Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

Leo King

Member
Oct 28, 2017
48
60
Habari zenu JF,

Kwanza kabisa mimi ni KE msishange hii ID (ni jina lilonijia kwa haraka maana aliekua mpenzi wangu ni Leo sign). Am heart broken mwenzenu mpenzi wangu kaniacha nimedumu naye kwa mwaka mmoja na nusu.

Jamani alinipenda sana na hajawahi kuonesha hata dalili za kucheat mda wote simu yake nashika plus matendo yake kabisa yanaonesha he is honest yani tangu siku ya kwanza kaniona akanitongoza yani mpaka mwisho wetu everything was too real yani.

Nilimpenda pia tena sana nashangaa tu from nowhere ananiambia hatuwezi kua pamoja tena, nikimuliza why anasema hataki kuoa kwa sasa, namwambia am okay with that hata usiponioa nataka tu niwe na wewe mana ndo furaha yangu, anasema hataki kunipotezea muda akaniblock kote kote kwa madai itanisaidia mimi kumove on.

Dada yangu alimpigia simu akamjibu kua hata yeye inamuuma ila anataka kua single kwa sasa kuna vitu anataka atimize kwenye maisha yake so inamuhitaji awe single, nililia sana hadi hapa naandika nalia, naumia sana.

Hana kazi tumemaliza wote chuo, kuna mda alikua anasema kuna vitu natamani nikupe ila sina uwezo inaniuma, namwambiaga you know me better, nakuelewa na pesa sio kikwazo tutatafuta tutapata tu, hua nampa moyo hata matangazo ya kazi namtumia plan za biashara pia hua tunaongelea.

Najiuliza maswali mengi sana kwa upendo mkubwa alionionesha amepataje nguvu ya kuniacha na kuniumiza mimi alisema mimi ndo furaha yake sasa why aniache, he was so honest, loving sio muhuni, hanywi, havuti yani tuliendana sana yani kuna mda pia nilikua nasema this is too good to be true.

Guys niambieni how many heartbreaks does it take mpaka kupata the right one huyu ni mwanaume wangu wa pili but nilimpenda sana kuliko wa kwanza we were just too perfect yani kinachouma zaidi hatukugombana kusema kwamba ndo aniache hata hakuna kosa nililofanya.

Nawaomba msinikejeli please niko katika wakati mgumu nahitaji faraja zenu.
 
Pole sana dia, na maumivu hayapotei siku moja so kaza moyo... Usipende kukaa peke yako,jichanganye
 
Everything that happens has a reason to be so!

May be haitoshi wewe kumpa moyo kila siku pengine anakuona una change nje na mategemeo yake, what comes around you may contradict his thoughts licha ya wewe kuyaona mazuri

Wewe mwanamke usijilaumu sana pia HUENDA UNAWEKWA KWENYE MZANI usikurupuke kureact vibaya keep on waiting the time will tell you!

Umesema vzr kuhusu yeye na kumpa sifa zote, sasa huenda yeye anayo mengi sana ambayo ni VISE VERSA, chukuwa mda sana kujitafakati pia,
 
Everything that happens has a reason to be so!

May be haitoshi wewe kumpa moyo kila siku pengine anakuona una change nje na mategemeo yake, what comes around you may contradict his thoughts licha ya wewe kuyaona mazuri

Wewe mwanamke usijilaumu sana pia HUENDA UNAWEKWA KQENYE MZANI usikurupuke kureact vibaya keep on waiting the time will tell you!

Umesema vzr kuhusu yeye na kumpa sifa zote, sasa huenda yeye anayo mengi sana ambayo ni VISE VERSA, chukuwa mda sana kujitafakati pia,
kuhusu mimi hua anasema tu am a good girl...and he is lucky to have me...though hatuko perfect...kuna mda aliniuliza hivi utaweza kweli kuishi na mimi...nikamwambia mapungufu yako hayanishindi you know that...kuna mda alihis labda ntamshindwa mana ni msiri sana...alikua na ego but thank God tulisaidiana hadi akaiacha...sielewi tatizo lilikua ni nini
 
Usinungunike sana Kikubwa Mshukuru Mungu kwa hili huwezi jua Kwa nini limetokea na Jambo lolote linapotokea usiwe Mwepesi wa Kualumu bali unapshwa kuwa wa Kushukuru kwa kuwa katika Kushukuru ndimo Faraja toka kwa Muumba hutokea..
asante sana
 
Back
Top Bottom