MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
Naweza karibishwa pm???asante...nilitaka niwe nae tu
Naweza karibishwa pm???asante...nilitaka niwe nae tu
Njoo kwangu mama wala hutolia tena[emoji114] [emoji114] [emoji114]habari zenu jf...
kwanza kabisa mimi ni KE msishange hii ID...(ni jina lilonijia kwa haraka...mana aliekua mpenzi wangu ni Leo sign)
Am heart broken mwenzenu...mpenzi wangu KANIACHA
nimedumu naye kwa mwaka mmoja na nusu...
Jamani alinipenda sana na hajawahi kuonesha hata dalili za kucheat...mda wote simu yake nashika plus matendo yake kabisa yanaonesha he is honest...yani tangu siku ya kwanza kaniona akanitongoza yani mpaka mwisho wetu everything was too real yani...
Nilimpenda pia tena sana...nashangaa tu from nowhere ananiambia hatuwez kua pamoja tena...nkimuliza why anasema hataki kuoa kwa sasa...namwambia am okay with that hata usiponioa nataka tu niwe na wewe mana ndo furaha yangu...anasema hataki kunipotezea mda...akaniblock kote kote...kwa madai itanisaidia mm kumove on...
Dadangu alimpigia simu akamjibu kua hata ye inamuuma ila anataka kua single kwa sasa kuna vitu anataka atimize kwenye maisha yake so inamuhitaji awe single...nililia sana hadi hapa naandika nalia...naumia sana...
Hana kazi tumemaliza wote chuo...kuna mda alikua anasema kuna vitu natamani nikupe ila sina uwezo inaniuma...namwambiaga you know me better...nakuelewa na pesa sio kikwazo tutatafuta tutapata tu...hua nampa moyo hata matangazo ya kazi namtumia...plan za biashara pia hua tunaongelea...
Najiuliza maswali mengi sana kwa upendo mkubwa alonionesha amepataje nguvu ya kuniacha[emoji24][emoji24][emoji24]...na kuniumiza mimi...alisema me ndo furaha yake...sasa why aniache...he was so honest..loving...sio muhuni...hanywi..havuti...yani tuliendana sanaaa..yani kuna mda pia nilikua nasema this is too good to be true...
Guys niambieni how many heartbreaks does it take mpaka kupata the right one...huyu ni mwanaume wangu wa pili but nilimpenda sana kuliko wa kwanza we were just too perfect yani...kinachouma zaidi hatukugombana kusema kwamba ndo aniache...hata hakuna kosa nlilofanya...
Nawaomba msinikejeli please...niko katika wakati mgumu...nahitaji faraja zenu...
hongera sana maa...hope na mimi itakua hivyo...Yes nilipata wa kudumu nae huu mwaka wa 6 sasa
nashukuru...Mh ..pole...kifup huyo hajui anataka nini..hajui mahusiano yanahitaji nini, hajui kwanini alikua na wewe..hajiamini...
Hio sio sababu ya kukuacha ..kwaio akikuacha hayo mambo yake anayotakiwa kuyakamilisha ndo atafanikiwa?! Halaf akishafanikiwa ndo akurudie..kana kwamba wewe ni mlango he can leave and come back as he wants...kutakua kuna sababu nyingine tu aseme ukweli ila itakua kazi bure kuuliza uliza mtu ashakuambia muachane,,..tafuta siku nzima lia utakavyoweza delete all the pains then move on mwambie kwamba umekubal matokeo na umtakie kila la heri kwenye maisha yake mapya..na uki move on.u move on kweli.
mbona me nlimpenda hivyo hivyoExperience is best lesson .....wanawake wa Karne hii huna hela etii inategemea true love.ni sawa sawa nakusubiri ndege stand ya bus
trust me i was very okay with that...sijawahi kulalamika hata...yani alikua furaha yangu dah[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji24] [emoji24] Unadhani tunapendaa bhasii.. Ilaa nature tu ndo inafanyaa tuwe hivyoo..!! Wew mtoto mzuri uvumilie kuwa na mtu hakupia hata 100???
kwahiyo mimi niliekaa nae mwaka na nusu?Maximum duration ya mwanamke kukuvumilia huna pesa Ni 1month.
kwa uzoefu wangu hapa duniani sizani kama kuna furaha zaidi ya kuwa na mtuwa ubavu wako anayekupenda na kukujaliInaweza isiwe reason lakini ili neno litimie na wewe ufike ulipoandikiwa basi haina budi kutokea,ipo siku utakuja kusema asante mungu bora alivyoniacha maana hii neema nisingeipata,mungu ana nia njema na wewe utakuja kuiona siku za mbele,umesoma wewe kamwe usimtegemee binadamu katika furaha yako.
hapana kwa kweli...Naweza karibishwa pm???
sina tabia hiyo mimiUtakuwa unamuomba sana pesa au kumnyanyasa akiwa hana pesa.
Mwezio nimemfungia vioo sitaki hata kumsikia
Sema na moyo wako mummy,mapenzi yanaumiza sn lkn bado sishawishiki na kukuacha huko,km kweli alikupenda na ukajithibitishia kwa uwazi alokuonyesha bc jipe moyo kwamba ipo sk atarudi na kuwa wako,asante....yani kasimamia msimamo wake...na tangu aniambie hivyo kaniblock kote kasema na me nimblock nifute na namba yake ili niweze kumove on
Kwanini jmnhapana kwa kweli...
Kwa sababu mlikuwa chuoni so ulikuwa una matumaini kuwa mkimaliza may bekwahiyo mimi niliekaa nae mwaka na nusu?
thank you...Iliwahi kunitokea , ila kwa upande wako alikuwa gf wangu wa kipindi hiko. Nilitimiza almost chochote alichotaka, lakin mwisho wa siku akaamua kuvunja mahusiano, sababu hana.
Ni moja ya nyakati ngumu sana niliwahi kupita katika maisha, nili spend mwaka mzima kujarib kujua what went wrong? yeye mwenyewe nikimuuliza anasema ameamua tu? Tena kwa kibur, niliumia sana.
mbaya zaid nilikuja kupata habar kuwa anaolewa mwezi baada ya mahusiano kuvunjika, aisee nilipata kuumwa, ni kama vile kisu cha moto kilipita moyoni.
Nikifikiria hamna kosa nililo mtenda, ameamua tu.
Ilinichukua karibia mwaka ile hali kupona, and kupitia huo mtian nikawa a different man. A better man.
So dada pole sana ni mitihan ya maisha, so kupitia hili jarib utatoka kiumbe mpya kabisa, more wise,more smart, mostly utaulinda moyo wako sana.
aiseee umenizungumzia mimi hapaPoleee sana ogopa sana wanaume wapole na wakimya akili zetu tunazijua wenye, sababu akisema hapana huwa hatanii amesha uandaa moyo kwa lolote muhim kaza Roho wako yupo tuu