Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,075
- 2,692
Unafikiri tuliposema aibu utaona wewe tulitania?Watu hawana aibu jamani🤦🏽♀️
Unafikiri tuliposema aibu utaona wewe tulitania?Watu hawana aibu jamani🤦🏽♀️
Na aibu unayoona kwa niaba ya mtu huwa inakera sana kwa sababu ni ngumu sana ku-fix mambo 😅Kwakweli hakuna utani na aibu naona mimi🙆🏽♀️
Anakuwa na confident ya mbingu ya Saba huku wewe unatamani ardhi ipasuke uzame 😂Si ndioo! Yani mwenyewe mkavuu!!🫢
Ikoje hiyo? 😅Confidence kama ya kenge😁
Leo ndo nimejua kuwa kenge hata akiwa mbele ya mamba huwa ana mikomfidensi ya hali ya juu.Spirit ya kujiamini tu😅
Itabidi tuwazoee tu!Tena ana kisebusebu hatari!