Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Kuna baadhi ya vitu hapa vinaaply makampuni ya kimataifa tu lakini makampuni yetu ya kiswahili watakuona mjuaji hapo mfano ni hyo tarehe ya kuzaliwa kwa sababu unakuta wameshaweka range ya umri wanayemtaka na wengine unatuma cv tu wanajuaje umri wako ili uwe shortlisted?? Lakini vingine vyote naunga mkono hoja .


Kwa mfano kampuni za kimataifa hata referees naandika available on request na wanakuita kwenye interview ila sasa jichanganye kwa waswahili wataona una dharau.
Namimi nimewaza hivyo! Yani uondoe biography yako nani akuite? Nchi ngumu hii na hawabembelezi kwenye suala zima la kuajiri!
 
📢ANAHITAHIKA ACCOUNTANT KATIKA SHULE

✅Jinsia Me
✅Awe na miaka 35+
✅Awe anajua mifumo yote kuanzia Bank Statement,Payroll,Balance Sheet
✅Salary 1.2 M
✅Shule ipo Mbezi Luis DSM

Fika ofisi za ajira kigamboni sido au wasiliana na huduma kwa wateja ikiwa unakutana na changamoto yoyote: 0725 110 177 au 0799 529 422
 
Wale walimu

Tunahitaji walimu wawili WA Daycare na Mmoja WA primary mshahara kwa walimu WA daycare ni200000/= ila kwa yule WA primary ni mazungimuzo na mwajiri. Shule IPO MEATU MJINI
Director Meatu
Mobile +255626020790
Mobile +255626020790
Kwa huo mshahara, unategemea ufanisi wowote katika kazi?
 
Sales representatives&Operation Manager

📍 Mwenge, Dar es Salaam

💼 Position: Sales Representative – Construction Chemicals
💰 Mshahara: TZS 700,000–1,200,000

✅ Sifa:
• Civil/Water Engineering au field inayohusiana
• Uzoefu wa miaka 1–3 kwenye sales/construction
• Uzoefu wa industrial chemicals
• Communication skills nzuri

Operation manager anahitajika
Uzoefu wa kazi ya kusimamia kampuni inayofanya delivery na general supplier miaka 3. Salary 600K

Fika ofisi za ajira na Biashara kigamboni sido au wasiliana na huduma kwa wateja 0725 110 177
Sasa kama Manager analipwa laki 6,hao wa chini yake wanalipwa chochote kweli?
 
KWA NIABA YA MTEJA WETU, AJIRA NA BIASHARA TUNATANGAZA NAFASI YA KAZI

Anahitajika Kijana wa Uwakala wa Mitandao na Benki kwa ajili ya kufanya kazi eneo la Sinza, Dar es Salaam.

Sifa za mwombaji:

  • 👤 Umri: Miaka 22–30
  • 💼 Awe na uzoefu wa miaka 2+ katika kazi za uwakala wa mitandao na benki
  • 🌙☀️ Awe tayari kufanya shift za usiku na mchana
  • 📍 Awe anaishi Ubungo, Sinza au Makumbusho

📍 Eneo la kazi: Sinza
💰 Mshahara: Tsh 300,000 – 400,000 kwa mwezi

📞 Kwa wenye sifa na wanaovutiwa na nafasi hii, wafike ofisi za ajira na Biashara kesho kuanzia saa3 asubuhi
Au wasiliana 0725 110 177
0799 529 422
 
Sasa kama ndio elimu yangu inaishia hapo ntalazimisha mshahara wa daktari? Tena bora huo kuna watu wanalipwa 150🤦🏽‍♀️
Ishu sio elimu, ishu ni kuridhika na kukubaliana kile unacholipwa. Mbona hata Magufuli JP alijishushia mshahara? 😃
 
Ishu sio elimu, ishu ni kuridhika na kukubaliana kile unacholipwa. Mbona hata Magufuli JP alijishushia mshahara? 😃
Kweli kabisa, sasa mishahara inapangwa kulingana na wimbi kubwa la wahitaji, wangekuwa nadra wala mishahara isingekuwa hii!
 
Habari yako.
Samahani naomba nitangazie nahitaji mwl anaefundisha arts kwa ajili ya kufundisha pre form one course....kituo kipo kigamboni kibada...hivyo nahitaji mwl anaetokea huko
Aliye na utayari 0617 435 741
 
Wanahitajika pharm tech wawilii wakike kufanya kazi
location : Tandale -uzurii n kibiti mjini center

Contact: 0621 023 260 or 0767 359 605


Nahitaji pharm tech mwanamke mwenye leseni
Location ; Dar Tabata

Kwa anae hitaji contact
0754711866


O Anahitajika pharm tech
Awe wa KIUME
Mahali ni Arusha
Leseni sio lazima ( Vizuri pia akiwa nayo)
Awe na uzoefu kiasi ( Injections )


Mshahara Maelewano

Malazi na Chakula juu ya bosi

Mawasiliano : 0769932535
 
WE ARE HIRING!

