Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

Wewe ulipanga hivyo MUNGU hajakupangia bado. Funga na kusali kama upo karibu na Mungu wako. Kumbuka wewe ulichompendea ndicho yeye alichokichukia kwako. Shukuru mmeachana wazima je angekutoa jicho? Hayo yapo duniani utasahau tu.
 
Mi niliachwa pamoja na watoto watatu!! Tena wala hatukugombana, sina ga la kusema haya yanapotokea kwa mtu. Kikubwa kubali ukweli huo na songa mbele na maisha yatakuja. Huenda hilo jambo litakufungulia mlango mwingine. USISONONEKE
 
Dah! Pole sana ila heshimu maamuzi yake. Mimi nadhani huyu siku za usoni atakuja kukutafuta na kukuomba samahani mrudiane alikurupuka na kufanya makosa. Ole wake uwe na mtu mwingine ambaye mmependana sana na tayari mnazungumzia maisha yenu ya baadaye mkubwa pamoja. Pole sana mrembo.
asante
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana dadaang. Nimekuja kufahamu maumivu ta mapenzi pale chuo kikuu Cha Dodoma aiseeh mtu unaona heri kufa km masuala ya kimahusiano hayako vizuri. Hv kumbe kuna wakaka km Mimi ambao wanawaumiza wadada hv ? Aiseeh mimi nilidhan Mimi na wenzangu ndo wenye kuumizwa na wadada tuu.Ila watu tungefahamu jinsi mahusiano yanavyoumiza ? Tusingekuwa tukifanyiana upuuz ktk suala hili. Km unahisi utapumzkia mwenzio kwa kumyumiza, si bora ukaacha tuu kumharibia mda wake ? Chenga kwel yan xo mtu akilia, kusononeka nafsi na kujuta dunia hii ndo furaha kwa muumizaji au ? TUBADILIKE TUACHE MAMBO YA AJABU.Pole sana sisteeeh Mungu atakujalia upate mkaka mwingine.Hiyo ni kazi ya mda tuu, saivi lazima umie lkn utakuwa vzr.
Amina na iwe hivyo[emoji22]
 
Pole sana bidada, mi naomba nakufatilia na haka kawimbo..... ma ukiusikiliza utazidi kulia na kulia, usijikaze lia mama maana hayo machozi ndo ya natoka na sumu na hasira na huzuni iliyojengeka moyoni mwako. Kisha yakiisha na sumu ikiisha utanyamaza na utaendelea na maisha.



Sometimes people need space from their closed ones to.see if they can survive alone, akirudi baadae kukuambia I love you back.... it's an up to you to check if he mean it or its a game.

Pole mamaa.

asante maa
 
Bwana Yesu asifiwe?.

Kuna hii kitu, The iron Law of cause and effect "Everything happen for a reason". I believe in all scenario's in this Life. Every cause or action has an effect of some kind, whether we can see it and whether we like it or not. Thank's God/Allah for everything.

Huenda kuachwa kwako kukawa na maslahi zaidi kuliko kuendelea kuwa nae. You never know, You see?. Believe me, you're going to meet u'r Soul-mate sooner..

Leo king, Ushauri wa Inna ni mzuri sana. Take it as a magnificient advice ever.

Aliyekuficha Inna , Mungu anamuona.

Cc- Leo King .
Apewe sifa milele na milele

Sijui nisemeje but all in all umemaliza yote ni kweli everthing happen for a reason ashukuru tu Mungu asonge mbele

Nataman nkuibie hizo busara zako kidogoo[emoji6] [emoji6] ...me nipo nakusaka saka kila jukwaa sikuon leo naona umekuja jukwaa pendwa mmu
 
Msongo wa mawazo umempelekea kufanya maamuzi hayo. Hakupenda iwe hivyo ila hali yake ya kiuchumi ndio imesababisha.

Usistaajabu pia kuja kuskia amejidhuru kutokana na kukata tamaa.

Serikali hii imewaangusha na kuwavunja moyo wasomi na wahitimu wengi.
 
