Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Hahaha waambie ili wakija wajue hali halisi. Ila mkuu km unakamua norsk kroner 30elf kila mwezi ukijibana pamoja na cost zote mbona unakuwa tu milionea after 5 yrs.labda uwe na gundu la kutopata kibarua. Binafsi Nina uzoefu na ukanda wa scandnavia. Tatizo life style
Uzuri wa nchi za magharibi mimi binafsi nikipata kamtaji kakuishia bongo niakuwa nimepanda hatua, ila cha maana zaidi kodi zao zinazotozwa hazipotei bure maana kumbukumbu zipo kwenye database. Mfano nchi ya marekani mtu akifanya kazi si pungufu ya miaka kumi atakapofikisha umri wa miaka 62 atakuwa anapata malipo toka social security, pato hilo kwa bongo ni mpango mzima wa kuishi mtu uzeeni, ingawa kwa maisha ya Marekani ni kidogo.