- SWAHILI - CHINESE TRANSLATOR (10 POSITIONS)

- HR MANAGER (2 POSITIONS)

- HR OFFICER (1 POSITION)

APPLICATION METHOD

Interested candidates are invited to send their CV and relevant supporting documents to:

APPLICATION EMAIL: lushchanzo34@zurkt.com

Please indicate the position you are applying for in the subject line of your email

APPLICATION DEADLINE: 30th September 2026
 
Exciting Opportunity! Our client in the tourism industry, is expanding their team!

We're helping them find two talented professionals to join their journey:

Sales Consultant
Love travel and love closing deals even more? Help our client grow their client base and turn travelers' dream destinations into reality.
•⁠ ⁠Strong communication & negotiation skills
•⁠ ⁠Passion for travel and tourism
•⁠ ⁠Target-driven mindset

HR Officer
Behind every great tour experience is a great team. Our client needs someone to manage recruitment, employee relations, and company culture as they scale.
•⁠ ⁠Experience in HR/People Management
•⁠ ⁠Strong interpersonal & organizational skills
•⁠ ⁠Passion for building great workplace culture

Location: Arusha, Tanzania
Apply now: info@ahavaglobal.co.tz
 
🚨 JOB VACANCY | GRAPHIC DESIGN SPECIALIST
🏢 INDUSTRY: TRANSPORTATION
📍MOROGORO 🇹🇿

Day Sparkle Consultancy is partnering with a reputable client to identify a highly skilled Graphic Design Specialist who can bring creativity, strong visual communication, and professional design execution to the brand.

WE’RE LOOKING FOR:
• Bachelor’s Degree in Design/IT or related field
• Expert Graphic Design Skills
• Advanced Adobe Creative Suite
• Strong Branding & Creativity
• Ability to Meet Deadlines
• Professional Portfolio Required

🔥 If you have the skills, creativity, and portfolio to stand out — this opportunity is for you.

📩 APPLY NOW: Send your PORTFOLIO ONLY to jobs@daysparkle.co.tz

⏰ DEADLINE: 17 SEPTEMBER 2026
Only shortlisted candidates will be contacted.
 
🚨 WE’RE HIRING: HR MANAGER
📍 Dar es Salaam | Manufacturing

Day Sparkle Consultancy is partnering with a valued client to find an HR Manager who can lead from the front, drive performance, and build a high-performing workforce.

🔥 WHAT WE’RE LOOKING FOR

✅ 2+ years HR experience
✅ Management-level HR experience
✅ Expert in Tanzania Labour Law
✅ Strong HR compliance knowledge
✅ Bachelor’s Degree in HR/related field
✅ Master’s Degree is an advantage
✅ Expert in payroll

This is more than an HR role. It’s an opportunity to influence culture, people, and business performance.

If you're ready to step up, take ownership, and make an impact — this could be your next move.

📩 Apply: jobs@daysparkle.co.tz
📅 Deadline: 17 September 2026

Only shortlisted candidates will be contacted.
Day Sparkle Consultancy — Connecting Talent With Opportunity.
 
Habari kuna mtu anahitaji mtu wa kusambaza vipeperushe mashuleni na dispensary maeneo ya kigamboni. Kazi ni siku mbili yani j5 na Alhamisi tu .Na anahitaji mtu anayeishi kigamboni tu iwe rahisi kujua maeneo
Malipo
Elf kumi kwa siku
Namba ya ofisi 0750499476
 
🚨🚨 NAFASI YA KAZI – MKALIMANI WA KICHINA 🚨🚨
🔴 NATAFUTA MTU ANAYEWEZA KUONGEA NA KUTAFSIRI LUGHA YA KICHINA VIZURI, ANAYEHITAJIKA HARAKA KABLA YA KESHO.
SIFA:
✅ AWE ANAJUA KIINGEREZA VIZURI.
✅ AWE ANAJUA KICHINA (CHINESE/MANDARIN) VIZURI.
✅ AWE ANAJUA KISWAHILI.
⭐ ITAPENDEZA ZAIDI KAMA ANAISHI DODOMA.
💰 MSHAHARA: USD 1,500 KWA MWEZI
💵 (TAKRIBANI TSH 3.75 MILIONI)
📩 INBOX/WHATSAPP: 0624142068
🚫 USIPIGE SIMU.
📢 TAFADHALI WASILIANA NAMI KAMA UNA SIFA HIZI AU UNAMFAHAMU MTU ANAYEFAA.
 
Kigamboni restaurant

💯Storekeeper nafasi-1

💯Dishwashers nafasi-2

💯Waitress nafasi-1

💯Mdada wa kupakua nafasi-1

🚫Hakuna interview

Mshahara: 180,000

✅Sehemu ya kuishi ipo ukihitaji njoo na nguo zako

📍Kigamboni

Fika ofisini moja kwa moja kesho kigamboni sido kwajili ya kwenda kazini au wasiliana 0725 110 177
0799 529 422
Kama unakumbana na changamoto

NB: simu na sms zinajibiwa muda wa kazi tu!
 
Back
Top Bottom