Nafsi imesahaulika. (a rant).

Nafsi imesahaulika. (a rant).

Bible sio uhalisia wa kile tunachoita Mungu..

Ni stori zenye mafumbo mengi ambayo ni binadamu alijaribu kutafuta maana...

So binafsi nimekuwa mfuasi wa biblia katika kuitumia kama lugha ya picha...

Stori nyingi za kidini huwa ni za kumfanya binadamu ashilkilie imani ya kuwa kuna kitu kikubwa zaidi yake hivyo ajistaarabishe na ampende jirani kama a navyo jipenda yeye..

Lengo la mafundisho sio kumfanya mtu aamini bali ajue namna ya kuwa mnyenyekevu na kuwa na upendo.

Tukisema tufanye kila neno la Bible mbona viongozi wa dini wanakaza kubwa mno!
Nilitaka ufike hapa 😹😹

Kumbe hakuna Mungu ni fix tu?
Sasa mbona umemuelezea Mungu na utatu wake mtakatifu? 😹
 
Nilitaka ufike hapa 😹😹

Kumbe hakuna Mungu ni fix tu?
Sasa mbona umemuelezea Mungu na utatu wake mtakatifu? 😹
Hujaelewa shwetani mtoa roho wewe

Nimesema kuwa stori kuhusu uwepo wa Mungu nyingi ni fix, ila haimaanishi Mungu hayupo

It's just not Mtu anaye ishi mbinguni.

Ni both, body, mind and soul

Yaani totality ya kila kitu kuhusu wewe na uwepo wako na wakila mtu na kila mnyama na kila ndege na kila kitu
 
Sija kataa mbona Daah, alaf mm nilisha rudi kuwa de gunner😁
Hujakataa wapi? Ukikubali uwepo wa Mungu basi na bible umeikubali na Adamu na Hawa ni chimbuko la uwepo wako ingawa wao ni wazungu wewe ni msukuma..!! 😹😹

Ukiikataa Bible basi na Mungu umemkataa na imani na dini zake zilizoletwa na wazungu..!!

Haya sasa tuambie wewe upo upande upi?
 
Hujaelewa shwetani mtoa roho wewe

Nimesema kuwa stori kuhusu uwepo wa Mungu nyingi ni fix, ila haimaanishi Mungu hayupo

It's just not Mtu anaye ishi mbinguni.

Ni both, body, mind and soul

Yaani totality ya kila kitu kuhusu wewe na uwepo wako na wakila mtu na kila mnyama na kila ndege na kila kitu
Mungu ni imani, na wewe umekiri uwepo wake..!!

Sasa Mungu ni nani? Anaishi wapi?

Kwahiyo unataka kusema ndege ni Mungu?
Mazingira yanayotuzunguka ni Mungu?

Je, mavi yako nayo ni Mungu? 😹
 
Sijui nise meje?

Labda nitumie mfano wa mti na matawi yake...

Mungu ni mti na sisi ni matawi
Hujajibu swali, hivyo vitu tunavyovitumia alivitengeneza nani? Na ukisema aliumba dunia je, wakati anaiumba yeye alikaa wapi??
 
Hujajibu swali, hivyo vitu tunavyovitumia alivitengeneza nani? Na ukisema aliumba dunia je, wakati anaiumba yeye alikaa wapi??
Energy can neither be created nor destroyed

Physics form 3 hiyoo
Majibu yako wazi

Mchakato wa matter na unadilikaji wake ni natural, maji yana exist katika form 3(solid, liquid and gas) ila it's still water

Vivyo hivyo wewe, mimi, mimea na kila kitu ni kitu kimoja(energy), =Mungu
 
Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu...

Yaani the father, son and the holy spirit.
View attachment 3655405

Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul..
View attachment 3655417
Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu ambacho kimejulikana for millenials..

Body and mind huwa ni kama kitu kimoja maana zote zina operate kwenye time space.. Akili inafanya kazi kwa kipimo cha muda, mwili nao unakuwa na kufubaa with time.

But the spirit ni kitu ambacho huwa kipo tu either ni mtoto mchanga ama ni mzee wa miaka 100..

So labda tuzigroup mwili na akili(physical)

Alafu uweke soul iwe(spiritual).

Ndo hapa tunakuja kwenye kitu kinaitwa polarities...
(positive and negative)
Jua na mwezi
Mwanga na Giza
Masculine na Feminine
(Shakti and Shiva) in Hinduism.

Ila yote hayo ndo baadae yakazaa other ancient teachings ambazo ndo zilikuwa msingi wa mwanadamu kureplicate nature. What we learn today as subjects zimetoka kwenye ancient teachings ambazo nyingine imeshakuwa extinct..

Uzuri ni kuwa mwanadamu ndani ya DNA yake information zote zimo, it's just that atakuja na namna yake ya kuelezea kitu kile kile..

Kinachotawala kwa Karne za hivi karibuni ni hii material replication body and mind ndo maana tuko tumeng'ang'ania physical objectification ya material world.

Leo kume kuwa na wingi wa watu wasio na intuition because tayari ni baada ya miaka mingi ya kuidumaza spirit aspect.

Ndo maana watu wa siku hizi hawana upendo na uhalisi ndani yao, mwaka 1999 ilitoka movie iitwayo the matrix

View attachment 3655409


Hii haikuwa all about tech alone.. Ilikuwa both tech and spiritual stuff

Infact hawa jamaa waliona ya kuwa kinachokuja kutokea mbele ndo hili unaona leo,

AI which is robotic(body and mind) mechanations without spirit inclusion ndo zinakuja kutawala dunia... Na nini kina angamiza ni the process? The soul.

