details zako dhen unanza kuleta drams

Bobo ni wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom