- Thread starter
- #101
asante maa...sijamblock...sina nguvu hiyo bado...namba yake ipo kwa kichwa...kuna muda najipa moyo labda atarudi...ipo siku...Sema na moyo wako mummy,mapenzi yanaumiza sn lkn bado sishawishiki na kukuacha huko,km kweli alikupenda na ukajithibitishia kwa uwazi alokuonyesha bc jipe moyo kwamba ipo sk atarudi na kuwa wako,
Kuhusu kumblock sidhani km ni vyema kwa upande wako kwakua huna sababu ya kufanya hivyo,ulimpenda unampenda na uendelee kumpenda pia usimchukie,
Nna imani sk moja utakuja tena hapa kutupa habari njema kwamba amerudi kwako[emoji173]