Kumekuwa na wimbi la watu wanakuja kubishia dini, watu ambao hawajui chochote kuhusu why hata wanaquestion kuhusu why Mungu yupo..!

Unajua kwanini wanaofanikiwa hasa celebrities wanaopenda ile triangle?
View attachment 3655415

Well, nahisi umesha elewa namaanisha nini kuhusu trinity.. It's been here for millenials.. View attachment 3655412

Sasa kinacho tokea ni kuwa celebrities hata wao ukiwa Uliza hawawezi kukuambia.. They just do it kwa maelekezo. I

Kuna kitu kama mfatiliaji wa industry..

Utagundua hakuna miujiza, celebrity huzaliwa akiwa celebrity and thus hata kwenye Bible kuzaliwa kwa messiah tayari kulikuwa kumeshapangwa na hata nyota zika align.

Issue ni kuwa binadamu unaingia katika Era ya AI na haya yote yanakwenda kupoteza... Akili ya binadamu inaenda kuwa programmed na AI hata vizazi viwili baadae vita kuwa havina tofauti na mashine.. Sio literary!

Kuna jamaa alianzisha uzi kuwa vijana gen z hawana uwezo wa kufikiri... Hasa hasa aliona hili. Ila hakujua kuwa tayari imp ndani ya DNA epigenetic ya kuwa tayari umeshaanza kuingia kwenye mfumo. Imagine leo ukienda town, chakula unacho kula wameweka additives, bado GMO kwenye chakula cha kilimo. Nguruwe na kuku wanalishwa na kuchoma GMO, unategemea nini?

Yote kwa yote ni kuwa hili halijaanza leo na ndo kama unaanza vile.. Imagine early 90's ndo wakiona likija kwa kasi leo Nimepita miaka chini ya 30 what about the next 100 years?

Ndo maana uchafu wote wanatupia huku Africa ili tuendelee kuwa mazombie.. They eat clean then sisi tunakula chemikali.

Suluhisho?
Kwa mawazo yangu it's too late now, kila kitu kiko kwenye mfumo...

Ni mtu binafsi, ambae anadhani anaweza kulinda kizazi kijacho kwa kuwapa wanae kilicho bora. Ila tunajua how hard that is, dunia ni kijiji kila kitu kiko mkononi.

Well hata sijui discussion ya huu uzi inaanzia, maana nimegusia mengi.. Dini, AI, spirituality, ancient tech, kuna wasanii, na mengineyoo

Utakapo ona panafaa kuongelea uwanja uko wazi.. But hii yote ni kusahaulika kwa spiritual aspect(kwenye trinity) ambayo ndo mzizi wa haya yote.

Karibuni.

Mshana Jr dosho12 Registered_jf sawima Pascal Mayalla Yoda Tsh Infropreneur Kiranga
Kwa vyakula, tukipunguza au kuacha kuiga uzungu, na kuendeleza taratibu za kiafrika za ukulima, uuaji na tunavyopika vyakula vyetu, inaweza kutuepusha na madawa wanayoweka katika mbegu za vyakula, nyama n.k. tutaonekana tuko nyuma, pengine hatutengezi pesa, kwa kutoharakisha na kukuza uzalishaji, ila tutakuwa salama kiafya ya mwili na akili.
 
Ndio maana nilikwambia Mungu ni neno la kidini na kiimani tu. Kwenye Sayansi halitambuliki.

Ndio maana pia nikakwambia, Sayansi haitambui kwamba Mungu is equal to energy.

Kama wewe unatambua kwamba Mungu= Energy hii inakuwa ni imani yako binafsi. Lakini sio Sayansi.
Neno Energy kidini ni spirit na sayansi inatambua kuwa kuna NAFSI NA SAYANSI INATAMBUA KUWA NAFSI NI ENERGY PIA sasa utasema vipi hii hoja ndiyo ifanye kuwe na Mungu? Tumia akili ....hoja ya kutambua kuwa yupo Mungu tunaipata kwetu sisi binadamu pia... Sasa tuunganisha hizi logic..
1) je sisi ni Energy? Jibu ni ndiyo.
2)je sisi ni nafsi ? Jibu ni ndiyo
3)je nafsi nayo ni Energy ? Jibu ni ndiyo.
4)je akili ni energy ? Jibu ni ndiyo
5)je binadamu kaumbika kwa akili kubwa sana yenye mpangilio wa hali ya juu sana ? Jibu ni ndiyo .
6)je binadamu kaumbika kwa nguvu za energy ? Jibu ni ndiyo .

SASA TUNAKWENDA KUUNGANISHA DOT ZA LOGIC ...kama tumekubali kisayansi kuwa nguvu za energy ndiyo ziumbazo au zifanyikazo vitu mbalimbali na tumekubali kisayansi kuwa vitu vimeumbika kwa mpangilio wa akili kubwa sana ..na tumekubali kisayansi kuwa nguvu energy inaweza kufanyika nafsi na kufanyika akili . Sasa unasemaje hakuna NGUVU KUU ZENYE UFAHAMU(NAFSI) NA AKILI ZILIZO UMBA HUU MFUMO WA MWANADAMU ..? Uwezi kusema kuwa binadamu kaumbika kwa bahati pasipo akili kubwa kumuumba kwa mpangilio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom