Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,681
- 55,963
How accurate is this?It takes almost 9 heartbreaks and your 10th lover will be for your death and health (will last forever). Keep on waiting for the other 7 breakups
How accurate is this?It takes almost 9 heartbreaks and your 10th lover will be for your death and health (will last forever). Keep on waiting for the other 7 breakups
One girl asikufanye uchukie wote. Binafsi nilipatwa na tukio kama lako. Tena nikiwa chuo, almanusura ni disco.Ni hivi majuzi tu nimetoka kuachana ( kuachwa) na mpenzi wangu wa chuo tulio-date kwa miaka mitatu yote ya chuo. Sababu ya msingi haieleweki, kama kazi wote tumepata hivyo mambo ndogo ndogo hayasumbui.
Maumivu yake hayana mfano, siku zote nilikuwa naamini mwanaume haumii wakati wa break up ila safari hii nimebadilisha mtizamo. Kidume nimekosa raha kabisa, usingizi haupatikani, kazini nikifika naomba siku iishe nirudi home kulala. Nimeuanza mwaka kwa maumivu ya aina yake.
Nina imani mwenyezi mungu atanivusha salama katika hili, i can feel jinsi gani umeumia. Haya mambo haya, afanaaaleki...! Nawaonea huruma watakaofuata, mwenzenu kawaponza nitawafanya kitu kibaya sana.
Unamoyo wa tofauti sana dada. Mpaka umfumanie akila mwanaume mwenzieNadhani unazungumzia wanaodate.
I dont give a shit aisee
Kama unatambua nafasi yako katika mahusiano utatambua kutotarajia lolote kutoka kwa mwenzi wako! Mtu mzima na macho yake,
Aliniona mimi kwa nini asione wengine!
Wangu kucheat ni kawaida nishamfuma sana
Na wala sijamuacha
Labda nije nimkute anamla mwanaume mwenzie it'll broke my heart
Wee kweli Ulidataa mzee...One girl asikufanye uchukie wote. Binafsi nilipatwa na tukio kama lako. Tena nikiwa chuo, almanusura ni disco.
alikuwa hasom chuo yeye alikuwa hana kaz yoyote. Yule dada hakuna kitu alikosa kwangu, mpaka leo hii ukimuuliza nn alikosa kwangu jibu hana. Mbaya zaid wkt kanitema baada ya mwez akaolewa, nilihis kufa kaka .. nilivumilia kumaliza mtihan baada ya hapo nilienda kijijin hata sim niliacha mjini ..sikutaka kuwasiliana na mtu yoyote. Miez 6.
Namshukuru Mungu alinivusha ktk hali ya maumiv, nninamaisha yangu kwa sasa..
nikatoka mtu mpya,mtu makini zaidi. Sikutaka kulipa kisasi kwa mwanamke yoyote, nilijiweka karibia na Mungu zaidi. Na maisha yangu kwa sasa yako vizur.
Ukisema unalipa kisasi, yule wa kweli anaeza kuja na bado ukamuumiza tena ukawa umepoteza bahati
Hapoo JAMAA alikuwa na Depression kubwa maana anaona anakupenda lakini Hana uwezo wa kukutimizia Mambo mengi unayotaka na anayotamani kukufanyia...!! Akaona bora akuache kablaa hujamuacha... Ilishawahi kunikuta hata mimi Nlishindwa kumpa hata vocha ya 500 yani.. Japo my girl alilia sanaa akasema hataki tuachanee hata kidogo... Akaacha hata kuniomba vitu vidogovidogo mpaka pale mambo yalipokaa sawa.. SO HUTOKEA SANA KWA MWANAUME AKIWA DEPRESSED NA KUFEEL SO DOWN...JITAHIDI KUONGEA NAE NA KUMUELEWESHA..!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Hapoo JAMAA alikuwa na Depression kubwa maana anaona anakupenda lakini Hana uwezo wa kukutimizia Mambo mengi unayotaka na anayotamani kukufanyia...!! Akaona bora akuache kablaa hujamuacha... Ilishawahi kunikuta hata mimi Nlishindwa kumpa hata vocha ya 500 yani.. Japo my girl alilia sanaa akasema hataki tuachanee hata kidogo... Akaacha hata kuniomba vitu vidogovidogo mpaka pale mambo yalipokaa sawa.. SO HUTOKEA SANA KWA MWANAUME AKIWA DEPRESSED NA KUFEEL SO DOWN...JITAHIDI KUONGEA NAE NA KUMUELEWESHA..!!
Maneno kiwango haya kaka....lkn ..mi nilifeli... hayasemeki...One girl asikufanye uchukie wote. Binafsi nilipatwa na tukio kama lako. Tena nikiwa chuo, almanusura ni disco.
alikuwa hasom chuo yeye alikuwa hana kaz yoyote. Yule dada hakuna kitu alikosa kwangu, mpaka leo hii ukimuuliza nn alikosa kwangu jibu hana. Mbaya zaid wkt kanitema baada ya mwez akaolewa, nilihis kufa kaka .. nilivumilia kumaliza mtihan baada ya hapo nilienda kijijin hata sim niliacha mjini ..sikutaka kuwasiliana na mtu yoyote. Miez 6.
Namshukuru Mungu alinivusha ktk hali ya maumiv, nninamaisha yangu kwa sasa..
nikatoka mtu mpya,mtu makini zaidi. Sikutaka kulipa kisasi kwa mwanamke yoyote, nilijiweka karibia na Mungu zaidi. Na maisha yangu kwa sasa yako vizur.
Ukisema unalipa kisasi, yule wa kweli anaeza kuja na bado ukamuumiza tena ukawa umepoteza bahati
Umempa nguvu huyuuu[emoji1] [emoji23]Pole wote tumepitia uko ila sa hivi tushakomaa, huwezi jua lakini labda anakuandalia surprize ya Valentine day
Angalia ktk kutafuta kazi kwenu pengine ilifika wakati akakata tamaaa akaingia kwenye mambo ya kishirikina ,waganga ni waongo pengine aliambiwa ww ni kizuizi hawezi kukuweka wazi hili.kuhusu mimi hua anasema tu am a good girl...and he is lucky to have me...though hatuko perfect...kuna mda aliniuliza hivi utaweza kweli kuishi na mimi...nikamwambia mapungufu yako hayanishindi you know that...kuna mda alihis labda ntamshindwa mana ni msiri sana...alikua na ego but thank God tulisaidiana hadi akaiacha...sielewi tatizo lilikua ni nini
75% Accurate.How accurate is this?
Nilishamuacha mwanamke kwa kuwa alikua anataka niwe mtu fulani ambae siwezi kuwa
hata akitombwa au kuliwa tigo huku unamwonai wish i knew hiyo reason ni ipi
Sina hela ndio alikua anaweza kunivumilia sana, sikumpa anachokitaka kwa muda na wala hakuwa na tatizo kwenye hilo, hajawahi kupunguza mapenzi kwa sababu hiyo.tuelemishe mkuu.
alikiwa anataka uwe mtu wa type gani mpaka kwako ikaw ngum kukubaliana nae?