Nafsi imesahaulika. (a rant).

Nafsi imesahaulika. (a rant).

Nita ongelea sehemu ndogo sana ya mada kuhusu AI, lakini nitareverse kidogo perspective. Kwa mtazamo huu, idea ya ku establish AI inaweza kuonekana kama njia ya kutufanya tuwe trapped kwenye dependency, mpaka taratibu tunaacha kutumia full capacity ya ubongo wetu. Ubongo ndio unaotupa ability ya kufikiri, kucreate, kuchambua na kufanya decisions. AI ikianza kutufanyia kila kitu thinking, searching, creating na hata deciding tunaweza kuzoea kuwa passive na kupunguza efficiency ya brain processing yetu. Hapo ndipo tunapoanza kusema tuko kwenye “low frequency” wakati “high frequency” ni ile hali ya kuwa mentally active, creative na fully aware.

Ukiwa kwenye hiyo low frequency, creativity inaweza kushuka, deep thinking inapungua, motivation na mental energy vinaanza kudhoofika. Na ukizoea kupata majibu yote kutoka nje badala ya kutumia akili yako, unaweza kupoteza ile ability ya ku question things na ku trust your own judgment. From a spiritual perspective, mtu anaweza pia kuhisi kama awareness yake ya ndani inazidi kuwa weak anaanza kupoteza connection na conscience yake, intuition na kile anachoamini kuwa ni God’s will. Sio kwamba AI yenyewe automatically inafanya hivi, bali ni namna tunavyoiruhusu itawale sehemu kubwa ya maisha yetu.

Ndiyo maana wengine wana connect hali hii na concept kama “demonic implants” wazo kwamba kuna influence inayoweza kubadilisha emotions, instincts, fears na hata uwezo wa mtu kutofautisha between what feels right and what feels wrong spiritually. Hii haijathibitishwa kisayansi, lakini kama spiritual theory, point yake ni kwamba ukidhoofisha mind, unaweza pia kudhoofisha spiritual awareness yako. So the real danger inaweza isiwe AI itself inaweza kuwa siku ambayo mwanadamu ataacha kutumia ubongo wake, creativity yake na inner awareness yake kwa sababu machine tayari inamfanyia kila kitu.
 
Unataka kusema hata mashoga walishajulikana watakuwa mashoga toka viunoni mwa baba zao?

Kumbe Mungu amempangia kila mmoja ataishi vipi hapa duniani? Sasa kwanini watu wanatafuta miujiza?
Vibuyu umefika mbali 😂😂
 
Nita ongelea sehemu ndogo sana ya mada kuhusu AI, lakini nitareverse kidogo perspective. Kwa mtazamo huu, idea ya ku establish AI inaweza kuonekana kama njia ya kutufanya tuwe trapped kwenye dependency, mpaka taratibu tunaacha kutumia full capacity ya ubongo wetu. Ubongo ndio unaotupa ability ya kufikiri, kucreate, kuchambua na kufanya decisions. AI ikianza kutufanyia kila kitu thinking, searching, creating na hata deciding tunaweza kuzoea kuwa passive na kupunguza efficiency ya brain processing yetu. Hapo ndipo tunapoanza kusema tuko kwenye “low frequency” wakati “high frequency” ni ile hali ya kuwa mentally active, creative na fully aware.

Ukiwa kwenye hiyo low frequency, creativity inaweza kushuka, deep thinking inapungua, motivation na mental energy vinaanza kudhoofika. Na ukizoea kupata majibu yote kutoka nje badala ya kutumia akili yako, unaweza kupoteza ile ability ya ku question things na ku trust your own judgment. From a spiritual perspective, mtu anaweza pia kuhisi kama awareness yake ya ndani inazidi kuwa weak anaanza kupoteza connection na conscience yake, intuition na kile anachoamini kuwa ni God’s will. Sio kwamba AI yenyewe automatically inafanya hivi, bali ni namna tunavyoiruhusu itawale sehemu kubwa ya maisha yetu.

