Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Mkuu hiyo elfu 48 ni kwa siku au?
Kwa saa
Mkuu hiyo elfu 48 ni kwa siku au?
kwa saa mkuu. Elfu arubain na nane za kibongo madaf Kwa saa
Mrembo by Nature na mimi naomba nikutafute
Wewe unahisi huyo Mrembo by Nature hapendi pesa?
Mtafute Le Mutuz kwanza miaka 30 in New York hamna kitu, miaka mitatu Bongo yupo kwenye connection.
Hawa kina Nyani Ngabu wasiwaingize mkenge wengi wao wana kampuni zao tena wanalipwa vizuri na Federal government.
Heheheh ulaya ingekuwa rahisi watu wasingeenda na kuolewa na vibabu/vibibi, mange asingeenda marekani na kurudi kutafuta channel ya ndoa kwanza Dubai. Okay wenye bahati zao walibahatika after sometimes. Case km ya lemutuz huwezi kuitumia kwani yule akili zake ni tofauti. Kwa maisha ya uzee ule ana blog na gofu na kuishi kote ulaya kipindi box linalipa, ana kasoro akilini.Tumia mtu mwenye sound mind kugeneralize. Walah nikikaa ulaya/marekani miaka 30 kama ninafanya kazi kila siku count me a billionea. I
Box mbona zipo kibao tu hata hapa Tz hadi vijijini. Zinatupwa tu majalalani karibia na maduka au mahospitalini zinazoishia dawa, unaenda unazipigapiga weee ukichoka unarudi kulala.
Kwa ushauri serekali ya Denmark inatoa fursa kwa wahamiaji waje Denmark kufanya kazi. Wameanzisha green card yao. Nenda Google halaf usearch Danish green card.
Kunamaelekezo wamekuelekeza na ada ya fomu ni 6000 Danish krone iyo ni euro 800 ama em moja na nus madaf. Non refundable.
Unskilled ama low skilled jobs ni nyingi sana kama house keeping mahotelin(kutandika vitanda na usaf vyumba hotelin). Dishwashing(kuosha vyombo hotelin ama restaurant. Kufagia na usafi kwenye treni basi zikipaki kumbuka siyo na chelewa ama fatuma una tumia mashine. Kuuza na kusambaza magezati wakati wa usiku. Kutenganisha aina mbalimbali za taka dampo. Kwenye viwanda vya maziwa. Wakati wa kiangazi summer kuna kazi za msimu kama kuchuma berries na apple ama matunda na kazi za ujenz.
Mshaahara ni kuanzia 150danishh krone had 200danish krone. Nimechek current exchange rate ni 150=42,000tzs. 200danish=56,000tzs.
Danmark ni ghali kuish hasa Copenhagen. Na pia kodi ni kubwa ila haijalish kwan unajua kilichokuleta ni nini unaweza kusave kwa kushare renti na washkaj. Kama utafanya kazi kwa masaa nane kwa siku unauhakika wa kuingiza milion8 hadi kumi za bongo kwa mwezi
maprososo@yahoo.com

Kwakweli nikiri nimekuwa mjinga kwa kutumia study case ya Le Mutuz kuna watu wapo mamtoni wangepata prevalege kama za Le Mutus wangekuwa ni mabilionea.
Kuna mbongo yupo Maryland anaitwa Ndunguru huyu jamaa alinunuwa ndege ndogo akazileta Bongo na sijui anaendeleaje nadhani hao ndio Wabongo wa kupigiwa mfano tena ameajili hadi Wabongo wenzake kwenye health agency yake.
ni kweli kuna matapeli sana mtandaoni. Ila iyo site ya nyidanmark.dk ni genuine na ya serekali. Ila applicants wengi wamelalamika warudishiwe hela zao kwa sababu application zao zilirejectiwA. Ila kabla hujalipa application fee inabid usome mashart vizur sana. Ila sidhan kabisa kuna tapel mden raia asili kabisa sidhan na kama yupo ni wachache sana tena wakuhesabika ama kaoa mswahili ama marafiki ni waswahilii. Hakuna njia nyingine yeyote inaweza kukuleta Denmark ila ubaloz wa Denmark pekee yake. Mtu asikudanganye atakusaidia kuja ni lazima uhende pale ama uwe na schengen visa ya nchi yeyote ya schengen. Achana na mtandao tembelea ubaloz wa Denmark watakupa information za uhakikaHawa wazungu wahuni tu mtu amepigika unamwambia ada euro 800 huu ni utapeli wa kitaasisi.
