Kwamba!!??!!
Anafanya makusudi,
Shida yake Vinci Ile yeye kujiona special sana basi anataka kila mtu amuone hivyo.
Kama Ego haka katoto😂😂😂
Hapo aje alog in afute comments zote 🤣 au kaacha hiyo tabia? Akiii ni maajabu
Sasa mimi najionaje special??? Wanadamu mna manenoAtakuja aanze kuwafokea mods kwamba kwa nini hawafuti comments za watu wanaomdhihaki.🤣🤣🤣
Ngoja tuone kama atajikaza kutofuta comments zake😂😂😂😂😂
Kama Invisible MafiaDuh ! basi hauwezi hata kujificha maana ID ya Khanji kapoor style za uadinshi uke ule comments fupi zenye upuuzi ndani yake wa kuchekesha.
Mada kubwa unarahisha kimasihara, kwenye ID zote haujabadilika kitu ndio maana ingekuwa rahisi watu tuliosoma kwa Fidel Castro kujutambua . Umekuwa kama Busu la Kenge au Mcmillan de Maghayo maana yeye ni loose Nut hata aje na ID mpya kiasi gani hata ziwe 100 utazitambua zote kutokana na uandishi wake.
Ila Mimi nikija na vazi jingine mtu hawezi kunitambua kwa urahisi maana nabadilika completely
Alihama MARTIN LUTHER KING, JR.Hi,
Happy New Year.
Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.
Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.
Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango
👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.
👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.
HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.
Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING
NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.
Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Asomewe misa ya pekeyake labdaKatoliki ni kama Bunge.. Wabunge wako pale kuwakilisha majimbo yao na wananchi wake, same to Katoliki muwakilishi wako ni Jumuiya.
Kanisa likianza kum appreciate mtu mmoja mmoja na utoaji wake sadaka, Misa itaisha saa ngapi?
Padri anaposema salini ili sadaka yenu na yangu ikubaliwe na Mungu Baba Mwenyezi uwa umesinzia? Zile baraka hapo hazikutoshi mkuu?
Kwani mpaka utuulize? Si wewe uhame tu? Na hautaona Padre yeyote anakuja kukuuliza, huo ndio uzuri wa Kanisa KatolikiHi,
Happy New Year.
Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.
Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.
Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango
👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.
👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.
HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.
Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING
NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.
Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Anataka akatangazwe Kanisani! Katoliki show off hazipo kabisa!Mkuu sababu unataka ukiona wagonjwa na kusaidia yatima kanisa likutambue kwa namna gani yani??
Inasikitisha kuona bado unashikilia mpinga kristo aliejivalisha ngozi za kondoo. Hujachelewa ila ukihama kwenye uo upagani hamia kwa kristi tu usiende kwenye dhehebu lingine lolote.Hi,
Happy New Year.
Binafsi nimekua mzito kushiriki ibada ya jumuiya, Misa za kanisani au mambo yoyote yahusuyo kanisa katoliki. Sijawahi kuwaza hivi toka nikiwa najielewa but now things are dreadful to me, nilikua naioenda sana hii imani and proud ila kwa sasa naona napoteza muda wangu.
Mkesha xmass nilienda kanisani ila ikabidi nikae nje tu mpaka ibada ilipoisha...never happened before. But niliona naenda poteza muda tu.
Why???
👉 Katoliki halimthamini mtu mwenye roho wa Mungu na mwenye Upako ndani yake, Ila yule anayetoa michango
👉Halithamini sadaka zako unazoto kwa yatima,wagonjwa,wazee, na wenye njaa..ila tu ILE MICHANGO UNAYOCHANGIA KANISANI
👉 Halithamini kujitoa kwako juu ya kanisa ila tu kwa PESA UNAZOTOA KANISANI.
👉Pesa tunazochanga zinaenda kuhusumia wanawake zao na watoto wao waliowapata nje ya utaratibu wao.
HIVYO.....
Yule anayetoa pesa kanisani na kua na ukaribu na viongoz wa kanisa, Mapadri nk ndio mwenye thamani zaidi.
Naomba mnipe mawazo chanya niweze kurudi relini aisee.... Mawazo ya kuhama yamenijaa ila sijui niende wapi ambapo THEY DON'T CARE ABOUT MATERIAL BUT SPIRITUAL AWAKENING
NB. Catholic sio mbaya ila wanao liongoza ndio shida.
Kweli there's a price to pay when you know a lot of things you weren't supposed to know
✖️
Mtume nani aliwahi kuwa mkayoliki?Kanisa ni moja takatifu, katoliki na la mitume.
Usiposadiki. Unaruhusiwa kuhamia.
Siku Maaskofu wengi wa Anglican wanaamia katoliki
Katoliki sio kanisa ni dhehebuUtakuwa sio kwanza wala wa mwisho kuhama Ila Kabisa litabaki kuwa Imara.
Unasali rozali?Mimi mkatoliki lakini sijawahi kuabudu sanamu
Inasikitisha sana mlipo. Yani bado haamjawahi kuujua ukristo.Kitu pekee nisichopenda Katoliki ni ile umefiwa/ umefariki na ukiwa sio mwana Jumuiya tena basiii, Padri hausiki kwenye mazishi yako.
Hapo tu ndio wamefanya ubaya.. maana watu wengine kila Jpl wako Kanisani, lkn Jmos yuko kazini inamfanya asifike wala kutambulika kwenyw Jumuiya.
Mungu aingilie kati, walegeze kamba hapo..
Thibitisha Mungu hayupo..Inasikitisha sana mlipo. Yani bado haamjawahi kuujua ukristo.
Mungu hayopo wala hajawahi kuwepo katoliki. Wanaenda kwa sababu ni utaratibu tuu.
Lakini kamwee hayupo na wanajua hio
Marko 16:17-18Thibitisha Mungu hayupo..
Si hilo tuu.Thibitisha Mungu hayupo..
Inashahidi zaidi ya mia ww toa mmoja tuu kuwa Mungu yupo na kanisa katolikiThibitisha Mungu hayupo..
Huenda zipo parokia yake, uzuri kama yupo mjini, kuna makanisa kadha wa kadha unahamia jingine tu.Anataka akatangazwe Kanisani! Katoliki show off hazipo kabisa!
Nilidhani ungemshauri amuelekee kristo.Huenda zipo parokia yake, uzuri kama yupo mjini, kuna makanisa kadha wa kadha unahamia jingine tu.