Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

Hapoo JAMAA alikuwa na Depression kubwa maana anaona anakupenda lakini Hana uwezo wa kukutimizia Mambo mengi unayotaka na anayotamani kukufanyia...!! Akaona bora akuache kablaa hujamuacha... Ilishawahi kunikuta hata mimi Nlishindwa kumpa hata vocha ya 500 yani.. Japo my girl alilia sanaa akasema hataki tuachanee hata kidogo... Akaacha hata kuniomba vitu vidogovidogo mpaka pale mambo yalipokaa sawa.. SO HUTOKEA SANA KWA MWANAUME AKIWA DEPRESSED NA KUFEEL SO DOWN...JITAHIDI KUONGEA NAE NA KUMUELEWESHA..!!
My Dear, Leo King hii ndo sabàbu kubwa, Ni Depression na Kujisikia hatia.
Ukweli ni kwamba anakupenda Sana Tatizo anaumia Sana anaposhindwa kukusaidia hata kwa kitu cha kawaida Kama mpenzi.

Nami yalishanikuta,hadi hapo mambo yalipokaa saw a.
Ni kitu cha kawaida, Unatakiwa umvumilie tu kwasasa, Nina uhakika mambo yakiwa poa atakutafuta.

Mie nilimuacha wangu kwa namna hiyo,but nilijirudi na nipo nae hadi Leo. Niamini mm Dada yangu Huyo ni mwanaume wa pekee Sana kwako, Mvumilie huku ukizidi kumuomba Mungu mambo yake yawe vizuri.

Ni msongo wa mawazo na kukosa raha kunakosababishwa na kushindwa kwake kukutimizia mahitaji ya kawaida ukiwa Kama mpenzi wake.
 
A general rule is ukimpenda mtu sana, ujue yeye hakupendi kivile yaani, and the vise versa is true. Sema ndo hivo wanawake wengi hawaamini hili.
 
trust me i was very okay with that...sijawahi kulalamika hata...yani alikua furaha yangu dah
Yaah Ofcoz itakuwa kweli hukutaka pesa dada angu...lakini Kama alikuwa anakupa vitu flani mwanzoni na sasa hanaa kabisaa... Mawazoo yanamtafuna... Kujiepusha kuja kuumia zaidi na kumuona dume suruali..kakupa break! Ilaa wew komaaa naee...Jibembeleze kwake tuu..
Atabadilisha msimamo wakee... Maana siku hizi Kupata mwanamke wa kukuvulia Chupi na hunaa kitu mfukoni ni wa kumheshimu na kumthamin pia
 
My Dear, Leo King hii ndo sabàbu kubwa, Ni Depression na Kujisikia hatia.
Ukweli ni kwamba anakupenda Sana Tatizo anaumia Sana anaposhindwa kukusaidia hata kwa kitu cha kawaida Kama mpenzi.

Nami yalishanikuta,hadi hapo mambo yalipokaa saw a.
Ni kitu cha kawaida, Unatakiwa umvumilie tu kwasasa, Nina uhakika mambo yakiwa poa atakutafuta.

Mie nilimuacha wangu kwa namna hiyo,but nilijirudi na nipo nae hadi Leo. Niamini mm Dada yangu Huyo ni mwanaume wa pekee Sana kwako, Mvumilie huku ukizidi kumuomba Mungu mambo yake yawe vizuri.

Ni msongo wa mawazo na kukosa raha kunakosababishwa na kushindwa kwake kukutimizia mahitaji ya kawaida ukiwa Kama mpenzi wake.
Ofcoz kwa Mwanaume wa kweli lazima hali hii ikukutee...!! Me girl wangu mpaka yeye akaanza kunitumia vocha sometimes yani... Siwezi Fikiria hata kumuacha alijitoa sanaa wakati ambapo no girl angewezaa
 