Ndiyo maana wengine wana connect hali hii na concept kama “demonic implants” wazo kwamba kuna influence inayoweza kubadilisha emotions, instincts, fears na hata uwezo wa mtu kutofautisha between what feels right and what feels wrong spiritually. Hii haijathibitishwa kisayansi, lakini kama spiritual theory, point yake ni kwamba ukidhoofisha mind, unaweza pia kudhoofisha spiritual awareness yako. So the real danger inaweza isiwe AI itself inaweza kuwa siku ambayo mwanadamu ataacha kutumia ubongo wake, creativity yake na inner awareness yake kwa sababu machine tayari inamfanyia kila kitu.
Sasa hii ni summary au hoja?

Mkuu acha kutumia AI, bwana.. Hapo umeweka summary ya aspect ya AI..

Ni sawa pia kwa faida ya members.
 
Acha mihemko mkuu, uzi umetulia huu negative vibes, ziweke pembeni

Ni wewe. Mwenyewe umeandika dini ni upumbavu... Nikakuuliza mbona kwa Karne zote hizoo watu wame thrive kupitia dini?

Dini sio ukristo na uislamu tu mkuu, labda kama ulidhani hivyo!
NIONYESHE NILIPO ANDIKA DINI NI UPUMBAVU KWENYE COMMENT YANGU YA KWANZA ? SIKATAI KUWA DINI KWA KIZAZI CHA SASA NI UPUMBAVU ..ILA SIKUSEMA POPOTE KUWA DINI NI UPUMBAVU...NIMESEMA MADHEHEBU YA DINI NI UPUMBAVU.
 
Sawa ila sio upumbavu pia
Hata madhehebu nayo ni man made na yana ashiria kile kile kinacho zungumziwa na ancient teachings.
 
Hicho unacho kiita nafsi(soul) unaweza kuthibitisha unacho?

Au unakubali tu nadharia ambazo umezikuta watu wana amini tu bila kuwa na uthibitisho?
Labda nikuulize wewe huyo ambaye yuko nyuma ya mwili na akili unamjua?

Maana tuanzie hapo kwanza. Yaani ambaye anakufanya uyatamke haya maneno, ni nani. Objectify huyo mtu au kitu.

Usiseme neva au celi maana zote hizo ni mchakato wa energy. Na energy haitengenezwi wala kumalizwa

Je hiyo energy ni nini? Au ni nani?
 
Kwa nini unadhani kuna aliye nyuma ya mwili na akili?

Kwani sisi hatuwezi kuwepo wenyewe tu pasipo huyo anaye aminiwa kuwa nyuma yetu?

Kama sisi hatuwezi kuwepo wenyewe tu, Huyo unayeamini kwamba yupo nyuma yetu, Yeye aliwezaje kuwepo tu mwenyewe?

Kama unaamini huyo aliyepo nyuma yetu kaweza kuwepo mwenyewe tu, Unashindwaje pia kujua kwamba hata sisi tumeweza kuwepo wenyewe tu?

Na hatuhitaji aliyepo nyuma yetu.

Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na aliyepo nyuma yake, Huoni kwamba hata huyo aliyepo nyuma ya vitu, atahitaji pia kuwa na aliyepo nyuma yake?

Na hapo kutakuwa na msururu mrefu usio na mwisho. Ili kila kitu kilichopo kiwe na aliyepo nyuma yake.

Pasiwepo chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo aliyepo nyuma yake.

If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex

An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever. There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
Maana tuanzie hapo kwanza. Yaani ambaye anakufanya uyatamke haya maneno, ni nani. Objectify huyo mtu au kitu.

Usiseme neva au celi maana zote hizo ni mchakato wa energy. Na energy haitengenezwi wala kumalizwa

Je hiyo energy ni nini? Au ni nani?
Sisi binadamu ni Energy.

Na from the definition of energy ni kwamba, Energy CANNOT be created or destroyed but it can be transformed from one form to another.

