Natafuta kazi/kibarua

Natafuta kazi/kibarua

Swensa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,844
Reaction score
4,198
Mambo vipi jamii forum jamani natafuta kibarua/kazi ndani ya mkoa wangu huu. Sababu Nina changamoto ya familia na pia iwe kwenda na kurudi maana Nina watoto na nipo Mimi ndo nawaangalia Jinsia Me

Naombeni msaada wenu kazi/ kibarua elimu yangu form 2 secondary , ujuzi wa kufanya usafi nje. Ndani ninao. Kazi/ kibarua naombeni msaada wenu kwa mawasiliano zaidi 0788258979 kwa maelekezo
 
Una Elimu ya form 2 au uliishia form tu
 
Kazi ya ulinzi kwenye makampuni ni kazi instantly japo mishahara yao huwa midogo sana 250,000/--300,000/- lakini waweza jishikiza,kuna kipindi katika maisha haya pia mimi niliwahi kuwa mlinzi kwa miezi SITA.
Tena mnaweza wote mkaajiriwa mke na mume,nyumbani mkatafuta house gal wa malipo ya 30,000/- kwa sababu ni mikoani.
 
Imekaa vzr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom