Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

i wish i knew hiyo reason ni ipi

Inaweza isiwe reason lakini ili neno litimie na wewe ufike ulipoandikiwa basi haina budi kutokea,ipo siku utakuja kusema asante mungu bora alivyoniacha maana hii neema nisingeipata,mungu ana nia njema na wewe utakuja kuiona siku za mbele,umesoma wewe kamwe usimtegemee binadamu katika furaha yako.
 
Pole sana aisee maumivu ya kuachwa mabaya

Lia na Mungu ndo mfariji wa kweli ...pengine kupitia Mungu utajua sabbu ya kuachwa na mwishon utakubal kusonga mbele

Ukijiskia kulia lia sanaaaaaaaaaaa ni tiba hyo
asante maa...
 
Inamaana hayo mambo anayotaka kuyakamilisha hawezi kama mkiwa pamoja... Yaani mtu anakuacha bila sababu na hata anapojaribu kujitetea bado sababu zake ni rubbish hazina mashiko halafu unamtetea eti he was so honest. Dada pole sana tena pole sana mtu kukuachia ushike simu yake siyo kipimo tosha cha upendo...huyo jamaa alikuwa na kiu ya kukuchakaza sasa ametosheka anaondoka kimya kimya.
 
Hapoo JAMAA alikuwa na Depression kubwa maana anaona anakupenda lakini Hana uwezo wa kukutimizia Mambo mengi unayotaka na anayotamani kukufanyia...!! Akaona bora akuache kablaa hujamuacha... Ilishawahi kunikuta hata mimi Nlishindwa kumpa hata vocha ya 500 yani.. Japo my girl alilia sanaa akasema hataki tuachanee hata kidogo... Akaacha hata kuniomba vitu vidogovidogo mpaka pale mambo yalipokaa sawa.. SO HUTOKEA SANA KWA MWANAUME AKIWA DEPRESSED NA KUFEEL SO DOWN...JITAHIDI KUONGEA NAE NA KUMUELEWESHA..!!
 
asante ilanaumia sana...sijawahi hata mcheat...nilimpa moyo wangu woooteeee...nayeye nlimwamini sana...bora hata angekua muhuni...ila kinachoniuma hajawahi nionesha hata dalili...
Usiumize kichwa kutafuta sababu ya yeye kukuacha maadamu wewe ni mzima piga moyo konde usonge mbele hili nalo litapita na kubaki kuwa historia. Kumbuka mmekutana ukubwani kwahiyo yeye si kila kitu kwako na una uwezo wa kuishi bila yeye.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Hasaa ukutee mtoto mwenyewe mzuri wewe...!! Daah inakuwaga ngumu kukubali ukweli kuwa Upo tayari kuwa nae bila kujali Helaa...
 
Wewe tulia kaa kwa amani usiruhusu moyo wako kuwa na huzuni utakonda na itafikia kipindi utawachukia wanaume wote kabisa sababu ya huyu


Nakusihi sahau KBS

Ni uwezekano mkubwa kabisa alishaandaliwa mke Wa kuoa hivyo inampa hofu kubwa ndo maana anataman atulie aweze pembua


Lkn ujue ndo umeachwa


Kuna wanaume wengine Wa hivo anakutreat like the Queen na akitaka kuondoka huwezi kumwelewa kabsa


Have fun some one is coming
 
Back
Top Bottom