Kama sisi binadamu ni energy, na energy haiwi created, huoni kwamba hata sisi binadamu hatukuwa created?

Kwa sababu sisi pia ni Energy.

Na energy haiwi created.

Na sisi hatukuwi created.

Sisi binadamu ni energy, tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kwa nini unadhani kuna aliye nyuma ya mwili na akili?

Kwani sisi hatuwezi kuwepo wenyewe tu pasipo huyo anaye aminiwa kuwa nyuma yetu?

Kama sisi hatuwezi kuwepo wenyewe tu, Huyo unayeamini kwamba yupo nyuma yetu, Yeye aliwezaje kuwepo tu mwenyewe?

Kama unaamini huyo aliyepo nyuma yetu kaweza kuwepo mwenyewe tu, Unashindwaje pia kujua kwamba hata sisi tumeweza kuwepo wenyewe tu?
Kwanza kabisa sijasoecify kile kilichopo nyuma yetu ni mtu... La hasa haiwezi kuwa mtu maana watu ni sisi sasa mtu atakuwa je nyuma yetu?..

Hatuwezi kuwa peke yetu kwa sababu tunajua fika bila energy hatuwezi kuwepo, mwili wenyewe tu ukipimwa unaonesha kuwa una vibrations... Na hata kichwani wakiweka cap yenye electrodes wanagundua vibrations ambazo zinakuwa transfered kuwa na kuwa displayed.

So hatuwezi ku exist bila uwepo wa energy.. Hata basic matter tu inavibrarion ya particles.

Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na aliyepo nyuma yake, Huoni kwamba hata huyo aliyepo nyuma ya vitu, atahitaji pia kuwa na aliyepo nyuma yake?

Na hapo kutakuwa na msururu mrefu usio na mwisho. Ili kila kitu kilichopo kiwe na aliyepo nyuma yake.

Pasiwepo chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo aliyepo nyuma yake.

If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex

An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever. There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
Mbona unataka kubisha kitu ulicho kubali a nacho ya kuwa energy can neither be created nor destroyed but transformed from one form to another?

Kwa nini una sahau hiki kitu?

Anza na hii standpoint katika hoja zako kwanza.

Mimi nachojua na kuamini ni kuwa even those complex creatures are just expressing the same energy. Ambayo ndo msingi wa kila kitu.

Sisi binadamu ni Energy.

Na from the definition of energy ni kwamba, Energy CANNOT be created or destroyed but it can be transformed from one form to another.

Kama sisi binadamu ni energy, na energy haiwi created, huoni kwamba hata sisi binadamu hatukuwa created?

Kwa sababu sisi pia ni Energy.

Na energy haiwi created.

Na sisi hatukuwi created.

Sisi binadamu ni energy, tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.
Uko sahihi kabisa na hapa nakubaliana na wewe

Ila creation is necessary, sio kwa namna ya Sisi kuwa independent bali kuzaliana na kutafuta another expression of the same energy ambayo haiwi created nor destroyed..

Na hiyo energy ndio Mungu, source, all

Ambayo ndo mimi na wewe na kila kitu.

Hapa sasa tuko pamoja.
 
Kwanza kabisa sijasoecify kile kilichopo nyuma yetu ni mtu... La hasa haiwezi kuwa mtu maana watu ni sisi sasa mtu atakuwa je nyuma yetbrother.
Na mimi hakuna sehemu nimesema aliyepo nyuma yetu ni mtu.

Chochote kile ambacho unadhani kipo nyuma yetu, Na chenyewe hakiwezi kuwepo chenyewe tu, pasipo kingine kilichopo nyuma yake.

Na kama hicho unachodhani kipo nyuma yetu, hakihitaji kingine kilichopo nyuma yake. Hata sisi binadamu hatuhitaji chochote kilichopo nyuma yetu.
Hatuwezi kuwa peke yetu kwa sababu tunajua fika bila energy hatuwezi kuwepo, mwili wenyewe tu ukipimwa unaonesha kuwa una vibrations... Na hata kichwani wakiweka cap yenye electrodes wanagundua vibrations ambazo zinakuwa transfered kuwa na kuwa displayed.