Kwenye email yangu nimewablock kama spam hawa matapeli wengine wa Marekani wa green card lottary.
email yangu iyo hapo. Ila kuja hapa mimi siwez kusaidia bali nikukupa information tu.mambo yote ni ubaloziin wa Denmark. Am just an experienced best and well knowned dishwasher and cleaner in Denmark.,naomba unipm no yako kaka
Kwa saa
mbona Sweden na Norway bomba. Italy Spain Bulgaria Romania Greece na Portugal nitakuelewa labda utumie visa zao kuja Scandinavia. Kweli unaish Norway kihalali unauza sembe ama unashindwa kutoka kimaisha kweli jamani?? There must be something wrong!! cc wabongo tulio wengi Scandinavia ni wavivu tofaut na wakenya na huo ni ukwel Na wabongo wengi wanaokuja huku kwao mambo safi ndio maana wanachagua kazi. Ila mbeba zege ama mama ntilie ambaye anasota bongo kwa mwezi laki moja na nusu umlete Denmark atashindwa kutoka kweli??Umenena vyema. Ili usave ulaya wapaswa kuishi km mgeni Na ukumbuke kwenu. Ila ukiishi maisha ya vacation Mara 4 kwa mwaka, bia/wine 24/7 huwezi jenga hata banda la mbuzi bongo. Ukiishi maisha ya kawaida ukikumbuka kusave unauhakika wa kujikomboa. Watz wengi wanaoishi huko hawajatumia nafasi zao vizuri. Pombe, mademu, kuuza sembe, ku party Sana n.k. wamekuja kustuka Sera zimebadilika maisha yameanza kuwa magumu na uzee uko mlangoni. Ukikutana na wa hivi lazima uione ulaya mbaya.
Watz ulaya acheni kuuza sembe (vijana na wadada mlio wengi sio wote) mnachafua jina la nchi. Hasa wa UK, italy, Sweden na Norway
email yangu iyo hapo. Ila kuja hapa mimi siwez kusaidia bali nikukupa information tu.mambo yote ni ubaloziin wa Denmark. Am just an experienced best and well knowned dishwasher and cleaner in Denmark.
I believe in hard work and savings. Nimejipa miaka 10ijayo nikiwa 35 lazima niwe bilionea bongo.
mbona Sweden na Norway bomba. Italy Spain Bulgaria Romania Greece na Portugal nitakuelewa labda utumie visa zao kuja Scandinavia. Kweli unaish Norway kihalali unauza sembe ama unashindwa kutoka kimaisha kweli jamani?? There must be something wrong!! cc wabongo tulio wengi Scandinavia ni wavivu tofaut na wakenya na huo ni ukwel Na wabongo wengi wanaokuja huku kwao mambo safi ndio maana wanachagua kazi. Ila mbeba zege ama mama ntilie ambaye anasota bongo kwa mwezi laki moja na nusu umlete Denmark atashindwa kutoka kweli??
summer ya 2012 nilifanya house keeping tromso Norway nikawa nalipwa 190 nok kwa saa 43000madaf. Ila nina marafiki wako Geneva uswis walivyoniambia nazan uswis inaongoza dunian kwa kulipa sana kwa hiZ KAz za kubeba boksi. Ndio kodi ni kubwa hadi 32% na zaid na bills kibao. Ila ukiish kibongo bongo unasevu sanaNchi ambayo inasemekana inalipa vizuri duniani na kadiri ya utafiki kwamba mtu unaishi bila stress ni nchi ya Norway. Wastani wa malipo kwa saa ni kama $20. Kwa mswahili wa kibongo asiyejua maisha ya huko ataona hapo akienda atageuza maisha haraka na amepata kumbe atakuja kupatikana na kujutia.
Nchi hizo za ukanda wa Scandinavia zina vimelea vya ujamaa, na hivyo serikali inakamua kodi balaa. Ununuzi wa vitu ni ghali sana mfano kikombe cha kahawa ni $5 wakati nchi kama Marekani ni $1.50. Utakashoshtukia pesa unayolipwa inaishia kulipa gharama za kuishia vinginevyo ni full mzuka wa kubana matumizi ndo unabaki na cha kurudi nacho bongo.
Nchi za magharibi wanataka ujifunze kwanza lugha yao, maana kazini kunahitajika sana communication iwe ni oral or written. Hivo lazima ujifunze kama ni kijerumani, kiswiswi, kidenmark, kinordic nk.
Nchi ambayo inasemekana inalipa vizuri duniani na kadiri ya utafiki kwamba mtu unaishi bila stress ni nchi ya Norway. Wastani wa malipo kwa saa ni kama $20. Kwa mswahili wa kibongo asiyejua maisha ya huko ataona hapo akienda atageuza maisha haraka na amepata kumbe atakuja kupatikana na kujutia.
Nchi hizo za ukanda wa Scandinavia zina vimelea vya ujamaa, na hivyo serikali inakamua kodi balaa. Ununuzi wa vitu ni ghali sana mfano kikombe cha kahawa ni $5 wakati nchi kama Marekani ni $1.50. Utakashoshtukia pesa unayolipwa inaishia kulipa gharama za kuishia vinginevyo ni full mzuka wa kubana matumizi ndo unabaki na cha kurudi nacho bongo.
Nchi za magharibi wanataka ujifunze kwanza lugha yao, maana kazini kunahitajika sana communication iwe ni oral or written. Hivo lazima ujifunze kama ni kijerumani, kiswiswi, kidenmark, kinordic nk.
Hivi kupiga boksi kunamaanisha kufanya kazi za kubeba boksi kweli au maana yake imebadilika na kuwa kazi yoyote tu ile afanyayo Mtanzania aliyeko ughaibuni?