Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

8B1C24A3-BFF8-4991-B9E9-47FF49FBC195.jpeg
 
Muanzisha thread unafanya kazi kubwa pongezi kwako. Watu wanaobeza hawana Shukrani, kwa UAE,Qatar,Oman,Kuwait na Saudia Arabia waajiri huwa wanawapa watu wawatafutie staff na anayetangaza kazi na kuwaleta huwa analipwa kwa kila mtu atakayepatikana.
 
Aww asante sana mkuu! mimi nimejitolea tu, silipwi na wala sihitaji kulipwa! hawa wenye njaa siku zote ndio akili zao ziko hivyo basi hawanisumbui wala!
 
Back
Top Bottom