Hahahaha jiwe gizani. Anyway tupo kiongozi. Tuna njaa ya vibarua vibaya sana.Ubarikiwe sana Seran
Halafu watu badala ya kupitia huku wapo kwenye uzi wa kula tunda kimasihara na selfika 😃
Naomba unisaidieNdio kwanini usiweze?
Nipate kazi ndani ya jiji la daresalamaNikusaidie nini?
Karibu, soma uzi huu uwezi kukosa cha kufanya!Mnaotaka kijana wa
_shamba/kulima/kusimamia shamba
_kusimamia mifugo
_Mwalimu wa pr sc na sec school
NIPO HAPA. MAISHA YAMENICHAPA SANA. NIPE KAZI KAMA KUNISAIDIA TU!🙏
Nimesubscribe thread hii.
Nipate kazi ndani ya jiji la daresalamaNikusaidie nini?
Kazi yenye wage kuanzia 1m..na kuendeleaKazi gani hiyo?
Ukiwa na maana ipi Seran?Hahaaa shtuka usingizini utakojoa kitandani!
Sio value yangu hiyo kwa kweli, je tunaweza wasiliana kwa njia ya pm ili nijue mwafaka wa jambo langu?Wenzio wanalipwa laki tatu huku we unawaza milioni? Pole sana..
Mm naona hapa hatuwezi kwakweli, nitaishia kudhalilika tu, nimetokea kijijini na siujui huu mji kwakweliHapahapa tunawasiliana freshy tu na jambo jambo lako linaisha!