Nafasi za kazi nchi za nje

Nafasi za kazi nchi za nje

ha ha mi labda ungenijibu maswali machache ningekuelewa...

1. hiviii huko ughaibuni unakotaka kwenda..huko hamna wasomi na waliomaliza vyuo.
2.Vijana woote walioko huko waliosoma wana kazi nzuri.

kwa taarifa: kazi ya chini kabisa nyingi ni kua omba omba. hiyo unayofikiria wewe...kutunza wazee labda au kuosha sahani kwenye migahawa...hata wenyeji wanazipigania na napozungumzia wenyeji naongelea wazawa,wanaoweza kujieleza kwa lugha yao kwa ufasaha,wanaojua kona zote za miji kama unavoijua k/koo na wenye ndugu, na ni weupe pia (just incase hujui what racism means OR you've never came across a racist before).
Kuna kazi kubwa sana kusaidia vijana kufunguka akili ...its sad elimu zetu za vyuo hazina msaada kwenye hili.

My Advise.Tafuta testimony za watu wakweli walio huko ughaibuni wakueleze kinachoendelea huko kwa uhalisia ...achana na hawa show stoppers wanaotupia fake life pics kwenye forums na social network...THATS NOT REAL.

you are very lucky to be in TZ.
 
"The grass always looks greener on the other side".
katika maisha usiwe mwepesi wa kukata tamaa,tatizo kubwa la kizazi hiki tunataka tutokei kwa kile tu tulichosomea."Blind minded".Kabla huajenda hukom Ughaibuni hapa Bongo hakuna watu umewaona wamefanikiwa maisha?Hapo ulipo kuna opportunity ila umeshindwa kuzigundua na kama ungejua hapa Tanzania ni pa zuri ,kuna wageni wapo hapa na hawana mpango wa kutoka wanafanya investment wewe unataka kukimbia?
kama mshahara ni mdogo wekeza hata vibiashara vidogo,nenda huko ukalee wazee na kutawaza ....then utajua kumbe Bongo pazuri.
Nchi hizo mgeni kupata kazi ya maana ni issue na ujue kufight maisha hapa bongo si sawa na huko.Komaa acha kukata tamaa mapema.
Funfua hata "duka la dawa muhimu" anza hata na panadol itakulipa.
Never give up
 
Habari wana JF
KWA MARA NYINGINE TENA naweka bango langu la kuelezea nia yangu ya kuelekea ughaibuni.
Hivi majuzi niliweka bango huku kuelezea nia yangu hii lakini nashangaa sikuliona tena yaani limefutwa sasa najiuliza kwani tatizo liko wapi mimi kueleza nia yangu hii.
Kwa kifupi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2010 then nikajiunga na colege moja ya clinical asistance na kumaliza mwaka 2013 nikapangiwa kituo huko mkoani iringa kwa kweli katika ufanyaji kazi wangu sijaona faida yoyote kwani mshahara wenyewe ni mdigo kiasi kwamba ukichanganya na makato ya kodi mifuko ya jamii na bima unakua huja save chochote hivyo basi nikaona bora nitafute njia ya kuingia ughaibuni hata kama nitafanya kazi za hadhi ya chini lakini nikaweza kusave angalu kiwango kidogo

Hivyo basi kwa wale wenye uzoefu na huko hebu nipeni mbinu za kuweza kufika huko...
[h=3]Nitapataje kazi ya kupiga box ulaya[/h][h=3]Kazi za box ughaibuni[/h] [h=3]Nafasi za kazi nchi za nje[/h][h=3]Anaomba msaada[/h]
 
Majuu kuna kazi ya kupara miwaaa na kupara samaki.wewe unataka ipi...
 
Tumia Internet vizuri , kwa kugoogle aina ya kazi unayotaka . usichoke kutuma maombi ipo siku utafanikiwa. system yao kwa sasa ukituma hata kama hawana kazi kwa wakati huo, wanaiweka application yako, pindi wanapoitaji mtu wa fani yako wanaku contact. wanapunguza gharama ya advertisement
.
 
