A rant: Wale wote ambao life halikuwapa wanachotaka

A rant: Wale wote ambao life halikuwapa wanachotaka

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
11,685
Reaction score
23,368
Hellow everybody..

Ebwana eee, kuna time inafika ego yako inakuwa kama ime surrender hivi, unaanza kuyaangalia maisha kiuhalisia.

Nimejikuta nikiangalia hizi life rant videos nyingi mtandaoni, hasa kwa YouTube.. Kila mtu na lake, wakubwa kwa wadogo wakilalamika kuhusu life, kuhusu jinsi walivyo wazembe, wajinga au wamefanya kila wawezalo ila life situation zimegoma kubadilika.

Imagine, waking up in your room at your moms house at 35 yrs old? Funny isn't it? Ila inatokea, and u ask yourself hivi imefikiaje hapo? So unakaa kusikiliza stori ya muhusika then unagundua ni pattern.

Watu wengi sana maisha yamewachalaza but Wale wanaotoka kuongezea scenarios zao ni wachache, sometimes sio ugumu wa maisha tu, ila Kuna maisha ya nyuma, maisha yaliyotokea yakawaumiza so life inawafanya wa stuck on toxic relationships, wakae kwenye addiction na kuyaona maisha haryana maana.

Mimi kwa upande wangu, na Jana nilishare uzi hapa, Nimepita mateso udogoni, sikupata love, hasa kwa watu wa karibu. So you can imagine ni jinsi gani niliumia, all I saw and heard was chaos. Na bado shuleni kulikwa na bullies ambao walinifanya niumie zaidi. Sikuwa na mtu wa kumwambia, kuna jamaa mmoja sitamsahau alikuwa amani bully na kunifanya nijione nisie na thamani. Haya unarudi home, na kwenyewe hakuna amani, una kula vizuri unalala pazuri ila it comes with a cost of being a stranger to your own home.

Unakuwa kumchukia mzazi, hapo huoni hata ya kuwa na mzazi anacheza pattern yake na msalaba wake. Hapo unaona it is happening to you, it's your dad's fault, your mom's trauma. Ila ni kuwa they do what they can with what they have.

Wakubwa life don't give a damn about you, maisha yatakunyoosha utake usitake. Inabidi ufungue macho tu at the end of the day, itakubidi pale mambo yatakapo haribika uje ukubaliane na ukweli Mchungu ya kuwa. What happened happened, wazazi, wamekuleta Duniani kwa anasa zao, ila wewe kuishi ni juu yako, sijaondoa majukumu ya wazazi ambayo ni responsibility Yao, ila nimeelezea destiny na mustakabali wa maisha yako yako mikononi mwako.

Baada ya kupost uzi wa migogoro ya kinafsi Jana, nimerudishwa kwenye ukweli ambao kila siku nilikua nauogopa?

No body gives a shit. Hata Mungu unaye mwomba hawezi kukusaidia endapo utaendelea kulaumu.

Naona vijana wengi wanalalamika, wengi wamekata tamaa na wengine wanaona ni bora kutafuta mashangazi, do you really wanna reach in you 40s hauna maisha? Unataka kulelewa kama wakina lokole? Wake the *** up and stop being pitty, chukua maamuzi magum now. Usiwe delusional na pia ishi kwa kubeba uzito wa maamuzi mabaya.

OK, nisijifanye guru wakati na mimi ni Wale Wale, ila wakubwa kila mtu anamsalaba, mimi ndo naanza kuona msalaba ninayo na ni wangu, I don't care about people anymore na ya kuwa it's my responsibility kuanza kuishi na sio ku survive both mentally, physically and spiritually. Kulalama kunyooshea vidole mapito imeniletea mpasuko tu maishani.

Tuanzie hapa, wewe ni Nani? Unataka nini? Jijibu mwenyewe haya maswali.


View: https://youtu.be/VQsdy_yaQAQ?si=Dn8hcPjWoLzTY6_S
 
Back
Top Bottom