Nafsi imesahaulika. (a rant).

Nafsi imesahaulika. (a rant).

Ni kwa sababu science is just catching up to something kilicho sababisha yenyewe ianze millions of years ago.

Nayo ni ancient mysteries iliyo kuwa ruled by spiritual codes.

Ndo maana Nilikwambia uwe unaenda kupractice hizi vitu kama, angalau soma kuhusu Buddhism utapata glimpse ya nini namaanisha.

Hata hermerticism imetokea ancient teachings ambazo hazina relationship yoyote na hii limited science inayo leta mkanganyiko
Sayansi kutokujua kitu fulani kilifanyika vipi au kili exist vipi au kina operate vipi, Hakufanyi kwamba kitu hicho kiko controlled au kilisababishwa na power iitwayo Mungu.

Sayansi kushindwa kutoa majibu ya kitu, sio kigezo cha kusema kuna Mungu behind.

Ukisema kwamba "Sayansi is just catching" ni kweli. Kwa sababu binadamu sisi hatuwezi kujua tusivyo vijua. Lakini tuna endelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi na uchunguzi zaidi.

Sayansi inaenda kwa utafiti na uthibitisho. Kwa hiyo Sayansi haiwezi kuja na conclusion ya kitu bila kuwa na uthibitisho.

Kwa hiyo Sayansi ikishindwa jambo fulani au kitu fulani, haimaanishi kwamba Mungu ndio jibu la kitu hicho au jambo hilo.

Sayansi kushindwa kuelezea jambo fulani sio kigezo cha kusema kwamba Mungu ndio jibu.

Ukisema kwamba Mungu ndio jibu kwa vile Sayansi ipo limited, Hapa utakuwa umefanya logical fallacy ya DIVINE FALLACY.

The divine fallacy—also known as the argument from incredulity—is a logical error. It happens when someone claims that a hard-to-understand event must be the work of God or magic simply because they cannot find another explanation.

The divine fallacy can take various forms, but it generally has a structure similar to the following:

Premise 1: if I don’t know how to explain a certain phenomenon using science, then it must occur as a result of divine intervention.

Premise 2: I don’t know how to explain this phenomenon using science.

Conclusion: this phenomenon must occur as a result of divine intervention(God).

This form of reasoning is fallacious, because it relies on a flawed premise that renders it logically unsound, and namely on the assumption that if someone doesn’t know how to explain a certain phenomenon using science, then that means that a divine force must be the right explanation for it.

Pia ni GOD OF THE GAPS FALLACY.

The God of the gaps is an argument where gaps in scientific knowledge are presented as proof of God’s work. God of the gaps arguments therefore tend to have the following basic structure:

Premise 1: if science can’t explain a certain phenomenon, then it must be the work of God.

Premise 2: science can’t explain phenomenon X.

Conclusion: phenomenon X must be the work of God.

Accordingly, God of the gaps arguments are highly similar to those that involve the divine fallacy. The main difference between these fallacies is that the God of the gaps fallacy depends on what is known by the scientific community, whereas the divine fallacy depends on what is believed by the speaker.

Kwa hiyo, Sayansi kuwa limited sio kigezo cha kuhitimisha moja kwa moja kwamba kuna hidden power somewhere iitwayo Mungu ina control kila kitu ulimwenguni.
 
Sayansi haija toka kwenye utafiti, sayansi ni matokeo ya utilization of ancient mysteries.

Hata Albert Einstein alitumia numbering and physics aliyoikuta na ilichimbuka kutoka ancient teachings ambazo hazikuitwa science kwa muda ule
Sawa hazikuitwa Sayansi kwa muda huo.

Je ziliitwa Mungu kwa muda huo?

Au wewe ndio umeamua kuita Mungu?
 
Sayansi kutokujua kitu fulani kilifanyika vipi au kili exist vipi au kina operate vipi, Hakufanyi kwamba kitu hicho kiko controlled au kilisababishwa na power iitwayo Mungu.

Sayansi kushindwa kutoa majibu ya kitu, sio kigezo cha kusema kuna Mungu behind.

Ukisema kwamba "Sayansi is just catching" ni kweli. Kwa sababu binadamu sisi hatuwezi kujua tusivyo vijua. Lakini tuna endelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi na uchunguzi zaidi.

Sayansi inaenda kwa utafiti na uthibitisho. Kwa hiyo Sayansi haiwezi kuja na conclusion ya kitu bila kuwa na uthibitisho.

Kwa hiyo Sayansi ikishindwa jambo fulani au kitu fulani, haimaanishi kwamba Mungu ndio jibu la kitu hicho au jambo hilo.

Sayansi kushindwa kuelezea jambo fulani sio kigezo cha kusema kwamba Mungu ndio jibu.

Ukisema kwamba Mungu ndio jibu kwa vile Sayansi ipo limited, Hapa utakuwa umefanya logical fallacy ya DIVINE FALLACY.

The divine fallacy—also known as the argument from incredulity—is a logical error. It happens when someone claims that a hard-to-understand event must be the work of God or magic simply because they cannot find another explanation.

The divine fallacy can take various forms, but it generally has a structure similar to the following:

Premise 1: if I don’t know how to explain a certain phenomenon using science, then it must occur as a result of divine intervention.

Premise 2: I don’t know how to explain this phenomenon using science.

Conclusion: this phenomenon must occur as a result of divine intervention(God).

This form of reasoning is fallacious, because it relies on a flawed premise that renders it logically unsound, and namely on the assumption that if someone doesn’t know how to explain a certain phenomenon using science, then that means that a divine force must be the right explanation for it.

Pia ni GOD OF THE GAPS FALLACY.

The God of the gaps is an argument where gaps in scientific knowledge are presented as proof of God’s work. God of the gaps arguments therefore tend to have the following basic structure:

Premise 1: if science can’t explain a certain phenomenon, then it must be the work of God.

Premise 2: science can’t explain phenomenon X.

Conclusion: phenomenon X must be the work of God.

Accordingly, God of the gaps arguments are highly similar to those that involve the divine fallacy. The main difference between these fallacies is that the God of the gaps fallacy depends on what is known by the scientific community, whereas the divine fallacy depends on what is believed by the speaker.

Kwa hiyo, Sayansi kuwa limited sio kigezo cha kuhitimisha moja kwa moja kwamba kuna hidden power somewhere iitwayo Mungu ina control kila kitu ulimwenguni.
Hakuna power iliyo hidden..
Lasivyo hiyo sio power

Hizo porojo nyingine na fallacy ni logic uchwara ambazo zinakufanya uendelee ku question an endless loop..

Tuishie hapo kwenye energy tu.

Mengine hayo ne dance of the egoic conditioned self
 
Mungu ni neno lililo letwa na dini tu
Isiliogope ni sawa na source, energy nothing dramatic
Ndio maana nilikwambia Mungu ni neno la kidini na kiimani tu. Kwenye Sayansi halitambuliki.

Ndio maana pia nikakwambia, Sayansi haitambui kwamba Mungu is equal to energy.

Kama wewe unatambua kwamba Mungu= Energy hii inakuwa ni imani yako binafsi. Lakini sio Sayansi.
 
Hakuna power iliyo hidden..
Lasivyo hiyo sio power

Hizo porojo nyingine na fallacy ni logic uchwara ambazo zinakufanya uendelee ku question an endless loop..

Tuishie hapo kwenye energy tu.

Mengine hayo ne dance of the egoic conditioned self
Tunaweza kuishia hapa.

Lakini Sayansi haitambui Mungu ni Energy.

Kama wewe unatambua hivi, Hii inakuwa ni imani yako ya binafsi.
 
Hii ninakataa maana kuwa hivyo ni maamuzi binafsi kama unavyo amua kuvaa nguo gani leo, ila what I meant ni ile light ya ndani ambayo ina shine through celebrity.. Mfano labda jinsi sauti ya mtu inakuwa na ukubwa wa kumfanya awe msanii(mwanamuziki), labda muonekano wa mtu unafanya aje kuwa model, uwezo wa ku immaginate unafanya mtu awe mchoraji mzuri kama wa kina Piccasso, the list goes on
Bible inamuelezea Mungu mwenyewe akisema kwamba,
“Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni nalikutakasa”

Hapo Mungu anamaanisha anamjua kila mmoja wetu na kamtakasa..!!
Hata mashoga alishawajua, vivyo hivyo kwa wezi na makahaba…!!

Na Mungu hakuishia hapo lakini baada ya uumbaji akajimwambafai
“Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana.” — Mwanzo 1:31
Swali langu ni hili, baada ya yote hayo unataka kusema Mungu hakujua anachokifanya?

Soma na huu mstari; Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. [Mwanzo 1]

Hapo Mungu aliumba mtu ambaye yupo kama yeye. Yani sisi binadamu ni mfano wa Mungu. Tuko pamoja?

Sasa inakuwaje mtu aliyemuumba Mungu kwa mfano wake awe na tabia mbovu na sio za ki- Mungu?
 
Bible sio uhalisia wa kile tunachoita Mungu..

Ni stori zenye mafumbo mengi ambayo ni binadamu alijaribu kutafuta maana...

So binafsi nimekuwa mfuasi wa biblia katika kuitumia kama lugha ya picha...

Stori nyingi za kidini huwa ni za kumfanya binadamu ashilkilie imani ya kuwa kuna kitu kikubwa zaidi yake hivyo ajistaarabishe na ampende jirani kama a navyo jipenda yeye..

Lengo la mafundisho sio kumfanya mtu aamini bali ajue namna ya kuwa mnyenyekevu na kuwa na upendo.

Tukisema tufanye kila neno la Bible mbona viongozi wa dini wanakaza kubwa mno!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom