DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,201
Hakika Ila kuhusu ubinafsi that's human nature na ubinafsi sio jambo baya nadhani kupitia ushauri huu jamaa ataboresha wazo lake.Wanawake wengi Ni wavumilivu na wasiri Sana,achana na mashankupe,kuna uwezekano mkubwa mkewe akamvumilia!