Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,306
- 129,577
Hy ya mwisho kusema uweke cheti cha degrees/ diploma etc n ishu ya copy and paste tuu Ila hata sio kosa kubwa mana hata utumishi hua wanafanya hvy tena hadi kwenye zile kazi za kuhitaji elimu ya aina moja.Hili tangazo kama sio matapeli basi TCC wamekosa umakini. Cha kwanza kwenye preamble wameandika four hundred and ninety four positions kisha kwenye mabano wakaweka (20). Pili nafasi zilizotangazwa ni 30 na sio 494 kama tangazo lilivyoelekeza. Tatu nafasi zote mbili zinataka watu wenye Diploma ila mwishoni mwa tangazo kwenye general instructions inasema wa attach certificates na transcripts za Postgraduate, Degree/Advance Diploma na Diploma. Nne email iliyotolewa ina kikonyo cha gmail badala ya .co.tz
Hapo napo kwenye idadi ya nafasi napo kichomi 😂
Ishu ya Gmail nayo pia inatia wasiwasi, japokuwa n kawaida tuu.
Anyway, kama vigezo vipo, ww ruka nayo tuu mwisho wa siku hawatokushikia panga ili ukubali mkataba.