Sales agents 20 Afu mshahara n 400k.?Wanahitajika: Sales Agents 20 Dar
Mshahara ni 400,000/-
Walking-in interview
Date: 11/8/2026 Tuesday
Time: 11:00 asubuhi
Location: Sinza-Madukani, Emirate Building, 3rd Floor.
Njoo na CV yako.
Mawasiliano 0758204295
Hapo sio kweli, unapewa mabeseni anaambiwa unalipwa kwa Kamisheni 😂Si ndio nenda kafanye kazi!😃
Mm nachoka aisee 🙌Mimi ndio nishajitoa hivyoo!!
😂 Tandahimba naenda kuwa mjanja wa kijiji 🔥Wewe kaa na negative mindset yako usubiri tamisemi wakupeleke tandahimba tu!
Ngoja tuendelee kusubiriUsichokee! Jobless wote nimewaletea kimbilio hapa!☺️
C ndio 😂Superstar sio😁
Nitumie namba yako ya whatsapp nikutumie tangazoUkiona za ma Dj niwekee hapa
Picha ya nini sasa?Hello
Nahitaji sales person, mwenye uzoefu na kuzungumza na wateja mshahara 500,000 kwa mwezi
Tuma cv na picha kwa namba ±255769516170
Utajiri Mimi niutoe wapi?Tajiri kama wewe unafukuzwaje kazi?