Maombi ya fursa ya kazi – hydraulic excavator operator

Maombi ya fursa ya kazi – hydraulic excavator operator

Clark cian

Senior Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
198
Reaction score
214
Habarini za sasa hivi wakubwa.

Nina mdogo wangu ambaye amekidhi vigezo vya kufanya kazi kama Hydraulic Excavator Operator na amepata mafunzo katika IHET, Dar es Salaam.

Ana ndoto kubwa na shauku ya kujenga taaluma yake katika sekta ya heavy equipment, hasa kwenye uendeshaji wa hydraulic excavator. Kwa sasa anatafuta fursa ya kazi, na endapo hakuna nafasi ya ajira moja kwa moja, yuko tayari pia kupata eneo la kujitolea (volunteer) ili kupata uzoefu zaidi na kuendeleza ujuzi wake.

Kwa mwenye connection, kampuni au eneo lenye fursa, tafadhali wasiliana nami kupitia 0620273542.

Asanteni kwa msaada na ushiri
kiano.
 
Ehee shukrani Sana boss Kwa ushauri wako tumtag apa anaweza akatenda Jambo hana baya tajiri.......
Honestly speaking, kuomba kazi unatakiwa ujitose kwenye makapuni usisubiri yakufuuate! Humu wapo watakuja tu.
Cc: T 1990 ELY
 
Kapuku mimi😁

Umenikumbusha leo dogo kanambia nimnunulie escavator sijui kaijulia wapi🤣
Nakumbuka nilivyoppandisha uzi wa kuomba kazi jamii forum bhn watu wanaitana nikasema ngj nimwitie mam nyong'ode
 
Wahitaji wanaenda site,huu ujenzi wa SGR kazi zipo huko tena Lot 4 (Tabora-Isaka) ndiyo imepata pesa juzi hivyo mkandarasi atakuwa active kunyanyua tuta.
 
Sema kama ana umri ambao anaweza kujitegemea Chunya pana Excavator nyingi sana na unapozungumzia huko ndio ipo mitambo haswa anaweza kwenda eneo la tukio akasota huko kwa muda kadhaa atapata tu kazi nina uwakika na huko maana migodi mingu wanatumia hiyo mashine ya watu wa kawaida na makampuni na pia Chunya pana mzunguko mkubwa wa hela kuliko sehemu zote za madini Tanzania..
 
Anachelewa Nini apande boti aingie Zanzibar miradi kibao, asee vijana wa sasa mlenda sana yani mpaka naumia moyo. Kipindi Niko zangu chuga maisha yalinipiha sana unafanya kazi asubuhi Hadi usiku saaa sita mpaka kulala saa saba, tunalipwa efu mbili mara usipate kabisa, nikaona ujinga huu nikajiangalia mfukoni na shingapi, kuuliza TIKETI ya basi et 50 elfu, nikaona ujinga huu nikasepa kituo cha treni kupulizia nikaambiwa kitu ka 18 elf behewa la mabaharia nikasema poa tu mazeee, japo usafiri ni WA kusuasua kitaeleweka mpaka nifike zenji, mana lengo langu lilikua kuzamia ulaya zenji ilikua njia tu, nika paka mzeer mpaka dar bot huyo zenji, nikafikia kulala sokoni sikua na hela.

Yote tisa, kumi wazazi walinipeleka chuo nilivosimamishwa tena sikua na mkopo wazazi ndo walikua wananilipia ada lakini hawakujua kama nipo zenji wao walijua nipo Dodoma japo walikua wanajua nimesimamishwa chuo, bro it's matter of hustling Leo sio yule wa Jana nakimbiza chapa na kustruggle haswaaa poteleaaaa mbaliiiiii
 
Aaaah ukute elimu hamna, uzuri hamna na nyota hamna mbn kazi ipo..... Au ukute ndo analiwa bure tena kila siku 😂 maake hiyo jamii kujiendekeza hawajambo
Ameshamkwambia anataka wazungu na ana mjerumani wake 😂
 
Back
Top Bottom