Ndo mwanzo wa safari ya kuwa sugu,

Jikaze tu
Wakikuumiza tena kama wawili au watatu mwishowe utaelewa namna ya kudeal nao
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
 
lazima kuna kasoro ameiona either kwako au kwake, we ni kushukuru tu na kupambana kimpango.... mapenzi kitu cha kupita tu tena wala haikuwa ndoa
 
1. I'll Get Over You




2. It's Okay to cry




3. You have got to move on.

Ni kweli hujui kilichopo moyoni mwa mtu and it is not your position to second guess. Ukianza kuwaza sana utaanza kutafuta negative things kukuhusu ambazo unahisi ndo zilimfanya akuache. Let it go. Najua ni ngumu kuliko inavyotamkwa, but baada ya machozi, you have to do this.

4. Thank you for the Journey
Kuna mawili. Ulie na kuendelea kumfikiria mwishowe aidha ujichukie ama umchukie AMA ujisemee kama wale mashabiki wa Italy (ama Brazil) kama sikosei ambao baada ya kutolewa mapema sana kwenye mashindano fulani walienda airport kuwapokea wachezaji wao wakiwa na mabango yaliyoandikwa (kwa lugha yao): 'THANK YOU FOR THE JOURNEY'. Mwambie hivyo moyoni (you don't need to text or call him).

Baada ya hapo kuwa busy na maisha yako. Umegundua kuwa pamoja na kuwa ulivyoachwa ulilia ila kuna nyakati ukiwa labda na marafiki zako ama ukifanya kitu unachokipenda unakuwa na furaha unasahau mpaka pale kawazo kake kanapokujia? Jiweke busy with life, find a new hobby or something different ulichokuwa unatamani kukifanya.


TIME HEALS ALL THE PAIN. STOP SECOND GUESSING (as I said mwanzoni, itakufanya aidha umchukie ama ujichukie).

All the best.
 
He needs some time alone. Wewe fanya yako.. Once he gets back to his senses and needs you back in his life he'll find you. Hope it won't be too late for him when that moment arrives.
 
Ni hivi majuzi tu nimetoka kuachana ( kuachwa) na mpenzi wangu wa chuo tulio-date kwa miaka mitatu yote ya chuo. Sababu ya msingi haieleweki, kama kazi wote tumepata hivyo mambo ndogo ndogo hayasumbui.

Maumivu yake hayana mfano, siku zote nilikuwa naamini mwanaume haumii wakati wa break up ila safari hii nimebadilisha mtizamo. Kidume nimekosa raha kabisa, usingizi haupatikani, kazini nikifika naomba siku iishe nirudi home kulala. Nimeuanza mwaka kwa maumivu ya aina yake.

Nina imani mwenyezi mungu atanivusha salama katika hili, i can feel jinsi gani umeumia. Haya mambo haya, afanaaaleki...! Nawaonea huruma watakaofuata, mwenzenu kawaponza nitawafanya kitu kibaya sana.
Amen mkuu mungu akujalie wepesi
 
Poleee sana kwanza bila shaka huyo MTU wako ni msiri saana.. Kuna vitu ambavyo kwako alivitarajia angevipata but haikuwa hivo ndioo maana kaona si Busara kukuambia sababu ni msiri sana na hakutaka kukuumiza wewe alijua utachange but haikuwa hivo alafu huyo Chalii tatizo ni Mkimya saana..
 
It takes almost 9 heartbreaks and your 10th lover will be for your death and health (will last forever). Keep on waiting for the other 7 breakups
 
Pole sana bidada, mi naomba nakufatilia na haka kawimbo..... ma ukiusikiliza utazidi kulia na kulia, usijikaze lia mama maana hayo machozi ndo ya natoka na sumu na hasira na huzuni iliyojengeka moyoni mwako. Kisha yakiisha na sumu ikiisha utanyamaza na utaendelea na maisha.



Sometimes people need space from their closed ones to.see if they can survive alone, akirudi baadae kukuambia I love you back.... it's an up to you to check if he mean it or its a game.

Pole mamaa.
 
Back
Top Bottom