So hatuwezi ku exist bila uwepo wa energy.. Hata basic matter tu inavibrarion ya particles.
Sisi wenyewe ni energy.
Mbona unataka kubisha kitu ulicho kubali a nacho ya kuwa energy can neither be created nor destroyed but transformed from one form to another?

Kwa nini una sahau hiki kitu?

Anza na hii standpoint katika hoja zako kwanza.

Mimi nachojua na kuamini ni kuwa even those complex creatures are just expressing the same energy. Ambayo ndo msingi wa kila kitu.

Uko sahihi kabisa na hapa nakubaliana na wewe

Ila creation is necessary, sio kwa namna ya Sisi kuwa independent bali kuzaliana na kutafuta another expression of the same energy ambayo haiwi created nor destroyed..

Na hiyo energy ndio Mungu, source, all

Ambayo ndo mimi na wewe na kila kitu.

Hapa sasa tuko pamoja.
Sasa ukisema energy ni Mungu hapa utakuwa ume introduce kitu kingine juu ya kingine.

Sisi wenyewe binadamu ni energy.

Kama energy ni Mungu, na sisi binadamu ni energy, kwa hiyo sisi binadamu ni Mungu?

Maana unasema energy ni Mungu.

Una introduce kitu kipya juu ya kingine.

Kwani energy haiwezi kubaki energy bila kuitwa Mungu?
 
Sawa ila sio upumbavu pia
Hata madhehebu nayo ni man made na yana ashiria kile kile kinacho zungumziwa na ancient teachings.
Dini ya kweli siyo madhehebu kwa sababu dini ni NJIA YA HAKI hivyo kufuata dini maana yake kuu kabisa ni kuishi kwa HAKI ..hapa neno Mungu tunaliweka kwanza pembeni.
 
Sasa ukisema energy ni Mungu hapa utakuwa ume introduce kitu kingine juu ya kingine.

Sisi wenyewe binadamu ni energy.

Kama energy ni Mungu, na sisi binadamu ni energy, kwa hiyo sisi binadamu ni Mungu?

Maana unasema energy ni Mungu.

Una introduce kitu kipya juu ya kingine.

Kwani energy haiwezi kubaki energy bila kuitwa Mungu?
Sio lazima ila ni necessary kwa sababu ya kutu fanya tujue na uamke out of the illusion of separation...

The illusion of duality ina thrive kwenye umimi na wewe yaani ili source icheze vibrationaly lazima iwe positive na negative

Ndo maana kuna duality na Nondualtiy

Tukija ukasema sisi ni Mungu pekee au sisi ni binadamu pekee tubakosea

Sisi ni both.
 
Dini ya kweli siyo madhehebu kwa sababu dini ni NJIA YA HAKI hivyo kufuata dini maana yake kuu kabisa ni kuishi kwa HAKI ..hapa neno Mungu tunaliweka kwanza pembeni.
Hakuna dini isiyo ya kweli peke yake

Na hakuna dini iliyo ya kweli peke yake

Dini zote ni sawa kwa namna zao
 
Sio lazima ila ni necessary
The word "necessary" means something you must have or do because it is required, essential, or can not be avoided.

Yani kwamba ni lazima.

Sasa ukisema "sio lazima ila ni necessary" hii statement yako ina utata wa kimantiki. Ni logical contradiction.

Kwa sababu neno necessary kwa kiswahili ni lazima.
kwa sababu ya kutu fanya tujue na uamke out of the illusion of separation...
The illusion of duality ina thrive kwenye umimi na wewe yaani ili source icheze vibrationaly lazima iwe positive na negative

Ndo maana kuna duality na Nondualtiy

Tukija ukasema sisi ni Mungu pekee au sisi ni binadamu pekee tubakosea

Sisi ni both.
Kabla ya ku link Energy na huyo Mungu, Kwanza unapaswa kuthibitisha hicho unacho kiita Mungu kama kipo?