Nataman nkuibie hizo busara zako kidogoo
emoji6.png
emoji6.png
...me nipo nakusaka saka kila jukwaa sikuon leo naona umekuja jukwaa pendwa mmu
Sistahili Inna , hata kiduchu.

Sina n'nalolifahamu. Ujue kuna watu ukiwasoma wanakufanya ujione bado sana?. Endelea kuwatafuta, i'm not among of them. emmyta anawafahamu, muombe akung'ate sikio.

Ujue anayeona busara ni bora kuliko mwenye busara?. You're the best, you who see the wisdom. I'm nothing, for the sake u think i have such thing's.

Socrates alipata uhakika zaidi wa Unabii kama mwanafalsafa wa maadili (Baba wa busara) pale ambapo Chaerophon alipomuuliza Oracle Delphic kuwa kama kulikuwepo na mtu yeyote yule aliyekuwa anaishi na busara kuliko Socrates katika Athens (wakati ule) lakini Oracle alijibu kuwa hapakuwepo.

Socrate alijibu kuwa "I know that, I know nothing". That is wisdom, knowing that you know nothing.

Nipo MMU sema hatukamatani. Nasoma zaidi kuliko kuchangia.

Greeting's..
 
Sistahili Inna , hata kiduchu.

Sina n'nalolifahamu. Ujue kuna watu ukiwasoma wanakufanya ujione bado sana?. Endelea kuwatafuta, i'm not among of them. emmyta anawafahamu, muombe akung'ate sikio.

Ujue anayeona busara ni bora kuliko mwenye busara?. You're the best, you who see the wisdom. I'm nothing, for the sake u think i have such thing's.

Socrates alipata uhakika zaidi wa Unabii kama mwanafalsafa wa maadili (Baba wa busara) pale ambapo Chaerophon alipomuuliza Oracle Delphic kuwa kama kulikuwepo na mtu yeyote yule aliyekuwa anaishi na busara kuliko Socrates katika Athens (wakati ule) lakini Oracle alijibu kuwa hapakuwepo.

Socrate alijibu kuwa "I know that, I know nothing". That is wisdom, knowing that you know nothing.

Nipo MMU sema hatukamatani. Nasoma zaidi kuliko kuchangia.

Greeting's..
Heri ajishushae maana atakwezwa

Your something else my dear.
Alishaning'ata sikio..... your among of them

Bas tukumbukane ukipita pande hizi
 
Let it go,sio wa kwanza kuachwa/kuacha! mapenz ni pata potea we jiulize wengine wanafikia hadi hatua ya kufunga ndoa ila wanaachana?Cha msingi muombe Mungu ako akupe aliyekuandalia.Futa machozi anza upya usijiumize moyo bibie.
 
Alishaning'ata sikio..... your among of them
Hahah, Emmy anaong'opa aise.

Blind can't lead the one who see. Wewe ndiye uniongoze, unielekeze na kunifunza pia.

Ipo methali, busara moja ya kifaransa inasema "Yeye anayesubiri viatu vya marehemu anaweza kutembea peku kwa muda mrefu". Angalia usitembee peku Inna , shauri yako.

Emmy, kuna ukweli hapa?.

Cc- emmyta.
 
Ku la lake nimeachwa na demu nilikuwa nampenda kufa, nimechanganyikiwa, maumivu ni makali. Nimesitisha masomo yangu ya phd siwezi nashindwa kukoncentrate, kazini performance imeshuka sana. Yani maumivu ya mapenzi ni balaah
Pole man. Hata mm nilipitia huko. Ushauri wangu kama unaweza hama hapo ulipo, nenda hata kijijin kama wiki mbili au tatu. Badilisha mazingira kuwa social. Itakusaidia sana... ukibaki hiyo sehem na ukizidi kuonana na watu ambao walikuwa wanawafaham maumiv yanarudi.
Ucjali utapita hili jarib, Mungu anakuaandaa kwa ajili ya mke wako. Huyo akuwa wako, na ukipita katika hili jarib , utatoka mtu mwingine wa tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom