Nafsi imesahaulika. (a rant).

Nafsi imesahaulika. (a rant).

Mbona unaropoka kama umekula kinyesi nani kasema dini ni upumbavuau la ? Japo zipo dini za upumbavu...wewe hata ujanielewa ninacho maanisha unaropoka tu kama shangingi la ccm
Acha mihemko mkuu, uzi umetulia huu negative vibes, ziweke pembeni

Ni wewe. Mwenyewe umeandika dini ni upumbavu... Nikakuuliza mbona kwa Karne zote hizoo watu wame thrive kupitia dini?

Dini sio ukristo na uislamu tu mkuu, labda kama ulidhani hivyo!
 
Andiko zuri sana...
Tuanzie kwenye
Dini mkuu nipe andiko linalosema MUNGU ni
Trinity!
Mathayo 28:19
"Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu."

2 Wakorintho 13:14
"Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu, na vyote viwe pamoja nanyi."

1 Petro 1:1-2
"Wateule... kwa kuzingatia kujua kwake Mungu Baba, kwa utakaso wa Roho, kwa utii na kunyunyiziwa damu ya Yesu Kristo."

Marko 1:10-11
"Alipopanda kutoka majini, akaona mbingu zikipasuka na Roho kama njiwa akishukia juu yake. Na sauti ikatoka mbinguni: Wewe ndiwe Mwanangu mpendwa, nakupendezwa nawe."

Mwanzo 1:1-2
"Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa... na Roho wa Mungu akitandazwa juu ya maji."

Mwanzo 1:26
"Ndipo Mungu akasema: Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, na sura yetu."

Yohana 10:30
"Mimi na Baba tu umoja."

Matendo 5:3-4
"Petro akamwambia: Anania, kwanini Shetani akaijaza roho yako... Wewe hukudanganya wanadamu, bali Mungu."

Rumi 8:16-17
"Roho mwenyewe ashuhudia pamoja na roho zetu kwamba tu watoto wa Mungu. Na ikiwa watoto, basi warithi... warithi pamoja na Kristo."
 
Well hata sijui discussion ya huu uzi inaanzia, maana nimegusia mengi.. Dini, AI, spirituality, ancient tech, kuna wasanii, na mengineyoo
Ni kweli umegusia Mambo mengi.

Na yote hapo yana Mitazamo tofauti baina ya watu.

Mm ninahoji hapa kwenye kuunganisha Spirit , Soul na Body na AI?
Je siku moja AI inaweza kuwa na spirit?.
AI inaweza kujipangia kazi ya kufanya bila kuombwa ifanye?.
AI itaweza kugenerate codes zake yenyewe na kujiunda?.

Issue ni kuwa binadamu unaingia katika Era ya AI na haya yote yanakwenda kupoteza... Akili ya binadamu inaenda kuwa programmed na AI hata vizazi viwili baadae vita kuwa havina tofauti na mashine.. Sio literary!

Mm nadhan Watu ndio wanaweza kuitumia Vibaya AI huko mbeleni.
Maana watu watakuwa na advanced Computer systems . Na mifumo mingi ya kidigital itakuwa inaendeshwa na AI 24/7.
 
Ni kweli umegusia Mambo mengi.

Na yote hapo yana Mitazamo tofauti baina ya watu.

Mm ninahoji hapa kwenye kuunganisha Spirit , Soul na Body na AI?
Je siku moja AI inaweza kuwa na spirit?.
AI inaweza kujipangia kazi ya kufanya bila kuombwa ifanye?.
AI itaweza kugenerate codes zake yenyewe na kujiunda?.

Mm nadhan Watu ndio wanaweza kuitumia Vibaya AI huko mbeleni.
Maana watu watakuwa na advanced Computer systems . Na mifumo mingi ya kidigital itakuwa inaendeshwa na AI 24/7.
Kutengeneza codes zake yenyewe mbona tayari AI inafanya? Ukisha prompt kwa muda mrefu a sense of probability ni kawaida sana... Ndo maana inaweza kugenerate picha au video mnembo..

Ila inakosa human cognisence kuwa nimetoka kwa binadamu kwa sababu huwezi ku replicate human spirit..

So human spirit is beyond any computer codes. Hauwezi Kamwe kureplicate hicho kitu.. It's the same force creating the whole universe sasa unaitengenezaje?

Kinacho tokea sasa ni yale ambayo tayari yalikuwa yametabiriwa.. Kutengeneza mashine zifanye kazi za ki binadamu, na binadamu adumae that's it
 
Ninajua hili.
Ila nina maanisha AI huko mbeleni inaweza kujitengenezea code yenyewe bila kuombwa?. Na ikaunda mfumo wake wenyewe?.

Ndio Hoja yangu.
Yes, very possible..

Kwanza kama sasa hivi kuna facial and pattern recognition.. Kwanini ishindwe? Itakuwa na uwezo huo na hata sasa nahisi zitakuwepo.

Si unachukua mfano ya kuwa mwanadamu hata husika? Then AI utaangalia causation either online, au kwa pattern recognition zilizo observable(zenye inaweza recognize by it's own very program)
 
Lazima kuwe na mtu aiombe ifanye hiyo kazi.
Maana kila kazi lazima kuwe na purpose. Sasa AI igenerate hizo kazi kwa manufaa gan?. Ya kwake yenyewe? Sidhani.
AI kila kazi azima iombwe.
 
Lazima kuwe na mtu aiombe ifanye hiyo kazi.
Maana kila kazi lazima kuwe na purpose. Sasa AI igenerate hizo kazi kwa manufaa gan?. Ya kwake yenyewe? Sidhani.
AI kila kazi azima iombwe.
I told you kuwa Saizi huwa kuna hadi chatbots. Na ziko kwenye mtandao zinawavuna watu bila mtu kuziongoza!

Yaani hapo hakuna mtu tena wa kuzi prompt maana zinafanya kazi zenyewe kufanya kuota majibu kwa kutumia pattern recognition.

We ulicho maanisha ni codes? Au kufanya kazi za consciousness?

Maana AI inaweza kufikiri yenyewe... (kuja na best probable answer)

Sio mpaka ioembwe... Kwa mfano AI kwa miaka ijayo inaweza kutabiri hali ya hewa yenyewe, itaweza kufanya duties za kampuni bila kufatilia.. It's all possible.. AI ni replication of mind and body... Ila sio soul
 
Mkomba umetumia kigezo gani kuweka akili kwenye kapu moja na body?
Kwa sababu zote mode of operation ni moja.. Mwili hauwezi ku move bila mind.

Na mind inahitaji movement ili I make sense(even thought is movement)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom