Tunatafuta wanawake wenye umri wa miaka 24–32, wenye nidhamu, bidii, upendo wa kazi na nia ya kukua katika taaluma ya urembo.
TUNAKARIBISHA WAOMBAJI WA VIWANGO 3:
1. SALONISTI ALIYEBOBEA 💎
Awe na uzoefu mkubwa, uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea, kusuka kwa ustadi na kukamilisha finishing kwa kiwango cha kitaalamu. Hahitaji mafunzo ya msingi. 400,000
2. SALONISTI MWENYE UJUZI WA KATI 🌱
Awe anajua kusuka, lakini anahitaji kuboresha finishing, kupanga nywele na mbinu nyingine za kitaalamu.350,000
3. SALONISTI ANAYEKUWA KITAALUMA 🤍
Awe na msingi wa kusuka, hata kama bado hana speed kubwa au hajakamilika katika ujuzi wote. Tunahitaji mtu mwenye bidii, nidhamu, nia ya kazi na utayari wa kujifunza na kuboresha uwezo wake.300,000
SIFA ZA JUMLA
• Umri: Miaka 24–32
• Awe mwaminifu, msafi na mwenye nidhamu.
• Awe tayari kufanya kazi kwa ushirikiano na kuhudumia wateja vizuri.
• Awe na moyo wa kazi na kujifunza.
💰 MSHAHARA: Utategemea kiwango cha ujuzi na uzoefu.
📞PIGA KWA AJILI UA INTERVIEW
+255 757 549 393
📍 SINZA KWA REMI(
Tunatafuta ujuzi, bidii na mtu mwenye nia ya dhati ya kazi!