snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,325
sasa alokwambia hormone ni tatizo permanent la uzazi ni nani?tumeshapita changamoto ni hormone
Hormone mbona zinarekebishika?
We mpk umri huo kuna mwanamke umeshampa ujauzito?
Umeshafanya kipimo cha uwezo wako wa kutungisha mimba?( zingatia sijakuuliza iwapo unadinda au la)mana ndo huwa mnajuaga mradi unasimamisha basi unaweza kutungisha mimba.
If hujawahi kufanya kipimo cha uwezo wa manii zako kuwa na mbegu za kutungisha mimba usimwambie mwanamke hazai!