Nahitaji kibarua cha 4,000 kwa siku

Humu JF unakuta mtu anasema katumia zaidi ya 350K ili kunywa na mwanamke same person hayupo radhi kumpa 350K mleta uzi as mtaji wa kupata zaidi ya elfu 4 kwa siku.

Instead unakuta uzi wa mtu kama Ugumu wangu akifanya sadaka rawe ya vifaa vya kamera (kama kweli anavyo) and yet hata watu wakireach out kwamba mzee sasa tuendeleze mchakato wa ulichokisema hua inakua komedi.

So at its core JF ni sehemu ya kuja kubrag, show off, kutukanana, kuumizwa roho on you being broke etc.
 
Tsh 4,000 kwa siku ni sawa na dola 2 kwa siku.

Halafu Kuna watu humu utawasikia wanawakatisha tamaa watanzania kwenda kubeba boksi ulaya anapolipwa dola 5-10 kwa saa
Habari mkuu, naweza vipi kwenda kubeba box? Au ni kazi inayohitaji wasomi? Niko tayari
 
Humu JF unakuta mtu anasema katumia zaidi ya 350K ili kunywa na mwanamke same person hayupo radhi kumpa 350K mleta uzi as mtaji wa kupata zaidi ya elfu 4 kwa siku.

Instead unakuta uzi wa mtu kama Ugumu wangu akifanya sadaka rawe ya vifaa vya kamera (kama kweli anavyo) and yet hata watu wakireach out kwamba mzee sasa tuendeleze mchakato wa ulichokisema hua inakua komedi.

So at its core JF ni sehemu ya kuja kubrag, show off, kutukanana, kuumizwa roho on you being broke etc.
Mkuu unakuta ni kweli tunavitu vya kugawana ridhiki na wenzetu ila sasa rafiki nahisi mwenyewe umeshuhudia baada ya kusema kila mtu aandika japo kwa vifaa hivyo atavitumia vipi na kuingiza vipi kipato ili tugawane,lakini Cha ajabu unakuta hesabu zinazopigwa ni za uongo tupu na ambazo zinahitaji kuongeza na gharama zingine pi so kibongobongo ni ngumu sana kuwezeshana bado watu hawajajua kutumia fursa
 
Nahitaji kazi kwenye kampuni ya kuzoa taka, naishi Dar!
Niliwahi kupata kazi nikiwa hoi bin taabani, nina hali mbaya sana lakini namshukuru Mungu nilipata kazi siku hiyo.

Njoo inbox nikupe maelekezo unaweza fanikiwa haraka ukapata walau 150k per month..

Au kama unaweza, nenda hotel ya peacock pale mnazi mmoja, wana section ya kuzalisha mikate na huwa wanachukua vijana wa kuwauzia mikate kwa makubaliano maalum.

Kwa kila mkate unaouza, unapata Tshs 200. Ukiuza mikate 50 una elfu 10 yako. Chai ya asubuhi juu yao. Zungusha mikate kariakoo hapo unatoboa.

Ukishafikia hatua kama hii, usiangalie kazi ya kufanya kabisa
 
Mkuu unakuta ni kweli tunavitu vya kugawana ridhiki na wenzetu ila sasa rafiki nahisi mwenyewe umeshuhudia baada ya kusema kila mtu aandika japo kwa vifaa hivyo atavitumia vipi na kuingiza vipi kipato ili tugawane,lakini Cha ajabu unakuta hesabu zinazopigwa ni za uongo tupu na ambazo zinahitaji kuongeza na gharama zingine pi so kibongobongo ni ngumu sana kuwezeshana bado watu hawajajua kutumia fursa
Na wawezeshaji mna ugumu wenu pia

Mi nilikuambia acha contacts ukagoma
 
Na wawezeshaji mna ugumu wenu pia

Mi nilikuambia acha contacts ukagoma
Wewe hukusoma na kuelewa mkuu siwezi kutoa contact kabla sijapata mawazo yako toa mawazo yako kwenye uzi niyasome au njoo pm andika mawazo yako then nikipendezwa ndio mazungumzo yanaanzs
 
Humu JF unakuta mtu anasema katumia zaidi ya 350K ili kunywa na mwanamke same person hayupo radhi kumpa 350K mleta uzi as mtaji wa kupata zaidi ya elfu 4 kwa siku.

Instead unakuta uzi wa mtu kama Ugumu wangu akifanya sadaka rawe ya vifaa vya kamera (kama kweli anavyo) and yet hata watu wakireach out kwamba mzee sasa tuendeleze mchakato wa ulichokisema hua inakua komedi.

So at its core JF ni sehemu ya kuja kubrag, show off, kutukanana, kuumizwa roho on you being broke etc.
Ni kawaida mkuu, hata huku mtaani wapo wenye pesa hawagaii wasio na pesa. Sio rahisi Kama unavyosema...kila mtu na mipango yake na maisha yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom