kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,337
- 7,757
Some things were never meant to be!let go and move on,we waste a lot of our time agonizing.Ulipokuwa naye najua hukuweza kuangalia beyond,sasa kwa vile uko single utaona vitu vingine,take your time kuchagua.Nionavyo mimi this guy ameona hawezi kukutosheleza na inamuuma kuona hawezi kukutosheleza.Hajiamini anahisi kuna siku ataporwa kwa sababu ya kutokuwa nacho.Ukiwa na mpenzi unataka kumpa the whole world na unapokuwa huwezi kufanya hivyo inakukondesha.Time is the greatest Remedy for both of you,Najua sana sana kwako unahisi dunia imesimama,masaa hayaendi na siku unaiona ile ile.Niliwahi kuachwa nikawa silali vizuri.Usingizi mzito unanijia nalalaaaa nikiamka nagundua nimelala dakika kumi tu.Niliwaza mengi sana nikabembeleza kurudiwa nikarudiwa lakini nikawa sijui kumbe amerudi kwa lengo la kunifilisi.Kama amekuambia ni afadhali maybe mambo yake yatakapotengemaa atakukumbuka.Usifikiri wema wako hajauona,ameuona vizuri sana.kama ulikuwa all what u are saying basi Mungu hamuachi mtu wake mwema na mwaminifu ateseke milele.Be strong na usiwazie sababu ya kuachana.Dont call him,usiende maeneo mliyokuwa mnaenda pamoja.Futa namba zake japo unazijua off head na pia futa chats zenu zote.Give him space and time and when he realizes what he is missing he will come back.Wanasema hivi,If you love something set it free,if it comes back to you its yours,if it doesn't it was never meant to be.Don't be selfish mpe muda afanye anachodhani ni bora kwake kwanza.