Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

Nahisi kufa kufa; unapata wapi nguvu ya kumwacha umpendae?

Nahsi wakati mko kwenye zile good moment you thought you will never find Some one sweet Like him that's kuiweka brain yako kuamini huyu ben 10 kaondoka ndo shida coz alishaa jaa katika akili yako

Believe me nae huko aliko anapitia hard and hard and worst time than you do usikute kesho akakutumia apologize card with gift beside it, au akafungua uzi kuanza kuomba ushauri jinsi ya kumrudisha her lost bird (you) usiwe mpweke zile best moment zita come tena naye huko anajuta

*Na nyie mnavyojuaga kusamehe *
 
Itakuwa ulikuwa unampangia siku ya kumpa papuchi wewe.

Hebu muite akutombe alafu usimpangie ratiba tena.
 
jamaa yawezekana yupo humu anatuchora tuu baadae arudishe majeshi!
 
Ni hivi majuzi tu nimetoka kuachana ( kuachwa) na mpenzi wangu wa chuo tulio-date kwa miaka mitatu yote ya chuo. Sababu ya msingi haieleweki, kama kazi wote tumepata hivyo mambo ndogo ndogo hayasumbui.

Maumivu yake hayana mfano, siku zote nilikuwa naamini mwanaume haumii wakati wa break up ila safari hii nimebadilisha mtizamo. Kidume nimekosa raha kabisa, usingizi haupatikani, kazini nikifika naomba siku iishe nirudi home kulala. Nimeuanza mwaka kwa maumivu ya aina yake.

Nina imani mwenyezi mungu atanivusha salama katika hili, i can feel jinsi gani umeumia. Haya mambo haya, afanaaaleki...! Nawaonea huruma watakaofuata, mwenzenu kawaponza nitawafanya kitu kibaya sana.
 
Pole sana kwa kuachwa/kutendwa.
Kwa ulivyomuamini ni ngumu sana sana kuwaza kama siku moja angekutendea jambo kama hilo.
Lakini kwa kua ishatokea basinusijilaumu sana as long as uko okay wala huna cha kujutia isipokua kumpoteza tuu.

Yes anaweza kurudi, mara nyingi wanaume huwa hatupendi kuweka wazi mambo yetu yanapokua hayajakaa sawa! Jamaa ana busara ila hukukuandaa mapema kabla ya kuchukua huu uamuzi, yawezekana kakurupuka tuu so matokeo yake uka panik. Plz usiwe na presha take easy ndio mapenzi hayo kuna kupanda na kushuka.

Wewe tuu ulikua na makosa kwani hututarajia kusalitiwa ndo maana unashindwa kupokea hilo jambo. Ni kitu kibaya sana kwa maisha uliyokua unaishi kwa hakuna binadamu mkamilifu so unge expect na mabaya pia kwa ndio mapenzi halisi sasa.
Ungejiandaa kisaikolojia kwa mambo magumu kwenye mapenzi kama usaliti, ungekwazika kidogo then ungekua well baada ya muda mfupi... pole sana hili ni fundisho kwa wapendanao wote mu expect na kadhia kama hizi kwenye mapenzi.

Jamaa yako yako anaweza kuja kukutafta hata kabla huu mwezi haujaisha so be calm usiufanye moyo mgumu hivyo.
Acha mshtuko presha itakuua... wanawake mna vifua bana jikaze pia wapo wanaume kibao waliotulia wanasaka majiko so relax sky is the limit... usijibane sana kwani hii itakuletea shida sana moyoni na mwishowe ni kifo.

NB😛ole sana hakuna jipya kwenye mapenzi sio wa kwanza kuachwa/kutendwa so kunywa maji tulia, cheki muvi hapo isahau hiyo hali na jichanganye na wadau wako wa kaibu hapo wakuchangamshe na kukuteolea mzigo moyoni...
 
Dah! Pole sana ila heshimu maamuzi yake. Mimi nadhani huyu siku za usoni atakuja kukutafuta na kukuomba samahani mrudiane alikurupuka na kufanya makosa. Ole wake uwe na mtu mwingine ambaye mmependana sana na tayari mnazungumzia maisha yenu ya baadaye mkiwa pamoja. Pole sana mrembo.

habari zenu jf...
kwanza kabisa mimi ni KE msishange hii ID...(ni jina lilonijia kwa haraka...mana aliekua mpenzi wangu ni Leo sign)
Am heart broken mwenzenu...mpenzi wangu KANIACHA
nimedumu naye kwa mwaka mmoja na nusu...

Jamani alinipenda sana na hajawahi kuonesha hata dalili za kucheat...mda wote simu yake nashika plus matendo yake kabisa yanaonesha he is honest...yani tangu siku ya kwanza kaniona akanitongoza yani mpaka mwisho wetu everything was too real yani...

Nilimpenda pia tena sana...nashangaa tu from nowhere ananiambia hatuwez kua pamoja tena...nkimuliza why anasema hataki kuoa kwa sasa...namwambia am okay with that hata usiponioa nataka tu niwe na wewe mana ndo furaha yangu...anasema hataki kunipotezea mda...akaniblock kote kote...kwa madai itanisaidia mm kumove on...

Dadangu alimpigia simu akamjibu kua hata ye inamuuma ila anataka kua single kwa sasa kuna vitu anataka atimize kwenye maisha yake so inamuhitaji awe single...nililia sana hadi hapa naandika nalia...naumia sana...

Hana kazi tumemaliza wote chuo...kuna mda alikua anasema kuna vitu natamani nikupe ila sina uwezo inaniuma...namwambiaga you know me better...nakuelewa na pesa sio kikwazo tutatafuta tutapata tu...hua nampa moyo hata matangazo ya kazi namtumia...plan za biashara pia hua tunaongelea...

Najiuliza maswali mengi sana kwa upendo mkubwa alonionesha amepataje nguvu ya kuniacha[emoji24][emoji24][emoji24]...na kuniumiza mimi...alisema me ndo furaha yake...sasa why aniache...he was so honest..loving...sio muhuni...hanywi..havuti...yani tuliendana sanaaa..yani kuna mda pia nilikua nasema this is too good to be true...

Guys niambieni how many heartbreaks does it take mpaka kupata the right one...huyu ni mwanaume wangu wa pili but nilimpenda sana kuliko wa kwanza we were just too perfect yani...kinachouma zaidi hatukugombana kusema kwamba ndo aniache...hata hakuna kosa nlilofanya...

Nawaomba msinikejeli please...niko katika wakati mgumu...nahitaji faraja zenu...
 
Pole sana aisee maumivu ya kuachwa mabaya

Lia na Mungu ndo mfariji wa kweli ...pengine kupitia Mungu utajua sabbu ya kuachwa na mwishon utakubal kusonga mbele

Ukijiskia kulia lia sanaaaaaaaaaaa ni tiba hyo
Bwana Yesu asifiwe?.

Kuna hii kitu, The iron Law of cause and effect "Everything happen for a reason". I believe in all scenario's in this Life. Every cause or action has an effect of some kind, whether we can see it and whether we like it or not. Thank's God/Allah for everything.

Huenda kuachwa kwako kukawa na maslahi zaidi kuliko kuendelea kuwa nae. You never know, You see?. Believe me, you're going to meet u'r Soul-mate sooner..

Leo king, Ushauri wa Inna ni mzuri sana. Take it as a magnificient advice ever.

Aliyekuficha Inna , Mungu anamuona.

Cc- Leo King .
 
the main reason why girls have a hard time moving on is because deep down she want to hold on & hope the guy she fell in love with returns and things go back to how they started. it’s so hard to accept when he change, or turn out to be the opposite of what she thought he was.
 
Pole sana dadaang. Nimekuja kufahamu maumivu ta mapenzi pale chuo kikuu Cha Dodoma aiseeh mtu unaona heri kufa km masuala ya kimahusiano hayako vizuri. Hv kumbe kuna wakaka km Mimi ambao wanawaumiza wadada hv ? Aiseeh mimi nilidhan Mimi na wenzangu ndo wenye kuumizwa na wadada tuu.Ila watu tungefahamu jinsi mahusiano yanavyoumiza ? Tusingekuwa tukifanyiana upuuz ktk suala hili. Km unahisi utapumzkia mwenzio kwa kumyumiza, si bora ukaacha tuu kumharibia mda wake ? Chenga kwel yan xo mtu akilia, kusononeka nafsi na kujuta dunia hii ndo furaha kwa muumizaji au ? TUBADILIKE TUACHE MAMBO YA AJABU.Pole sana sisteeeh Mungu atakujalia upate mkaka mwingine.Hiyo ni kazi ya mda tuu, saivi lazima umie lkn utakuwa vzr.
 
Kwa mda huu Fanya tuu unayopenda sana km n kuckliza nyimbo za injil, bongo fleva, taarabu movies series msos n.k au ulale uzime taa zote uwe kwenye Giza Nene (tororo) usinzie.Usikae peke yako UTASABABISHA HATARI KUBWA SANA ! ongea tuu na watu wako Wa karibu.Mungu atakusaidia t utakuwa vzr kadri mda unavyoenda.
 
Naamini the guy anakupenda sana tu sema anaumia zaidi kuona hana kazi,hana pesa na anajua umuhimu wa vitu hivyo katika mahusiano ya kisasa. Anaona kabisa anakwama katika kuzitekeleza ndoto zenu mkiwa pamoja na huenda haoni tumaini hilo karibuni na kwa mantiki hiyo ameona anakupotezea muda. Amekuwa na woga juu ya kuibiwa na kutendwa kutokana na hali yake kisha akaamua kujiweka pembeni na naamini halikuwa lengo lake we uumie maana anakupenda sana sema hakuna namna,kuumia kwako ni matokeo ambayo hata yeye aliyatarajia ili imempasa kuyashinda maumivu.
Amini kwamba huko aliko anaumia mara elfu yako na anakupenda sanasana na anakutakia mema na kheri. Kama si kwamba atarudi basi utapata nguvu za kujinyanyua kuendelea na maisha.
Ofcoz bro.. Me ishawahi kunikutaa!! Noma sana
 
Back
Top Bottom