Kwa sababu Energy inajulikana ipo na tunaweza kuipima.

Sasa hicho unacho kiita Mungu ulijuaje kipo na unathibitishaje kipo?
 
The word "necessary" means something you must have or do because it is required, essential, or can not be avoided.

Yani kwamba ni lazima.

Sasa ukisema "sio lazima ila ni necessary" hii statement yako ina utata wa kimantiki. Ni logical contradiction.

Kwa sababu neno necessary kwa kiswahili ni lazima.

Kabla ya ku link Energy na huyo Mungu, Kwanza unapaswa kuthibitisha hicho unacho kiita Mungu kama kipo?

Kwa sababu Energy inajulikana ipo na tunaweza kuipima.

Sasa hicho unacho kiita Mungu ulijuaje kipo na unathibitishaje kipo?
Mkuu baki humu tu maana huwa unaleta reasoning sana na wakati majibu yako plain clear.

Mungu=source=energy=Nondualtiy

Then wewe na mimi ni results za (duality, polarities) vibration ya kile kitu hapo juu(Mungu)

Sijui unanipata? Don't try to reduce energy into an object or idea.
 
Ulijuaje Mungu ni source na unathibitishaje?

Au una amini tu Mungu ni source kupitia hadithi za maandiko ya kiimani?

Kwa sababu kuamini, unaweza kuamini hata uongo usio hitaji uthibitisho.

Lakini tukija kwenye ukweli wenye logical consistency(uthabiti wa kimantiki), Ukweli ambao haupingani kimantiki, lazima tuanze kujua kwanza kama hicho kinachoaminiwa kipo kweli au hakipo?

Kwa sababu hatuwezi kujua tusivyo vijua.

Sasa ukisema Mungu ni source. Kwanza inapaswa uanze kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu. Ili tujue kweli yupo.

Sio kurukia tu, kusema Mungu=source.

Lazima tuanze kujua, Je huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi tu zisizo na Ukweli wala uthibitisho?
 
We jamaa unataka tuanze tena upya kwenye energy kwani si tulielewana kuwa energy ndo kila kitu including Mungu?

Mkuu usicheze na theory za ubongo unajipoteza na kurudia kucheza ngoma ile ile

Na wengi kutoka hapa ndo mtiti

Kwa iyo ulitaka tuseme Mungu ni mtu au object ili uje na theories zaidi?
 
Mkuu Nilikwambia huwezi kureduce Mungu(jina lililontengenezwa na binadamu) kuwa kitu au idea.

Ni source au energy ambayo huwezi kui describe..
 
Hakuna dini isiyo ya kweli peke yake

Na hakuna dini iliyo ya kweli peke yake

Dini zote ni sawa kwa namna zao
Dini ya kweli ni lazima iwe na misingi ya haki ..hivyo neno lolote lisilo la haki ni dini potovu isiyo ya kweli...dini ni maisha ..na dini ya kweli ni maisha ya haki .hivyo siyo wote wenye dini wanaishi kwa haki na siyo dini zote zinafundisha haki...

HAKI NA KWELI NDIYO DINI YA KWELI
 
We jamaa unataka tuanze tena upya kwenye energy kwani si tulielewana kuwa energy ndo kila kitu including Mungu?
Huyo Mungu unamu include vipi kwamba ni energy wakati hujathibitisha uwepo wake?

Kwanza lazima uthibitishe Mungu yupo, kabla ya kusema ni energy.

Unless otherwise, Huyo Mungu hayupo.

Na energy inabaki kama energy.

Bila kuhusishwa na huyo Mungu.
Mkuu usicheze na theory za ubongo unajipoteza na kurudia kucheza ngoma ile ile

Na wengi kutoka hapa ndo mtiti

Kwa iyo ulitaka tuseme Mungu ni mtu au object ili uje na theories zaidi?
Hakuna Mungu.

Mungu hayupo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom