Anahitajika Mtu kufanya kazi ya wakala

Anahitajika Mtu kufanya kazi ya wakala

wilson255

Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
7
Reaction score
8
Natafuta Mtu wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money na kusimamia spea za pikipiki. Mshahara ni sh 80,000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz na mwepes kuelewa kwa muda mfupi na mwenye nidhamu. Umri usiwe zaidi ya 24. Eneo la biashara ni Dar es salaam Kunduchi
Elimu angalau form four. Aliye tayar anichek kwa email wilsonbernard255@gmail.com
 
Wewe mleta tangazo,unaonaje uifanye hiyo kazi mimi najitolea kukulipa elfu tisini/tisaini/90,000/= za Tanzania?
 
. Mshahara ni sh 80,000/=
Hii ALUFU SAMANINI, itamsaidia nini hapo dasalamu 🥴🥴🥴🥴.

awe na uzoefu wa kufanya kaz na mwepes kuelewa kwa muda mfupi na mwenye nidhamu. Umri usiwe zaidi ya 24.
Yani kijana nguvu kazi, alafu uanze kumlipa 2600 kwa siku zima? 🤔 🤔
 
Hii ALUFU SAMANINI, itamsaidia nini hapo dasalamu 🥴🥴🥴🥴.

Yani kijana nguvu kazi, alafu uanze kumlipa 2600 kwa siku zima? 🤔 🤔
Hiyo 2600 ukiamka asubuhi saa 12 hadi saa 2 umeshaipata.
-kuhamisha matofali ya saruji 150×200=kwisha kazi.
-kulangua mboga za majani za elfu 10, asubuhi saa 12 hadi saa 2 umeingiza faida elfu 4.
-kusafisha viatu(shining)SAA 12 asubuhi hadi saa 2 asubuhi unaingiza elfu 5.
 
Hiyo 2600 ukiamka asubuhi saa 12 hadi saa 2 umeshaipsta.

Naam mkuu, hiyo hela inapatikana ndani ya masaa machache sana...

Alafu kazi ya uwakala ni risk sana hiyo...
 
Hiyo 2600 ukiamka asubuhi saa 12 hadi saa 2 umeshaipsta.
-kuhamisha matofali ya saruji 150×200=kwisha kazi.
-kulangua mboga za majani za elfu 10, asubuhi saa 12 hadi saa 2 umeingiza faida elfu 4.
-kusafisha viatu(shining)SAA 12 asubuhi hadi saa 2 asubuhi unaingiza elfu 5.
Labda kama na wateja anawaleta yeye mwenyewe.. kuna mmama anaweka beseni la mboga mboga asubuhi hapa mtaani kwangu, mafungu sijui kumi na kila lazima yabaki hata 6.. kwahiyo plan za biashara zinaweza kuwa nyepesi lakini ukiweka kwenye vitendo changamoto.
 
Wateja nawafuata MWENYEWE lukwili/asubuhiasubuhi ndiyo nitaona hapohapo kama wameweka mgomo wa kulaZege hailali hiyo.Mpelampela kama mazishi tu.
 
Kuna mijitu haina kazi za.maana kazi uchawa tu ingekuwa vema wachangamkie fursa hii
Ahsante kaka for positive comment nilipost kupata watu wenye uthubutu wa kujaribu nimepata vijana watatu ambao walikuwa tayari kupokea hiko kidogo maana biashara ndo changa ila kulingana na uthubutu wao tumewaoffer 150k + allowances ya 50k
Tunapaswa kujifunza
 
Back
Top Bottom