Nimeona mawazo yenu yapo ya kujenga pia yapo ya kukatisha tamaa hii yote ni kutokana na uwezo wa watu wa kufikiri ulivyotofautiana
Utakuta mtu anakwambia fungua fungua duka la dawa tatizo linakuja kwenye mtaji hana mtaji huyu mtu.
Sio kwamba hapendi kuendelea kuwepo hapa nchini tatizo ni kwamba fursa zilizopo hapa nchini na popote pale duniani ni lazima uwe na mtaji wa kuanzia huwezi kuanzisha biashara kwa kua na plan ya biashara tu inahitaji fedha.
Kwa hiyo mtu anjikuta anaamua bora atoke akafanye hata hizo za kusafisha wazee na mazingira ilimradi apate chochote ajibane ili atakaporejea awe na fund ya kuanzia
yote kwa yote mawazo yenu yanaheshimiwa na tunawakaribisha kuendelea kuchangia zaidi
 
Binafsi nakusoma vizuri. Kama mtoto mayai mpenda vya bure huwezi haya. Ila mkuu mbona usafi hutumii nguvu na haujaribu mikono? Labda wanaofanya kwenye constriction (usafi baada ya ujenzi, rangi nk).

Ndugu zangu nawa pm naona inakataa nisaidie nahitaji bonga nanyi mnaoishi majuu ntashukuru.
 
Uzuri wa nchi za magharibi mimi binafsi nikipata kamtaji kakuishia bongo niakuwa nimepanda hatua, ila cha maana zaidi kodi zao zinazotozwa hazipotei bure maana kumbukumbu zipo kwenye database. Mfano nchi ya marekani mtu akifanya kazi si pungufu ya miaka kumi atakapofikisha umri wa miaka 62 atakuwa anapata malipo toka social security, pato hilo kwa bono ni mpango mzima wa kuishi mtu uzeeni, ingawa kwa maisha ya Marekani ni kidogo.
mpendwa tufanyie basi mautundu nasi japo tuwe wakosha vyombo huko.
 
Hahaha ukomit suicide alafu mamilioni ya fidia ale nani? Unajichana humo humo kwenye wheelchair.

WAPENDWA MLO TANGULIA HUKO DUNIANI NAOMBA NIKUMBUKE NAMI MREMBO BY NATURE,BINTI MAGUFURI ,Copenhagen nAwengineo wote jamani mwenzenu nahitaji wenu msaada ambae anaeza nisaidia anipm tu shukrani wafadhili zangu.
 
Wadau habarini mm ni mtanzania ninampango wa kwenda kupiga box ughaibuni sasa naombeni ushauri nchi sahihi ya kwenda na jinsi ya kupata kazi kirahisi.nawakilisha

Bojan shwari? Kaka nimekushika pindo la shati ulipo nipo tupeane ma info ya huu mchongo.pls
 
ha ha mi labda ungenijibu maswali machache ningekuelewa...

1. hiviii huko ughaibuni unakotaka kwenda..huko hamna wasomi na waliomaliza vyuo.
2.Vijana woote walioko huko waliosoma wana kazi nzuri.

kwa taarifa: kazi ya chini kabisa nyingi ni kua omba omba. hiyo unayofikiria wewe...kutunza wazee labda au kuosha sahani kwenye migahawa...hata wenyeji wanazipigania na napozungumzia wenyeji naongelea wazawa,wanaoweza kujieleza kwa lugha yao kwa ufasaha,wanaojua kona zote za miji kama unavoijua k/koo na wenye ndugu, na ni weupe pia (just incase hujui what racism means OR you've never came across a racist before).
Kuna kazi kubwa sana kusaidia vijana kufunguka akili ...its sad elimu zetu za vyuo hazina msaada kwenye hili.

My Advise.Tafuta testimony za watu wakweli walio huko ughaibuni wakueleze kinachoendelea huko kwa uhalisia ...achana na hawa show stoppers wanaotupia fake life pics kwenye forums na social network...THATS NOT REAL.

you are very lucky to be in TZ.

Huko majuu kazi zote zinalipa si kama bongo nenda restaurant ya wasomali pato lake hata nauli tu8 haitoshi. Majuu ut6ashangaa mhitimu chuo na wa highschool pato moja mradi utendaji kazini.

Hizo za kutunza wazee zina malipo ya juu sana kuliko kazi nyingine maana suala la afya anayegharimia ni bima.
 
Just pick an ransack, Hahaaa come on man, think about Health and safety!. Kushea pango it's good strategy ilatulilia sana mwenzetu mmoja alikuwa anashea na mgana mmoja kamaunavyo jua kukutana some time ni shiida coz kilamtu ana check na muda, so hatukumzoea sana kumbe jamaa he was selling shit!!. (Drgs) Akakamatwa somewhere wakajakusach getto wakamkuta na mshkaji wetu amejipumzisha kwauchovu ooooh my wd, mkuu I hope u know what happened. So sad up to now I don't know where the man is, he say he was coming from Kagera. So sad.

Anaitwa nani huyo jamaa?
 
Back
Top Bottom