Nafasi za kazi nchi za nje

Nafasi za kazi nchi za nje

Wadau habarini mm ni mtanzania ninampango wa kwenda kupiga box ughaibuni sasa naombeni ushauri nchi sahihi ya kwenda na jinsi ya kupata kazi kirahisi.nawakilisha
Sates ndio kiwanja sahihi.
 
Ulaya ni ulaya tu,marekani ni marekani tofauti na bongo,komaa mwana ukapige box utatusua.
 
Anzia kariakoo...upate eksipiriensi na kujitengenezea CV nzuri mkuu.....kumbuka hizo ni fani kama fani zingine....
 
Sasa roho mbaya yangu ni kuandika ukweli? Ukweli kwa ulaya ya sasa simshauri mtu manake sio rahisi unless una scholarship, au uondoke na mpunga wa kutosha home ukukeep wakati unajiadjust.
Okay njia ya kwanza ni kwenda km student, professional job, kupitia ubeach boy, Kuomba visa ya utalii na kuzamia. Km ni graduate anitafute kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali ( esp renown ones sio vyuo vya kata) anitafute kwa mda wake.
Mrembo by Nature na mimi naomba nikutafute
 
Last edited by a moderator:

Wewe unahisi huyo Mrembo by Nature hapendi pesa?

Mtafute Le Mutuz kwanza miaka 30 in New York hamna kitu, miaka mitatu Bongo yupo kwenye connection.

Hawa kina Nyani Ngabu wasiwaingize mkenge wengi wao wana kampuni zao tena wanalipwa vizuri na Federal government.
 
Kwa hiyo amekuambia ye hana hela? Btw sio kwamba mi nataka kuzamia ulaya kuna mambo mawili matatu nahitaji kujifunza kutoka kwake
 
Umeshindwa kunielewa au umegoma kunielewa, kuna wengine wanazimia simu mpaka ndugu zao wakati ndio wametua airport.
 
Sasa roho mbaya yangu ni kuandika ukweli? Ukweli kwa ulaya ya sasa simshauri mtu manake sio rahisi unless una scholarship, au uondoke na mpunga wa kutosha home ukukeep wakati unajiadjust.
Okay njia ya kwanza ni kwenda km student, professional job, kupitia ubeach boy, Kuomba visa ya utalii na kuzamia. Km ni graduate anitafute kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali ( esp renown ones sio vyuo vya kata) anitafute kwa mda wake.
Ndio vyuo vipi hivyo vya kata!
 
Wewe unahisi huyo Mrembo by Nature hapendi pesa?

Mtafute Le Mutuz kwanza miaka 30 in New York hamna kitu, miaka mitatu Bongo yupo kwenye connection.

Hawa kina Nyani Ngabu wasiwaingize mkenge wengi wao wana kampuni zao tena wanalipwa vizuri na Federal government.

Umeanza uongo sio?

Nyani Ngabu na kiranga ni wasafisha vyoo halafu unasema Wana Kampuni?

Hivi we mtoto uongo unakusaidia Nini?
 
Wewe unahisi huyo Mrembo by Nature hapendi pesa?

Mtafute Le Mutuz kwanza miaka 30 in New York hamna kitu, miaka mitatu Bongo yupo kwenye connection.

Hawa kina Nyani Ngabu wasiwaingize mkenge wengi wao wana kampuni zao tena wanalipwa vizuri na Federal government.
Baba Samira, naona umehamia huku kuwavuruga wenzio kwa uongo!
 
Wewe unahisi huyo Mrembo by Nature hapendi pesa?

Mtafute Le Mutuz kwanza miaka 30 in New York hamna kitu, miaka mitatu Bongo yupo kwenye connection.

Hawa kina Nyani Ngabu wasiwaingize mkenge wengi wao wana kampuni zao tena wanalipwa vizuri na Federal government.
Acha uongo wewe!
 
Tangu ulipotokea mtikisiko mkubwa wa kiuchumi duniani kama miaka mitano sita au saba iliyopita hali ya kiuchumi katika nchi zilizoendelea inazidi kuwa mbaya.

  • Makampuni mengi yanafilisikia wakati nchi zilizoendelea yanazidi kukua
  • Shopping malls zinafungwa nyingi wakati nchi zilizoendelea zinamea kama uyoga
  • Uwekezaji unapungua nchi za magharibi wakati nchi za Afrika ndio kunapambazuka
  • Kazi za ovyo ovyo zilizokataliwa na wazawa nchi za magharibi ndio zinachangamkiwa
  • Wahamiaji wanatazamwa kama wanawapunguzia wazawa nafasi zao za ajira katika nchi za magharibi.
  • Sheria za makazi na ajira kwa wahamiaji katika nchi za magharibi zinazidi kubanwa kulazimisha wasio halali warudi makwao.
  • Maduka ya waarabu na wahindi yanaandamwa na kushinikizwa kutoajiri wasio raia au wasio na legal paper.
  • Ujenzi nako walikokuwa wanaajiri watu holela na kulipa pesa nzuri kwa cash wanazidi kubana sheria ajira ni kwa wazawa na wenye legal paper tu.

Ushauri
Gharama za kufika Ulaya na Kabisa marekani au Asia ni zaidi ya Tsh 1,000,000 kiasi ambaho kwa mwenye bongo zuri lililotulia ni mtaji wa kuanza kitu cha kumpatia kipato. Hata bodaboda tu zipo za gharama hiyo.

Ukiamua kwenda ulaya au Marekani sawa, lakini ipo siku ndani ya wiki au mwezi mmoja utajua kwa nini uliamua kwenda huko kusiko kuwa na mjomba, shangazi, binamu, rafiki nk kila huduma na chochote ni kukamuliwa bila huruma na kwa bei mbaya huku ukihangaika kutafuta kazi ambazo hata wazao ni vigumu kupata na kabisa kama huna utaalamu ndo utajua na kuona bongo ni tambalare.

Utaulizwa sio CV ya elimu bali uzoefu wa kazi wenye nukuru ambayo watahitaji kuwasiliana na mwajiri wako wa awali kupata data base na background yako.

Wapo waliokimbilia majuu wakifikiria kula kuku kwa mrija kuna baadhi wanashindwa hata nauli ya kurudia bongo, na wapo ambao wanaona aibu kurudi bongo kwa vile watachekwa, na wapo walioamua basi liwalo na liwe kuzamia kukubaliana na hali halisi maana yake no future at all.

Sina maana kuwakatisha tamaa wenye kutaka kwenda majuu, ila nashirikisha ninachokifahamu, maana kutembea ni kujifunza mengi, kupata tahadhari na kutambua mazuri tuliyo nayo huku kwetu bongoland. Mwenye bahati hubahatika lakini tusifanye mambo kwa kubahatisha. Hata uoaji wa wazawa kupata paper unatakiwa uwe na kipato cha kutosha vinginevyo itabaki ndoto ya kufikirika.
 
Dogoo njoo Denmark ama nchi za Scandinavian maisha ni mazuri na kazi ni nyingi sana hapa kama kuosha vyombo kufagia zinalipa kichiz.

Tatizo sasa lazima uishi kihalali hapa ndio utafurahia maisha. Bila makaratas utaiona Denmark chungu hutaweza kufanya kazi na wala kupata nyumba ya kupanga.

Kingine nashaur wanaotaka kuja huku kubeba boks wawe na miaka chin ya thelathin. Halaf kama kwenu maisha safi na unapenda kuchagua kaz itakuwa vigumu. Na pia kama bongo una kazi unapokea mshahara wa milion moja laki8 na zaid hamna haja ya kuja huku.

Usijidanganye mtu unakuja huku eti una masters ama phd ya mlimani utapata professional work thubutuu. Asikudanganye mtu hata nesi muafrika haruhusiwi kumchoma mtu sindano mgonjwa mwenyewe atakataa hata kama amesoma vp si et ni wabaguz hapana hii ni kwasabab hatuaminiki. Tunaosha vyombo na Kufagia na wenye masters na phd kibao kutoka Africa. Elimu kubwa ni kujifunza lugha yao baaas. But what matters u make money.

Hivi karibun nataka kuposti uzi hapa kutoa elimu kiundan kuhus kubeba boks Denmark ama ughaibun. Ila hapa ni bomba ila ukiish kihalal na una work permit na wewe bado kijana unanguvu na ulisota bongo unaweza meki hela ndefu na ya hatar usipimee. Kwa saa tu hawa waaaseenge ukiosha vyombo ama kufagia wanakulipa danish krone 200 madaf 48,000 na mimi nawapigia masaa 14 kwa siku maamaee.

Mzungu hajakariri kasoma na kuelewa!
 
Mkuu hiyo elfu 48 ni kwa siku au?
 
Back
Top Bottom